Kusudi la kuwepo duniani ni lipi?

Kusudi la kuwepo duniani ni lipi?

"Bwana wetu na Mungu! Unastahili kupokea utukufu, heshima na nguvu. Uliumba vitu vyote. Kila kinachoishi kiliumbwa kwa sababu ulitaka."
Ufunuo.4.11.TKU

Tuko duniani kwasababu yupo aliyetaka tuwepo.

Kwasababu alitaka tu tuwepo.

Anapenda kutuona.

Fikiria chochote ulichonunua ambacho hukihitaji lakini unakipenda tu:

Picha. Maua. Urembo wowote. Sofa lenye design flani.

Au wale wanao collect vitu, ana collect ma coin, saa, Kuna watu wananunua vintage cars uli wayaone tu yamepaki hata hawaendeshi.

We're so much like our creator.
Je tunaishi kama aliyetaka tuwepo?
 
Hujajibu tutajuaje huyu binadamu na huyu si binadamu. Unapimaje?

Pia, unapoukiza kusudi la binadamu kuwa hapa ni nini, unakusudia kusudi la nani?
Chanzo au kisababishi cha uwepo wetu ni nini?
 
Ninekuuliza kwa sababu watu wengi tuna I Fanya ego kama enemy!

The ego mind huwa ni kama kisu the same kisu cha kufungulia satori(enlightenment) lakini pia ndo kisu cha kukuchoma pale unalodhani ni kitu cha kuhold on to.

Nimekuwa kwenye spiritual journey for a while ila nimegundua it was a lie, the budha did all the searching, the meditation, the chanting ila ili kufikia enlightenment alijua he had to let go even the very process of searching.
Yes, Ego sio enemy.

Changamoto kubwa ni kwenye integration ya body, mind and spirit.

Changamoto nyingine ni EGO "lower self" ikivaa Vazi la spiritualism, ndio unakuta kama hawa wa instagram au wanaanza kutumia kama identity tena, Hii mbaya sana.
 
Ego mind, nadhani ni dhana ya kufikilika sana na mara nyingi haiakisi uhakisia, kwanini tusiseme ego ni low consciousness, au vibrational state?
 
Yes, Ego sio enemy.

Changamoto kubwa ni kwenye integration ya body, mind and spirit.

Changamoto nyingine ni EGO "lower self" ikivaa Vazi la spiritualism, ndio unakuta kama hawa wa instagram au wanaanza kutumia kama identity tena, Hii mbaya sana.
Mimi Naona pia huwa Kuna divine interaction ambayo ina decide either u advance au ubaki pale pale.
 
Jibu sahihi hili hapa.
Kila kiumbe kina kusudi la ki Design.
Haya umeumba Dunia ina mazingira.

Kuna nyasi zinazo kua bila kukatika zenyewe...kuweka mambo sawa unaumba wanyama wanaokula nyasi na majani.Wanyama kama swala,nyati,sungura nk.Hawa wanasaidia kupunguza nyasi maeneo mbali mbali duniani.

Kuna wanyama wengine kusudi lao duniani ni kupunguza idadi ya wanyama wengine...mfano simba kuwinda swala.Hadi wadudu hula wadudu wengine.

KUSUDI LA BINADAMU DUNIANI NI KUSIMAMIA VYOTE.KUTIBU WANYAMA,KULINDA MAZINGIRA ,KUFANYA DUNIA IWE NA MAANA MACHONI PA MUNGU nk.

Hali ya Leo ...watu kuwa bize na maisha ni kutokana na muundo wa jamii hasa serikali.Halikuwa kusudi la mungu .
 
Umejibu kiimani, vipi kisayansi?
 
Tunazaliwa - tunafanya mapenzi plus hela kuihangaikia - mwisho tunakufa.

Mda mwingne huwa natoka kimawazo nje ya dunia na kuwaangalia watu kila wanachotenda kwa kujihangaisha wengne.

Na wengne mpaka huumiza wenzao kisa maisha na utafutaji ridhiki.
Nabak nawaza lengo la haya yote ni nini?

Afu mwisho nafkilia na utawala wa mataifa ndo nachoka kabsa
 
Back
Top Bottom