Kusudi la kuwepo duniani ni lipi?

Kusudi la kuwepo duniani ni lipi?

Ahsante kwa mtazamo wako.

Ila Kusema Mandela alichagua/kuyapa mwenyewe kupambana na ubaguzi hakuonyeshi kwamba hakukuwa na kusudi la awali. Mtu anaweza kufanya uchaguzi wake na bado uchaguzi huo ukawa sehemu ya kusudi la awali. Una ushahidi gani kwamba hakukuwa na kusudi la awali?

Mfano mtu anaamua mwenyewe kusomea udaktari. Lakini mtu mwingine anaweza kusema vipaji, mazingira na nafasi alizopewa vilimwelekeza kwenye kusudi hilo. Ukweli kwamba kuchagua hauondoi uwezekano wa kusudi,

Wangapi wanachagua au wqnayapa maisha malengo na hayafikiki.

Kila mtoto.alitamani KUWA kama flani, kusomea kitu flani hayo ni malengo lakini vipi wote walifanikiwa?

Ukisema kusudi/lengo la wali hili ni lazima litafanyika bilabchangamoto kubwa ukilijganisha na lile la kujipa
Nimekuuliza kusudi la nani, hujajibu.

Dhana ya maisha kuwa na kusudi ni ya kidini zaidi. Inatokana na dhana ya maisha kuumbwa na Mungu na Mungu kuwa na kusudi ya kuumba maisha.

Ukimuondoa Mungu, dhana ya maisha kuwa na kusudi maalum inaondoka.

Kusudi la nani?

Processes za nature zinaendelea bila kusudi. Kwa sababu, kuwa na kusudi ni lazima kudhamiria, nature haifikiri, haina dhamira, inaenda tu kwa conbenience. Inafuata tu the path of least resistance.

Maji yanashuka ktoni kutoka mlimani kuja moaka baharini si kwa sababu yanakusudia kufanya hivyo, yqnafuata the oath of keast resiatance kwa kufuata gravity tu.

Sayari zinazunguka nyota hivyo hivyo, si kwa sababu zina dhamira fulani, zinafuata path of least resistance kufuata gravity tu.

Maji yanaposhuka mtoni kutoka mlimani kwenda chini baharini, hayana kusudi la kuishia baharini. Yanaishia baharini kwa sababu baharini kuko chini.

Sasa hapo ukianza kuuliza kusudi ka maji kushuka kutoka mlimani kwenda baharini utakuwa umeuliza swali vibaya. Kwa sababu maji hayana kusudi.

Maji hayo kushuka ni sawa na maisha. A natural process. Natural processes hazina kusudi.

Swali la kusudi la maisha ni nini, ni sawa na swali la kusudi la maji kushuka kutoka mlimani kwenda baharini ni nini.

Maji hayana kusudi. Maisha hayana kusudi.

Evolution inatokea bila kusudi.

Ukiondoa kusudi ambalo mtu anayapa maisha yake mwenyewe, dhana nzima ya maisha kuwa na kusudi maalum ni ya kidini, inaendana na dhana ya uwepo wa Mungu ambaye hayupo, na haina maana.

Swali zima la kusudi la maiaha ni anthropic bias, ni sisi watu, ambao tunafanya mambo kwa makusudi fulani, kuviwekea vitu vingine tabia hiyo ya kufanya mambo kwa kusudi, kuwekea maisha kusudi, wakati maisha yenyewe hayana kusudi, wewe ndiye unayapa maisha yako kusudi.

Kuuliza swali hiki ni sawa na kiziwi ambaye hajui sauti, anajua rangi tu kqa sababu anaona, anapoukiza "rangi ya wimbo wa taifa ni rangi gani?".

Yeye kiziwi anachojua ni rangi, haelewi kuwa wimbo wa taifa ni wa sauti, hauna rangi.
 
Hapo kijijini , ghafla Simba au fisi akafanya uharibifu au kuondoa uhai wa Ndugu wa karibu au yoyote binadamu,Je, Uumbaji wa Mungu utaendelea kupewa sifa,na kusataajabu ukuu wake?Ukitafakari usinipe jibu kamanda Wangu.

Juzi naingia kwenye chega Moja (chega -salon/barber shop),Rafiki yangu ananiuliza Nini chanzo Cha binadamu?.Nikamjibu fasta fasta, Chanzo chake Samaki (Tiktaalik), Miaka million 375 iliyopita huku binadamu wa kisasa akiwa katokea miaka 200,000 iliyopita.Hahaha jamaa yangu huyo akacheka sana.

Nikamwambia nimekuepisha na mawazo ya Vitabu vya kuja/kigeni vinavyoitwa vitabu vitakatifu.

