Kusema ukweli nchi ya Rwanda ni nzuri sana

Kusema ukweli nchi ya Rwanda ni nzuri sana

Leaders must have visions, they should be walking the walk or walking the talk no these morons who keep on talking the talk and nothing is being done.
Mbona maono wanayo wangekuwa hawana maono hata hilo daraja la Busisi Mkoani Mwanza usingeliona,..SGR Usingeziona..Barabara za juu usingeziona na mambo kadha wa kadha usinge yaona au wewe ulitaka sahv tuwe tunaishi Mbinguni au Sayari nyingine ndo ujue tumepiga hatua kimaendeleo???Rudin nyumbani tujenge uchumi wetu sio mnasemea nje huko..Nyumbani kumenoga...Kutulinganisha na Rwanda nikutukosea heshima kama unavowakosea heshima viongozi wako....Changamoto hazikosekani zipo..na changamoto hzo zinasababishwa na mfumo wa kisiasa uliopo na sio viongozi...
 
Nimekuwa nafuatilia video za nchi ya Rwanda, hata za huko vijijini. Kwa kweli hii ni nchi nzuri sana. Baada ya miaka kumi ikiendelea hivi itakuwa muonekano wa nchi za Ulaya hata kuzidi.

Kila kitu unaona kimepangwa na wapangaji wanaojali watu wao. Mambo yote yanaonyesha kuwa kuna order.
Nimejifunza kuwa ukidhibiti rushwa kila mtu ndani ya nchi anaamka na kufanya mambo kwa manufaa ya wote. Rushwa inavunja moyo wenye nia ya kuendeleza nchi.


Point taken, boda boda wanafuata sheria sana. njoo TZ sasa.
 
Dar ni ndogo mbona haina Miundombinu Bora ?

Somalia ni nchi ndogo mbona imejaa umasikini ?

Burundi ni nchi ndogo mbona imejaa umasikini ?


Toeni pongezi Kwa nchi ya Rwanda
sahv kutoka Dar hadi mwisho wa reli kwa basi unatumia siku moja.. Wakati miaka ya nyuma, siku tano hadi wiki kwa basi..halafu unasema hatujaendelea..hiv uliikuta barabara ya Dodoma-Shinyanga ikiwa yavumbi? leo hii basi linatoka Lusaka Zambia-Dar kwasababu ya miundombinu..halafu unakuja kupinga eti hakuna maendeleo Rwanda ndo wanamaendeleo kutuzidi..ulitakiwa useme hv kwanin Rwanda wameizidi Somalia na Burundi kwa maendeleo?
 
Mbona wabongo ndo maskini wa kutupwa kuliko hao Wanyarwanda. Lol
acha kudanganya umma wakati hujatembea..Nenda Rwanda vijijini kabisa huone usafiri wanaotumia wa baiskeli wakati sisi kwetu vijijini ndani kabisa watu wengi wanamiki pikipiki baiskeli unaweza kuitafuta kwa tochi..halafu unasema Bongo maskini wa kutupwa..Sawa umaskin upo lakin sio wakulinganisha na Rwanda..Mnapotoa data muwe mlishafanya utafiti.
 
Back
Top Bottom