Kusudi la kuwepo duniani ni lipi?

Kusudi la kuwepo duniani ni lipi?

Thobitisha hili kimantiki na kisayansi, kwa ushahidi na mifano, tujue na wewe hujajipa umuhimu wa kuparamia mambo yaliyokuzidi bila kuyaelewa.
Chukua kipande cha nyama, kifunike na bakuli, baada ya siku tatu na zaidi, utakuta ile nyama imepungua/imeisha na kutengeneza viumbe vingine.
Hivyo hivyo ata binadamu wa mwanzo alitokea hivyo, inawezekana kulikuwa na mlundikano wa uchafu na kugeuka kuwa binadamu; ule uchafu mzuri ukawa wazungu na ule uchafu ulioshindikana ukawa watu weusi.​
 
Mkuu aliyetengezeza kitu ndiye mwenye kusudi "trace the source" kijiko hakiwezi kujua kusudi lake ila aliyekiunda (he know the purpose). Unataka kujua kusudi, mjue Mungu wako kwanza, Yeye ndiyo sababu ya uwepo wako.
Hiyo ni kiimani, je kisayansi tunaweza kupata jibu?
 
Again, we can't find our purpose from ourselves. Sisi ni viumbe tu, yupo muumbaji mwenye kusudi. Mfano mgumu ni huu hapa, ukitengeneza kifaa kifaa halisi na kusudi ila manufacturer ndiye mwenye kusudi la kifaa. Mzalishaji ana ithibati ya kuweka "manual" ya matumizi ya kifaa bayana na siyo kifaa kujiwekea manual hiyo.

Matumizi mabaya ya kifaa hayamaanishi mtengeneza kifaa hakuwa na kusudi. Binadamu kutokujitambua ni sawa kwa sababu hakujiumba ila ana wajibu wa kujitambua kwa kurudi kwa Mzalishaji " Manufacturer" God.

Ask and it is given.
 
Siku utakayopata Nuru utakumbuka kwamba Mungu alisema Natumfanye mtu kwa mfane wetu.Na mtu si mwili ni roho iliyondani ya mwili.Kwa ufupi kama tusingemwasi kupitia Adamu,kuzaliwa kwetu kungekuwa na maana;tungekuwa mfano wake na kutawala viumbe vyake.Baadaye Mungu anawarejesha watu wakubaliyo mipango yake ili kusudi lake litimizwe.kwa hiyo wewe na Mimi si bure Mungu ana makusudi nasi
 
Kusudi kubwa la kuja duniani ni kujua utakufa ukiwa na msimamoupi?/ ukisimamia kusudi lipi?ukisimami hatima ipi hapa duniani na milele.Hiyo ndiyo inaitwa kujitambua na kutambua kusudi lako la kuishi hapa duniani.
Mifano...
1)TINDU LISU anajua kusudi lake la yeye kuja hapa duniani amejitambua anaju ni msimamo upi na kusudi lipi atalisimamia hapa duniani milele mpaka kifo.

2)YESU KRISTO mitume na manabii walijua kusudi la maisha yao hapa duniani na walisimamia imani yao na kuishi .kuyaishi makusudi ya maisha yao hapa duniani na milele.

3)CHE GUAVARA,NYERERE,PATRICK LUMUMBA,SAMORA MACHELE,..MOUMAR GADAFI hawa walijua kusudi la maisha yao hapa duniani na wali ishi maisha yao katika KILE WANACHOKIAMINI hata mpaka kufa
wengine ni POLE POLE ,MDUDE NYANGALI N.K
unaweza ukadhani wamekufa ila HAWAJAFA hawa ni washindi waliishi maisha yao katika kile wanachokiamini kwa gharama ya maisha yao waliishi katika kusudi laoo la maisha yao bila kuyumba wala kutetereka mpaka last drop of their blood and last breath,,hivyo bado WANAISHI mpaka leo japo kimwili walikufa mara MOJA TU/siku moja tu..ni kujua ulizaliwa mara moja tu/siku moja tu na utakufa mara moja tu siku moja tu

HALAFU KUNA HAWA
1)MACHAWA coward wasaliti akina YUDA wanafiki ,bendera fuata upepo ,wasiokuwa na msimamo wanaojiuza utu wao kwa vipande vya fedha na kuwauza wenzao,kuwachomesha kuwalengesha wauwawe WASALITI ,MACHAWA wanaosifia maovu,WANAO WAABUDU NA KUWALAMBA MATAKO wanasiasa na watawala,WASIOKUWA NA MSIMAMO ,wanaowasaliti familia zao ,watu wanao waamini ,wanajisaliti hata wai wenyewe WAMEIKANA IMANI YAO ,WAMEUZA UTU WAO wamejitoa ufahamu ,wamejitoa akili,wanajisiliti hata wenyewe imani zao,
HAWA WAMESHAKUFA INGALI WAPO HAI...ila ni wafu..wanaishi maisha MFU...FAKE...na wanakufa mara nyingi kila dakika ya maisha yao wanayoishi wakiwa wafu kila siku.
 
Un uhakika gani kama ni maneno ya Mungu?
 
Sawa, swali litakuja, binadamu wa mwanzo alitoka wapi?
Binadamu wa kwanza Aliumbwa na Mungu. Kisayansi labda tuseme Mungu alitumia Design na Material (udongo) kuumba

Kama ulitarajia nitaanza stori za masokwe ...potezea . Hakuna çha big bang Wala small bang.
 
