Kutuma picha za utupu/uchi kwa mpenzi

Kutuma picha za utupu/uchi kwa mpenzi

How Mkuu? yet I trust you.

Hebu tusaidie elimu ili tupate uelewa wa pamoja.
Shetani ana mbinu nyingi za kututeka, anaangalia wapi ulipo udhaifu na kuutumia kututeka, unajua unaweza dhania picha hiyo ni ya huyo mkeo/mpz kumbe ni ya jini, wewe ukafurahia, ukasisimka na kumaliza haja zako kumbe upo na jini, kuna watu wanafanya mapenzi na majini wakifikiri ni wake zao tena kwa miaka kadhaa bila kujua na wakiendelea kuishi kwenye ndoa na kujiona waaminifu kabisa, lakini hili ninaloliongea kwa mtu wa kawaida sio rahisi kuelewa labda apate mafundisho au mafunuo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapokuwa "mtu wa Neno la Mungu" yafaa kuwa msaada kwa wengine wenye kiu ya kujifunza habari za Neno Hilo.


Kwa lugha nyepesi kabisa tusaidie kujua ni kwa vipi ni PEPO watu kutumiana picha za utupu za wenzi wao?
Nimeshaeleza mkuu pepo lina tabia ya kubadilisha kitu halisi kuwa feki, yaani linaingia kwenye ile picha/video na likafanya uifurahie ukidhani ni halisi kumbe lenyewe, matokeo yake utakuwa mtumwa wa hizi picha, kila wakati utatamani uzione

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapokuwa "mtu wa Neno la Mungu" yafaa kuwa msaada kwa wengine wenye kiu ya kujifunza habari za Neno Hilo.


Kwa lugha nyepesi kabisa tusaidie kujua ni kwa vipi ni PEPO watu kutumiana picha za utupu za wenzi wao?
Umenena kwa lugha...chukua tano
 
Hahaha... Selfie za utupu za nini wakati tunaoga pamoja... Nakupakaa mafuta mwenyewe... Nakusugua mwenywe... Nakunyoa mwenywe...
My king my king mzio nipo kazini ujue nishaanza kubana bana miguu huku. Usinikumbushe Smart911 wangu jamani uwiii!! [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Uzuri wa "Watakatifu" wa Jf wengi wetu tutasema hatufanyi hivyo kisha kila mmoja atalaani na kukemea tabia hiyo.[emoji23][emoji23][emoji23]

Binafsi nimewahi kutuma na kutumiwa Sana tu zamani za ushamba wangu wa digital na ulimwengu wa smart phone.


Hata sasa nikitumiwa "nafuta" instantly nimalizapo kuangalia. Najitahidi kulinda privacy ya aliyetuma.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Hivyo mkuu jf imejaa watakatifu sio. [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom