Wewe inaonekana una chuki binafsi na Kikwete. Hakuna cha ufisadi wala nini ila wewe ndio fisadi unakaa tu nje ya nchi bila kulipa kodi au kuchangia kwenye maendeleo ya Tanzania.
Ona sasa hadi unaanza kupambana na mtu kama zitto ambaye angalau yuko msitari wa mbele kupiga makelele, wewe zaidi ya kuandika hapa mtandaoni umefanya nini kusaidia nchi yako?
Hata hivyo, yale maneno yote uliyosema kwenye thread ya Ballali kuwa una ushahidi yamefikia wapi, FBI wako uliosema una contact zao wameishia wapi?
Acha makelele kijana, kupondea wakuu hapa kama FMES na wengine sio njia ya kukupatia umaarufu unautaka kwa udi na uvumba.