Kusudi la kuwepo duniani ni lipi?

Kusudi la kuwepo duniani ni lipi?

Ukitaka kujua kusudi la binadamu kuwepo duniani, tazama kile ambacho binadamu ana ki offer kwenye universe/ au kwenye nature. Binadamu ana offer hewa ya Carbon dioxide kwenye nature. So kusudi la binadamu kuwepo duniani ni kuzalisha hewa ya Carbon dioxide. Alie muumba binadamu na kumuweka duniani alimuumba kwa kazi moja kubwa nayo ni kuzalisha hewa ya carbon dioxide period.
 
Kwa hiyo unamaanisha ni kukidhi uhitaji wa viumbe wengine?
 
Ni kuwepo duniani ili kutafuta hela, kushindana au ni kuwepo duniani ili tuishi?

Nimejaribu kufanya utafiti mdogo na kugundua kuwa, watu wengi wanatumia nguvu kubwa ya kutafuta hela, vyeo, kushindana ukubwa, wingi wa mali n.k; sasa nikawa najiuliza hawa kweli wanajua kusudi la kuwepo duniani?

Mimi nipo zangu hapa kijijini nimejilalia kwenye kitanda changu cha ngozi ya fisi, huku nikisikiliza milio mbalimbali ya ndege pamoja na kutukuza sifa na uumbaji wa Mungu.

Kwa mazingira haya naona kabisa, mimi ninaishi.

Je wewe, unafikiri kusudi la uwepo wako hapa duniani ni kufanya unacho kifanya?​
Ipo mitazamo mingi, huo ni wako. Kila mmoja anao wake pia mkuu, na hakuna anaeweza kukosoa mwenzake kwamba hayupo sahihi.
 
Back
Top Bottom