Kusudi kubwa la kuja duniani ni kujua utakufa ukiwa na msimamoupi?/ ukisimamia kusudi lipi?ukisimami hatima ipi hapa duniani na milele.Hiyo ndiyo inaitwa kujitambua na kutambua kusudi lako la kuishi hapa duniani.
Mifano...
1)TINDU LISU anajua kusudi lake la yeye kuja hapa duniani amejitambua anaju ni msimamo upi na kusudi lipi atalisimamia hapa duniani milele mpaka kifo.

2)YESU KRISTO mitume na manabii walijua kusudi la maisha yao hapa duniani na walisimamia imani yao na kuishi .kuyaishi makusudi ya maisha yao hapa duniani na milele.

3)CHE GUAVARA,NYERERE,PATRICK LUMUMBA,SAMORA MACHELE,..MOUMAR GADAFI hawa walijua kusudi la maisha yao hapa duniani na wali ishi maisha yao katika KILE WANACHOKIAMINI hata mpaka kufa
wengine ni POLE POLE ,MDUDE NYANGALI N.K
unaweza ukadhani wamekufa ila HAWAJAFA hawa ni washindi waliishi maisha yao katika kile wanachokiamini kwa gharama ya maisha yao waliishi katika kusudi laoo la maisha yao bila kuyumba wala kutetereka mpaka last drop of their blood and last breath,,hivyo bado WANAISHI mpaka leo japo kimwili walikufa mara MOJA TU/siku moja tu..ni kujua ulizaliwa mara moja tu/siku moja tu na utakufa mara moja tu siku moja tu

HALAFU KUNA HAWA
1)MACHAWA coward wasaliti akina YUDA wanafiki ,bendera fuata upepo ,wasiokuwa na msimamo wanaojiuza utu wao kwa vipande vya fedha na kuwauza wenzao,kuwachomesha kuwalengesha wauwawe WASALITI ,MACHAWA wanaosifia maovu,WANAO WAABUDU NA KUWALAMBA MATAKO wanasiasa na watawala,WASIOKUWA NA MSIMAMO ,wanaowasaliti familia zao ,watu wanao waamini ,wanajisaliti hata wai wenyewe WAMEIKANA IMANI YAO ,WAMEUZA UTU WAO wamejitoa ufahamu ,wamejitoa akili,wanajisiliti hata wenyewe imani zao,
HAWA WAMESHAKUFA INGALI WAPO HAI...ila ni wafu..wanaishi maisha MFU...FAKE...na wanakufa mara nyingi kila dakika ya maisha yao wanayoishi wakiwa wafu kila siku.
 
MANDELA,LISU ni baadhi ya mifano ya watu wanaoishi kusudi la wao kuja duniani,wanajua wapo duniani kwa ajili ya kufanya nini na wanaishi maisha yao kusudi lao milele.,MANDELA ,NYERERE wanaishi mpaka leo.
 
Attachments

  • images.webp
    images.webp
    45.7 KB · Views: 4
  • images - 2026-06-11T131243.983.jpeg
    images - 2026-06-11T131243.983.jpeg
    32.3 KB · Views: 10
Mkuu aliyetengezeza kitu ndiye mwenye kusudi "trace the source" kijiko hakiwezi kujua kusudi lake ila aliyekiunda (he know the purpose). Unataka kujua kusudi, mjue Mungu wako kwanza, Yeye ndiyo sababu ya uwepo wako.
Je huyo Mungu unayemmaanisha hapa ni yupi?
 
so kwa kifupii kusudi la kuwepo duniani ni ili TUFE ,hii ni fact kwamba lazima wote tufe,so ni vyema UKAFA MARA/SIKU MOJA TU kwa vile ulizaliwa MARA MOJA/SIKU MOJA TU..kuliko kuishi maisha ya ki COWARD ukiwa umekufa mara nyingi kila dakika ya maisha yako unaishi maisha MFU fake ya KICHAWA kinyume na kusudi lako na imani yako,maisha ya KINAFIKI ya kulamba watu miguu/kuwaabudu binadamu wenzako badala ya kumuabudu MUUMBA WAKO anayeweza kuua both mwili na roho...USIOGOPE..ISHI SASA ILI UFE MARA MOJA siku moja.
 
  • images - 2026-06-11T133014.599.jpeg
    images - 2026-06-11T133014.599.jpeg
    19.4 KB · Views: 9
Lengo la nani?

Maisha hayana lengo, wewe unayeishi ndiye unaamua maisha yako lengo lake ni nini.

Mandela hakuzaliwa kwa lengo la kumaliza ubaguzi wa rangi wa makaburu Afrika ya Kusini.

Aliamua mwenyewe kuyapa maisha yake lengo hilo.
Ahsante kwa mtazamo wako.

Ila Kusema Mandela alichagua/kuyapa mwenyewe kupambana na ubaguzi hakuonyeshi kwamba hakukuwa na kusudi la awali. Mtu anaweza kufanya uchaguzi wake na bado uchaguzi huo ukawa sehemu ya kusudi la awali. Una ushahidi gani kwamba hakukuwa na kusudi la awali?

Mfano mtu anaamua mwenyewe kusomea udaktari. Lakini mtu mwingine anaweza kusema vipaji, mazingira na nafasi alizopewa vilimwelekeza kwenye kusudi hilo. Ukweli kwamba kuchagua hauondoi uwezekano wa kusudi,

Wangapi wanachagua au wqnayapa maisha malengo na hayafikiki.

Kila mtoto.alitamani KUWA kama flani, kusomea kitu flani hayo ni malengo lakini vipi wote walifanikiwa?

Ukisema kusudi/lengo la wali hili ni lazima litafanyika bilabchangamoto kubwa ukilijganisha na lile la kujipa
 
Back
Top Bottom