cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,706
- 189,021
Sijawahi ku struggle na vitu vya dunia, Aloooh.Then why are you struggling for earthly things as death is your fate?
Nipo nipo tu.
Sijawahi ku struggle na vitu vya dunia, Aloooh.Then why are you struggling for earthly things as death is your fate?
So whatever comes on your way twendleee, maisha yenyewe mafupi au vipi?😂Sijawahi ku struggle na vitu vya dunia, Aloooh.
Nipo nipo tu.
Ni swali unalouliza binadamu wenzako ambao ni sawa na weweNi kuwepo duniani ili kutafuta hela, kushindana au ni kuwepo duniani ili tuishi?
Nimejaribu kufanya utafiti mdogo na kugundua kuwa, watu wengi wanatumia nguvu kubwa ya kutafuta hela, vyeo, kushindana ukubwa, wingi wa mali n.k; sasa nikawa najiuliza hawa kweli wanajua kusudi la kuwepo duniani?
Mimi nipo zangu hapa kijijini nimejilalia kwenye kitanda changu cha ngozi ya fisi, huku nikisikiliza milio mbalimbali ya ndege pamoja na kutukuza sifa na uumbaji wa Mungu.
Kwa mazingira haya naona kabisa, mimi ninaishi.
Je wewe, unafikiri kusudi la uwepo wako hapa duniani ni kufanya unacho kifanya?
Kifupi chagua MOJA KUSUKA AU KUNYOAKusudi la kuwepo duniani ni moja ya maswali makubwa na ya kale zaidi katika historia ya mwanadamu. Jibu la swali hili halina mwelekeo mmoja, bali limegawanyika katika mitazamo mikuu minne: Kiroho/Kudini, Kifalsafa, Kibaolojia, na Kisaikolojia.
LengoKwanza kabisa, kusudi ni nini?
Maana ya kusudi ni nini?
Kwa hiyo hata maskini au mtu kachagua!? Tukienda na dhana ya kusema mtu huchagua tunakosea maana hata free will yenyewe ni illusion piaKwa ujumla maisha hayana maana wala kusudi lolote lile.
Binadamu ndio anaamua kusudi lake maishani ni lipi. Na huishi hivyo alivyo amua.
Mkuu, unavyo Sema ulimwengu upo kupitia sisi what do you mean?Maisha hayana kusudi wala hakuna kusudi la kuishi duniani.
Sisi hatupo duniani au niseme uwepo wetu haupo duniani bali ulimwengu upo ndani yetu.
Sio kwamba sisi tunaishi ulimwenguni bali ulimwengu ndio upo kupitia sisi.
Nashukuru umekuja mkuu, huyu alikuwa anatuvuta kama behewaBinadamu ni nani na unajuaje huyu binadamu?
How does it feel to let go of ego? Je hiyo hali unavyo isema ya kuwa kama mtoto Mbona wengi inakuwa ngumu kuifikia? Na hata kwa glimpse tukiiifikia bado the world distracts us just like the matrix?Umeuliza swali zuri sana.
Ukichambua hili swali umelipata baada ya kugundua kua vitu kama mali na vyeo vyote ni vinginevyo, na matokeo yake umeona ndani na kina cha kiini cha maisha.
Lengo la kuja duniani, ni mwanadamu kujipa uzoefu wa nyama au kuishi maisha katika mwili/vessel.
Binaadamu ana miili mitatu, mwili wa nje"physical body", mwili wa akili "mind", na mwili wa roho "etheric au astral body" sasa asilimia kubwa ya wwatu wengi tunaishi katika mwili wa nyama na akili, miili ambayo ndio inatutawala, na kuendeshwa na nguvu za chini zaidi kama tamaa, wivu, ubinafsi n.k
Vitabu vya dini vinasema Mungu alimuumba mwanadamu katika mfano wake, hii inamaanisha binaadamu ni reflection ya Mungu, hivyo binaadamu = Mungu, lakini binaadamu akijiita Mungu itakua sio sawa maana anaingia katika mtego wa EGO au SELF, na kuishi katika hali ya uMimi, huu ni mtego ambao hupelekea mtu kujiona ni bora zaidi kuliko wengine, na hivyo kuharibu kabisa lengo la uwepo wa mwanadamu.
Unazaliwa ukiwa ni kiumbe tu, Tunakuita mwanadamu, ila kuanzia unapozaliwa jamii inaanza kukupangia kwa kukupa jina, na kuoneshwa ndugu uliowakuta, utaingizwa katika mifumo ambayo huwezi kuchoropoka, mifumo kama dini, elimu n.k ni mifumo ambayo ipo kwa ajili ya kukuweka kama MSUKULE i.e kutumikia wengine, na kusahau lengo lako kuu la kuwepo hapa duniani ambalo ni kuishi kwa furaha, Maisha ya mbinguni au peponi ni symbolism ya maisha ya kujitambua kiroho na lengo lako hapa duniani. Na kuishi motoni ni kuishi katika hali ya uoga, kukinzana na sheria za ulimwengu, kuendekeza tamaa, wivu vinavyopelekea kukosa furaha na matokeo yake unaishi katika hali ya uhaba.
Katika ulimwengu ambao wewe muandika mada si lolote na si chochote maana yake wewe ndio alpha, mwanzo na omega mwisho, kinachoamua wewe ni mwanzo na ndio mwisho ni uwezo wako wa kukataa mifumo iliyoanzishwa isikutawale mwili wako wa akili "Mind", unapofanikiwa hili mwili unajijengea mazingira ya miili yako yote mitatu kua aligned au kusimama kwa umoja na kufanya kazi pamoja "UTATU MTAKATIFU"
Sasa ili kufikia hiyo hatua, ni lazima uanze kuvua mavazi yote ya kiimani, itikadi na "identity" yote kwa ujumla na ufahamu wako uwe kama mtoto tena, sio kusahau bali kukumbuka kua wewe sio chochote katika ulimwengu huu, na ukishatambua hilo maana yake hata yale mambo mazuri unayofikiria kufanya na unashindwa hakutakua na kizuizi cha kuyafanya sababu dhana zote za kuonekanaje hazitakuwepo tena n.k na hii itapelekea wewe kuishi kwa furaha na uhuru mpana bila kusumbuana na wengine kabisa.
Vitu kama meditation lengo sio kwenda popote, lengo ni kujipa utulivu mkubwa wa kuona kua haya maisha tunaishi kwa kuyaigiza ila haipaswi kulazimisha kuvaa vazi la igizo, Kujipa utulivu na kutambua kua matatizo tunayoyavaa sio halisi, kujipa utulivu kiasi unaanza kuuliza haya maswali, Katika dunia ya leo watu wengi wanaogopa utulivu sababu hawataki kujibu swali la uwepo wao hapa duniani. na kitu cha ajabu ni kua majibu ya maswali yote uliyonayo unayo wewe mwenyewe, unahitaji kukumbuka tu na Ulimwengu kila siku unakukumbusha ila bado haujajipa utulivu wa kutosha ukazingatia.
Dini hazijibu hili swali kwasababu dini zimejengwa kupitia "Experience za watu wengine", Yesu, muhammad, buddha, hermes trismegistus n.k ni watu ambao walifanya safari ya kiroho na kufikia hatua au hali ya uungu, hii ni hali unayoweza kuifikia na kila mtu ana uwezo huo huo.
Nimechoka kuandika.
Hawawezi kuwa na majibu?Ni swali unalouliza binadamu wenzako ambao ni sawa na wewe
Jina tulilojiita tukitaka kujitofautisha na viumbe wengineBinadamu ni nani na unajuaje huyu binadamu?
Mkuu, Kama wewe kulala kwenye ngozi ya fisi kunatimiza kusudi lako Enjoy maana raha ya maisha ni kuishi kwa kuyafurahia hakuna la zaidi.Ni kuwepo duniani ili kutafuta hela, kushindana au ni kuwepo duniani ili tuishi?
Nimejaribu kufanya utafiti mdogo na kugundua kuwa, watu wengi wanatumia nguvu kubwa ya kutafuta hela, vyeo, kushindana ukubwa, wingi wa mali n.k; sasa nikawa najiuliza hawa kweli wanajua kusudi la kuwepo duniani?
Mimi nipo zangu hapa kijijini nimejilalia kwenye kitanda changu cha ngozi ya fisi, huku nikisikiliza milio mbalimbali ya ndege pamoja na kutukuza sifa na uumbaji wa Mungu.
Kwa mazingira haya naona kabisa, mimi ninaishi.
Je wewe, unafikiri kusudi la uwepo wako hapa duniani ni kufanya unacho kifanya?
Mkuu, Kiukweli nkikueleza kwa maneno nitakua nimekudanganya, sababu sioni maneno ya kuelezea.How does it feel to let go of ego? Je hiyo hali unavyo isema ya kuwa kama mtoto Mbona wengi inakuwa ngumu kuifikia? Na hata kwa glimpse tukiiifikia bado the world distracts us just like the matrix?
Ninekuuliza kwa sababu watu wengi tuna I Fanya ego kama enemy!Mkuu, Kiukweli nkikueleza kwa maneno nitakua nimekudanganya, sababu sioni maneno ya kuelezea.
Pia ukiifikia, bado utahitaji kufanya na kujipa utulivu sababu haujauacha mwili wa nyama.
Tatu, kosa kubwa tunaloliishi watu wengi ni kudhani mambo yako tofauti, i.e familia, kazi, kiroho n.k ila kiukweli ni kua vyote ni kitu kimoja tu.
Nne, Unapovua vazi la Ego kuna vitu vingi hutaona umuhimu navyo kabisa na utajikuta umeviacha hivyo distractions unabaki kuzifata ww mwenyewe na utazifata na zitakushinda.
mwisho, ni kama ulivyosema ni ngumu na sababu ni ngumu ndio maana kuna watu ambao kazi yao ni kukupunguzia huo ugumu, watu ambao tunatambua kua hii safari kwa wengine hawana uthubutu wa kuianza hivyo tunakua kama daraja.
ukiwaiga hao viumbe,utakufa njaa"tazama ndege wa angani hawalimi Wala hawavuni"
Lakini ndivyo tulivyoambiwa mkuuukiwaiga hao viumbe,utakufa njaa
Hujajibu tutajuaje huyu binadamu na huyu si binadamu. Unapimaje?Jina tulilojiita tukitaka kujitofautisha na viumbe wengine
labda turudi kwenye kula matunda na miziziLakini ndivyo tulivyoambiwa mkuu