Kutoka viwanja vya Karimjee, Buriani kwa Mh Regia Mtema

Tunashukuru kwa taarifa, ni mwaka mpya wenye changamoto
nyingi Regia Mtema hatunaye kimwili ila matendo yake na
changamoto alizotuachia ni zakuzijifunza na kuzifanyia kazi.
Mungu amlaze mahali pema peponi Amin.
 
Mwili wa marehemu utaingia uwajani kwa gwaride la surget at arm na tayari upo maeneo ya karibu.

Tuna subiri kumpokea Makamu wa Raisi, Dr Bilal, na mara baada ya hapo ratiba nikama ifatavyo,
sala fupi
wasifu wa Marehemu
salamu na Rambirambi za Mhe Spika
salamu na Rambirambi vyama vya siasa
neno la shukrani
utaratibu wa safari
kuaga mwili wa marehemu
mwili wa marehemu kuondoka.
 
RIP Regia.

Hivi zile Tshirt zinapatikana kwa nani? au hazikutengenezwa, sikuwa na mtandao kwa cku 2 hapo nilipokua
please any update
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom