Huyo uliyemjibu hii reply ni moja ya watanzania wenye ufahamu mdogo sana kuhusu maendeleo ya Taifa kwa ujumla, angalia hapo kwenye comment yake ya kwanza amekimbilia kusema eti Rwanda ni taifa la mafukara, wakati mada inazungumzia hasa mandhari na mpangilio wa miundo mbinu.
Kwake yeye anaamini mtu mmoja mmoja akiwa na pesa ya kuhonga na kunywa bia ndio maendeleo yenyewe hayo, kwake yeye maendeleo anayoyatambua ni ya mtu mmoja mmoja kumiliki pesa basi.
Angalia hata Id yake anajiita "MONEY IS EVERYTHING" ina reflect fikra zake, na mara nyingi watu kma hawa wakipewaga kitengo wanakuwaga ni wezi na wabinafsi wakubwa.