Kusudi la kuwepo duniani ni lipi?

Kusudi la kuwepo duniani ni lipi?

Thibitisha kitu kimoja ambacho hakipo kuwa hakipo.

Nje ya proof by contradiction or mathematical proofs.

Do you even understand my point?

Narufia njia Ile Ile unayotumia kuthibitisha kipo ndio hiyo hiyo unaweza thibitisha hakipo.

Thibitisha Mungu hayupo?
 
Narufia njia Ile Ile unayotumia kuthibitisha kipo ndio hiyo hiyo unaweza thibitisha hakipo.

Thibitisha Mungu hayupo?
Hujathibitisha hata kitu kimoja ambacho hakipo kuwa hakipo.

Thibitisha.

Acha kusema unaweza kuthibitisha, thibitisha tuone.
 
Back
Top Bottom