ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,126
- 129,196
Morning good people!
Inawezekana umewahi kujiuliza mara moja, kwa nini boyfriend/girlfriend wangu anataka picha zangu za uchi/utupu? Hizo picha huwa anazifanyia kitu gani na zina faida gani katika kuboresha mahusiano yenu?
Je, wanaume tunapata nini tunapoomba na kutumiwa picha za utupu?
»Winners, tunaamini kuwa washindi, kwamba hadi ameamua kuvua kyupi na kutuma utupu wake, basi amezimika haswa kwako.
»Silaha, hizi picha zinaweza kuwa silaha kwa mwanaume wakati mkifarakana, anaweza kukutishia lolote na mwanamke ukatii just coz he's got pics of your nudity.
»Kujiridhisha, wengine hutumia utupu wa wapenzi wao kufanya masturbation.
Trend ya kutuma picha za utupu imeongezeka kwa kasi, hasa baada ya wengi wetu kuweza kumiliki smartphones, watu hutuma picha zao za kifua, tako, punani na watu wanatuma kabisa a shaved p!ssy/d!ck.
Lakini tujue kuwa;
»Kutuma picha za utupu sio salama, hakuna "100% privacy" katika ulimwengu wa kidijitali. Kuna hackers wengi siku hizi teknolojia inapanuka kila siku, kuna kuachana na kulipiana visasi, tuwe makini.
Wanaume tulivyo wajanja, anasema tu "nikimaliza kuangalia nitazifuta", wanawake msidanganywe, huwa hzifutwi.
Tusiwe malimbukeni wa teknolojia, tutumie teknolojia kwa faida.
Je, umewahi kutuma/kutumiwa picha za utupu? Unajisikiaje leo ukikumbuka zile picha zako ulizomtumia ex gf/bf? Naamini katika hili wengi tu wahanga