Mimi na wewe ni stardust..Ajali ya cosmology.

Hakuna kusudi la wewe kuwepo hapa.
 
Life in it's essence is not random like that, there is a plan and arrangement Brother. Check how wonderful life can be reduced by scientists to the smallest unit (cell) and try to ask yourself bigger questions of how?.

I strongly disagree with naive theory called " cosmic accidents like the big bang theory".
 
Nimekuuliza kusudi la nani, hujajibu.

Dhana ya maisha kuwa na kusudi ni ya kidini zaidi. Inatokana na dhana ya maisha kuumbwa na Mungu na Mungu kuwa na kusudi ya kuumba maisha.

Ukimuondoa Mungu, dhana ya maisha kuwa na kusudi maalum inaondoka.

Kusudi la nani?

Processes za nature zinaendelea bila kusudi. Kwa sababu, kuwa na kusudi ni lazima kudhamiria, nature haifikiri, haina dhamira, inaenda tu kwa conbenience. Inafuata tu the path of least resistance.

Maji yanashuka ktoni kutoka mlimani kuja moaka baharini si kwa sababu yanakusudia kufanya hivyo, yqnafuata the oath of keast resiatance kwa kufuata gravity tu.

Sayari zinazunguka nyota hivyo hivyo, si kwa sababu zina dhamira fulani, zinafuata path of least resistance kufuata gravity tu.

Maji yanaposhuka mtoni kutoka mlimani kwenda chini baharini, hayana kusudi la kuishia baharini. Yanaishia baharini kwa sababu baharini kuko chini.

Sasa hapo ukianza kuuliza kusudi ka maji kushuka kutoka mlimani kwenda baharini utakuwa umeuliza swali vibaya. Kwa sababu maji hayana kusudi.

Maji hayo kushuka ni sawa na maisha. A natural process. Natural processes hazina kusudi.

Swali la kusudi la maisha ni nini, ni sawa na swali la kusudi la maji kushuka kutoka mlimani kwenda baharini ni nini.

Maji hayana kusudi. Maisha hayana kusudi.

Evolution inatokea bila kusudi.

Ukiondoa kusudi ambalo mtu anayapa maisha yake mwenyewe, dhana nzima ya maisha kuwa na kusudi maalum ni ya kidini, inaendana na dhana ya uwepo wa Mungu ambaye hayupo, na haina maana.

Swali zima la kusudi la maiaha ni anthropic bias, ni sisi watu, ambao tunafanya mambo kwa makusudi fulani, kuviwekea vitu vingine tabia hiyo ya kufanya mambo kwa kusudi, kuwekea maisha kusudi, wakati maisha yenyewe hayana kusudi, wewe ndiye unayapa maisha yako kusudi.

Kuuliza swali hiki ni sawa na kiziwi ambaye hajui sauti, anajua rangi tu kqa sababu anaona, anapoukiza "rangi ya wimbo wa taifa ni rangi gani?".

Yeye kiziwi anachojua ni rangi, haelewi kuwa wimbo wa taifa ni wa sauti, hauna rangi.
Sawa kabisa Mr Kiranga, ila hivyo ulivyovitaja haviondoi ukweli kuwa yupo mwenye kusudi aliyevifanya hivyo vyote. Again kusudi la kijiko halipo kwenye kijiko chenyewe ila anayekitumia kijiko hicho.

Mtu ni roho Boss, jiulize taratibu tu na kwa sauti ya ndani yako hivi ni nani anayeitawala roho yako na kufanya iamue na ifanye unavyofanya?...
 
Thibitisha aliyevifanya yupo, usipige hadithi za kufikirika na kukariri tu.

Thibitisha roho ipo.

Katika biology yote, jatika sayansi yote, hakuna sehenu roho imehitajika wala kuwa defined, habari ya roho ni ujinga wa kufikirika wa dini tu.

Ukibisha thibitisha roho ipo.
 
Naona umeshikilia roho tu ila soma hiyo mistari mingine pia kuna hoja nimeijenga hapo. Uthibitisho kuwa yupo ni jibu la swali hili "...ni nini chanzo cha vyanzo?". Majibu ya swali hili katika mkabala wowote ule yanatupa urejeleo kuwa kuna Mungu bila kujali jina litakalotumiwa.

Sayansi yenyewe inathibitisha uwepo wa Mungu, tatizo ni mtazamo wako juu ya Mungu. Mungu ni nguvu, Mungu ni nishati ya kila kitu, Mungu ni kani mathalani gravitational force. Nguvu ya Mungu ipo katika kila kitu na ndiyo sababu ya kila kitu.

Pitia nadharia za kihemetikia huenda ukajifunza na kuacha tabia ya kukebehi kuwa watu wanakariri na kumeza hadithi za kufikirika. Jifunze taratibu tu hata kwa Mystic figures mfano Sadhguru ambaye anatumia sayansi kuelezea spirituality katika tafsiri rahisi sana huenda ukaunga dots.
Nimekumbuka tunajiona sisi wenyewe kupitia wengine, unaweza ukaona wengine wanakariri wanashikilia vitu vya kufikirika kumbe ni wewe unajiproject na kujiona hivyo....ah...ah...sorry Brother.

Hivi ulishawahi kupitia nadharia za Watoltec, kama bado tafuta kitabu kiitwacho " The four Agreement" cha Don Miguel Ruiz, kisome taratibu kuna kitu urajifunza Boss.
 
Hujathibitisha roho ipo.

Nini chanzo cha vyanzo ni swali, si jibu.

Sasa mbona unafanya swali kuwa jibu na uthibitisho?

Unajuaje kuna chanzo cha vyanzo?

Unajuaje vitu havikuwepo milele tu bila chanzo binajibadilisha format tu?

Umesema Mungu ni gravitational force. Hapa tunaongelea habari za dhumuni. Gravitational force ina dhumuni?

Gravitational force kuna vitu inashindwa inashindwa. Mungu anashindwa?

Nadharia zako za mystics bado mpaka sasa hazijathibitisha kuwa roho ipo. Unakarifi na kubumbabumba tu.

Hicho kitabu cha "The Four Agreements" mbona ni self help book tu, sijaona kilipothibitisha Mungu yupo wala roho ipo.

Kama kimethibitisha weka nukuu hapa.

Wewe umeshindwa hata kuandika "Toltec" au "The Four Agreements". Why should I trust that you know how to pay attention to detail? Spellings za dhana na kitabu ulichosoma wewe mwenyewe tu huzijui, nitajuaje una uwezo wa kufuatilia detail kwa logic?

Wewe ni mtu mshamba tu ambaye hujui hata spelling huijui dunia.

Mpaka sasa hujathibitisha Mungu yupo wala hujathibitisha roho ipo.
 
Aisee, hakika unajiona ulivyo kinagaubaga haswaa. Dunia ni kioo kubwa kinachokuonesha ulivyo. Ushamba unauona kichwani mwako unauproject ukifikiri ni wengine kumbe wewe ndiye unayeishi na kujiona hivyo.
Huwa naandika kinachokuja kichwani siyo spelling nilizokariri Brother au unataka kuwa mhariri humu?. Tukihariri maandiko yako hatukosivdetails za kukosoa kiuhariri ila tunachoangaliw ni mantiki na nguvu ya hoja unayoileta.
 
Ahsante kwa mtazamo wako.

Ila Kusema Mandela alichagua/kuyapa mwenyewe kupambana na ubaguzi hakuonyeshi kwamba hakukuwa na kusudi la awali. Mtu anaweza kufanya uchaguzi wake na bado uchaguzi huo ukawa sehemu ya kusudi la awali. Una ushahidi gani kwamba hakukuwa na kusudi la awali?

Mfano mtu anaamua mwenyewe kusomea udaktari. Lakini mtu mwingine anaweza kusema vipaji, mazingira na nafasi alizopewa vilimwelekeza kwenye kusudi hilo. Ukweli kwamba kuchagua hauondoi uwezekano wa kusudi,

Wangapi wanachagua au wqnayapa maisha malengo na hayafikiki.

Kila mtoto.alitamani KUWA kama flani, kusomea kitu flani hayo ni malengo lakini vipi wote walifanikiwa?

Ukisema kusudi/lengo la wali hili ni lazima litafanyika bilabchangamoto kubwa ukilijganisha na lile la kujipa
Huyo jamaa huwa anafikiri the mind is all.. Amekariri kuwa everything is a decision. Kwamba logic is the source of everything na kuna muda mpk tulibishana akaniweka blacklist.. Hapo utachoka tu.
 
Aisee, hakika unajiona ulivyo kinagaubaga haswaa. Dunia ni kioo kubwa kinachokuonesha ulivyo. Ushamba unauona kichwani mwako unauproject ukifikiri ni wengine kumbe wewe ndiye unayeishi na kujiona hivyo.
Huwa naandika kinachokuja kichwani siyo spelling nilizokariri Brother au unataka kuwa mhariri humu?. Tukihariri maandiko yako hatukosivdetails za kukosoa kiuhariri ila tunachoangaliw ni mantiki na nguvu ya hoja unayoileta.
Hujathibitisha roho ipo.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Kitabu unachokinadi hujaeleza kinajibu vipi maswali yangu.

