Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,265
- 4,716
Kwahiyo hujui na au huamini kuwa hakuna walimu wa vyuo waliofeli??Na chuo waliodisco wawe wanafundisha chuo maana wako vizuri.
Kwahiyo hujui na au huamini kuwa hakuna walimu wa vyuo waliofeli??Na chuo waliodisco wawe wanafundisha chuo maana wako vizuri.
Kufeli ni kupata division four au kupatao one isiyo kupa kipato?Kwa elimu ya kidato cha nne alifeli huyo maana hata form five haendi huyo.
lakini pointi yangu ajira kama tunaajiri kidato cha nne basi tushindanishe wa kidato cha nne walioko mtaani na kati ya wale watakaojitokeza basi tuchukue the best katika hao.
kwa vigezo vyao kama mtu alipata divisheni 2 au 3 na hana lolote kwa sasa maana kuna mtu anaweza kupata hata 1 form four na six akachemsha lakini hawa wanasema huyo hana vigezo
Kwahiyo hujui na au huamini kuwa hakuna walimu wa vyuo waliofeli??
Umeelezea,na umeweleweka,utaona wengi wanasema aliyepata Division 4,amefeli,hii ni sheria au ni vipi,hata shule nyingi za binafsi zinazojitangaza,kupata wanafunzi,huwa wanasema hatuna division 4.F = Fail
A,B,C,D = Pass
Mr J alisoma mchepuo wa sayansi O'level na alipata matikeo kam ifuatavyo.
Math =F
Eng. =F
Phy =D
Chem =D
Bio. =D
Geo =D
Hist. =D
Kisw. =D
Civ. =D
Bible. =F
Hiyo ni sawa na division 4 point 28.
Vip huyo amefeli pia....
Mr J anasifa za kusoma hadi PHD.
Ndiyo maana ata PGO hawajuiKazi za jeshi hakuna mambo ya division maana wanataka wapiga kazi sio wanaotaka mishahara mikubwa mkuu.
Lengo ni kupata askari wa malindo na Doria!Nimeona matangazo ya ajira ya uhamiaji kuwa wanahitaji kidato cha 4 waliopata divishen 4 kuanzia pointi 28 mpaka 31 nikajiuliza sana.
Hivi taifa hili akili huwa tunazipeleka wapi? kwa nini uwe specific kutoa upendeleo kwa waliofeli? unaipeleka wapi jamii yetu kwa upendeleo wa aina hiyo?
Tangazo hilo nimeliona wizara ya mambo ya ndani upande wa uhamiaji.
Lakini kwa kumbukumbu zangu wizara hii huwa inaibuka na mambo ya ajabu ajabu tu, nakumbuka mwenyekiti wa parole ndugu Augustine Mrema naye aliwahi kuomba ujenzi wa reli SGR watumike wafungwa. Mimi nilimshangaa Mrema, mtu ambaye aliwahi kugombea Urais wa nchi hii unawaza vile? Kwamba wakati una vijana wengi wako mitaani hawana ajira unatoa kipaumbele kwa wafungwa kwenye ajira maana yake ni kuwaambia vijana wakafanye uhalifu wafungwe ndipo wapate ajira.
Ndiyo maana yake maana kama unawanyima vijana walioko mtaani ajira na unatoa jira kwa wafungwa unakuwa unapeleka ujumbe kwa vijana kuwa wakawe waarifu ndiyo wapate kazi na uhalifu utaongezeka maana vijana waliokata tamaa kwa kukosa ajira ni wengi na ukiwaonyesha wafungwa wanapewa kipaumbele watafuta kufungwa ili kupata ajira.
Tukirudi kwenye mada yetu ya kutoa kipaumbele kwa waliofeli.
Wapo wachache wanaodai ukimuajiri aliyefaulu anafanya kazi miaka michache na kutaka kwenda kusoma. ninasema wapuuzi wachache tena ambao hatuwezi kuwasikiliza tunapotaka kufanya maendeleo katika nchi hii.
Tunalo tatizo kubwa sana la ajira katika nchi hii kwa kuwa na vyuo vingi na shule nyingi zikizalisha wahitimu kila mwaka na wengi wanakosa ajira na kuishia kufanya shughuli za kipuuzi mitaani. watu hawa wanaweza kuajirika popote na wakakaa makazini kwa masharti ya mwajiri.
Mbona kuna watumishi wameajiriwa na kukaa kazini miaka zaidi ya 5 bila kupanda vyeo wala mishahara na humu kuna watu walikuwa na elimu kubwa lakini wakawa wanafanya kazi za chini.
Nina ndugu yangu amesoma ana masters ya business admnistration na kwa sasa anafanya kazi ya mtendaji wa kata
Halafu kuna mpuuzi mmoja sehemu anasema wasomi ukiwaajiri hawafanyi kazi hivyo tuajiri waliofeli??????
Hawa hawatujengei taifa bali kulibomoa
Wasijue kivipi mkuu, wanajua vizuri sana na wala div 4 haiusiani na kujua pgo ya policeNdiyo maana ata PGO hawajui
Kesho la polisi liko hovyo kwa sababu ya kuchukua failures. Kama ufaulu wa darasani sio hoja, basi tusifanye mtihani ili kila aliyesoma apate fursa sawa na mwingine, otherwise mitihani ni lazima ili kutafuta competence.huu upuuzi kbsa, kuzan kuwa ufaulu wa darasan, unaendana na utendaji wa kazi, hizi colonial education zmewaharbu sana akil kwa kuwapa vipaumbele hao wasomi uchwara ktk kila jambo mnataka wapendelewe.
kufel form4 sio kigezo cha mtu kukosa akil na uwajibikan, kufaul form4 sio kigezo cha kuwa muwajibikaj, achen fikra potofu, jiulizen kwann matatizo hayakakwishi nchini japo kuna wasomi weng ktk kila nyanja???? mtoa mada bado ana mindset zakitumwa
mkuu majibu yako wazi ni kutafuta jinsi ya kuibua aina fulani ya tabaka kimkakati ili pia tujipange vizuri kwa uchaguzi 2025Samahani mkuu!
Nadhani ungetafiti kwanza ujue ni kwanini wanachukuliwa wa aina hiyo kisha utoe ushauri wako.
Ukiona hivyo, mtoa tangazo ana mbumbumbu wake kubao nyumbani. Matatizo yanayolipata jeshi la polisi kwa sasa ni kuwa na askari wengi wenye elimu ndogo. Uhamiaji mna iga? Kuzolota kwa elimu nchini lililetwa na kozi ya ualimu kuwachukua 'waliobaki' baada ya kuengua wa kuendelea na masomo na kozi zingine. Kuna walio faulu zaidi ya div 4 wamekosa nafasi kuendelea A level au vyuo wapo mitaani, kwa nini wazuiwe kuomba? Kuwa na failures uhamiaji ni sifa?Nimeona matangazo ya ajira ya uhamiaji kuwa wanahitaji kidato cha 4 waliopata divishen 4 kuanzia pointi 28 mpaka 31 nikajiuliza sana.