BABU NYAU
JF-Expert Member
- Feb 15, 2025
- 1,022
- 1,120
Huko panafaa kufanga kiwanda cha kutengeneza bia zitokanazo na ndiz..Ushafika Kiwira wewe?Hiyo wilaya ya Rungwe inalisha hiyo Nchi miaka,
Hapo hatujaja Tokyo,Kyela ,Uporoto,Swaya,Songwe,Chunya,Utengule,Ileje,Mbozi kwa mwashambwa, Makambako
Hako kanchi unakabeba kwa mbeleko tu.
Kuna ndizi Mbeya wanakula Nguruwe,na sijui km unazijua mkono wa tembo?
Ndizi moja mnakula ukoo mzima.