Umesema gravity ni Mungu. Sasa gravity ina dhamira?

Gravity inaposhindwa Mungu kashindwa?
 
Ukiambiwa uthibitishe kutokuwepo kama unavyowaambia wathibitishe kuwepo unaweza thibitisha?
Inaonekana huelewi falsafa ya uthibitisho. Huelewi mzigo wa uthibitisho (the burden of proof) uko wapi.

Twende polepole.

Nje ya kanuni za kimahesabu na mantiki, kama katika "proof by contradiction", kuthibitisha kitu ambacho hakipo kuwa hakipo hakuwezekani.

Kwa sababu, kitu hicho hakipo. Yani ni hivi, ili kuthibitisha kitu chochote kuhusu kitu fulani ( nje ya uthibitisho huo wa kimahesabu na kimantiki kama "proof by contradiction") inabidi kitu hicho kiwepo.

Hivyo, uthibitisho, kwa kiasi kikubwa, ni mzigo wa yule anayesema kitu kipo, si wa yule anayebishia kauli hiyo na kuomba kuthibitishiwa kitu kipo.

Ni hivi, ikiwa nimeibiwa, kuna mwizi alikuja nyumbani kwangu, ninaweza kuthibitisha nimeibiwa, mwizi alikuja.

Labda nina CCTV cameras, labda nitapata fingerprints za huyo mwizi, nitaweza kuthibitisha kuna mwizi alikuja kwangu kuniibia.

Sasa, ikiwa hakuna mwizi aliyeingia kwangu, unanitaka nithibitishe hakuna mwizi aliyeingia kwangu, nitathibitisha vipi?

Ndiyo maana polisi wakija kwako na kusema wewe una madawa ya kulevya, wao wanaosema una madawa ya kulevya ndio wanatakiwa wayatafute mpaka wayapate. Hawatakiwi kukupa wewe unayesema huna madawa hayo mzigo wa kuthibitisha kuwa huna. Kwa sababu huwezi kuthibitisha huna. Hata wakiichunguza nyumba yote, wakakosa madawa hayo, bado kutakuwa na uwezekano kuwa hawajaangalia sehemu fulani.

Kama mwizi hajaingia kwangu, nitathibitishaje mwizi hajaingia?

Nitakupatia fingerprints za mwizi ambaye hajaingia kwangu? Nitakupatia videos za kumuonesha mwizi ambaye hajaingia kwangu?

Kuna baadhi ya miungu, kama wa Biblia na Quaran, naweza kuthibitisha hawapo kwa "proof by contradiction" kama ya Epicurean Paradox, the problem of evil.

Mzigo wa uthibitisho upo kwa anayesema Mungu yupo.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Thibitisha Mungu hayupo thibitisha acha story

Si Kila mtu anakubaliana na hizo falsafa vipi kama mini sizikubali utalazimisha nizifate.

ushahidi gani unaothibitisha kwamba Mungu hayupo? Kama huna, basi hujathibitisha kauli yako. Hivyo usiseme hayupo sena hujui KUWA yupo au haukubaliani na uwepo wake sio hayupo thibitisha
 
Uthibitisho ni nini?
Ilo swali ulitakiwa ujiulize kabla ya kuniuliza je unauliza kitu usichojua

Ukisema Mungu hayupo thibitisha wewe si ndo uneanza jusema hayupo thibitisha ukishindwa manake sema hujui KUWA yupo au hautaki kukubali uwepo wake.

Mbali na hapo thibitisha

ushahidi gani unaothibitisha kwamba Mungu hayupo? Kama huna, basi hujathibitisha kauli yako
 
Kusudi la kuwepo duniani si fumbo lililofichwa kwenye vitabu vya siri, bali ni kujipa maana wewe mwenyewe katikati ya utupu na kutokujua..
 
Ilo swali ulitakiwa ujiulize kabla ya kuniuliza je unauliza kitu usichojua

Ukisema Mungu hayupo thibitisha wewe si ndo uneanza jusema hayupo thibitisha ukishindwa manake sema hujui KUWA yupo au hautaki kukubali uwepo wake.

Mbali na hapo thibitisha

ushahidi gani unaothibitisha kwamba Mungu hayupo? Kama huna, basi hujathibitisha kauli yako
Wewe unaweza kuthibitisha chochote ambacho hakipo kwamba hakipo?
 
Ndio ni kama TU kuthibitisha kuwepo kwa kilichopo
Thibitisha kitu kimoja ambacho hakipo kuwa hakipo.

Nje ya proof by contradiction or mathematical proofs.

Do you even understand my point?

I feel that you don't.
 
Back
Top Bottom