Kupiga mswaki na kopo la kuogea

Kupiga mswaki na kopo la kuogea

Kuna haka katabia cha kutumia ndoo na kopo la kuogea kupigia mswaki

Kwa kweli hii tabia inanikwaza sana.
Mnaofanya hivyo badilikeni aisee. Hata kuweka mswaki juu ya mlango wa bafuni sio usafi kabisa
Shida ni maji kuingia mdomoni au tatizo ni nini!!, Ukiwa unaoga huwa haupeleki maji mdomoni unayooga?
 
Wewe, kama walivyo waafrika wengi, umeshakubali kuwa choo au bafu ni lazima iwe chafu na haina haja kusafishwa sana. Ndugu nikipiga picha ya bafu nalotumia ni kama chumba cha VIP hapo bongo. Nilipokuwa nafanya kazi ya box nyumba zote nilizokuwa nafanya usafi bafu ian kila kikombwelezo. Na miswaki ndiko inakokaa. Kama hujaruka majuu ni ngumu kuelewa.
Woooiiii hivi kumbe unaongelea habari za majuu!!!!
 
maisha ya boarding,ndoo ikiwa chooni ndio inakuwa ya chooni,hiyo hiyo ikiwa na maji ya kunywa ni ya maji ya kunywa,hahaha
 
Ni vema ukaintroduce huu ustarabu kwenu/kwako.
Wewe unataka tutumie jagi la maji ya kunywa?
Au unadhani kila nyumba ina sinki la kunawia/kuswakia??
Mambo mengine si ya kuyajadili hapa,just kumwambia mumeo/mkeo yatosha!!!))
To a utaratibu mkuu na mzuri ya kuswaki
 
Hahaha seems unapenda sana papuchi lol... tunazungumzia miswaki rafiki



Cc Smart911
haahhaa papuchi nimeiongelea kama reference tu yakumkumbusha kuwa kuna sehemu nyingine ambayo huwa anaitumia pasipo kuugopa uvundo na bacteria wake '"
 
hahaaa....unapenda ufukunyuku kama "" wambea waliosomea "" (usalama)

haaa nilikua nasoma uzi sasa nakutana na koment ya p kwanza nikaangalia jukwaa gani hili huyu atakua kakosea jukwaa huyu ndo kuangalia nani huyu tehteh [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji1] [emoji1] [emoji1]



Cc Smart911
 
sijui wasiojulikana washafanya yao sio kwa kutuchinjia baharini huku!



cc Smart911
yaani weeee acha "" itakuwa kapata sponcer tu ...hahaa masponcer wanatabia mbaya kweli yaani"" hawakawii kumuachisha mwanamke kazi au kuacha kitu alichokuwa anapenda kukifanya ......refer DJ fetty "" na Menina
 
haaa nilikua nasoma uzi sasa nakutana na koment ya p kwanza nikaangalia jukwaa gani hili huyu atakua kakosea jukwaa huyu ndo kuangalia nani huyu tehteh



Cc Smart911
hahaaaa .....ulidhani nimekosea jukwaa""" geeeeezz Yale mambo bwana yakishakuganda kwenye medula "" hukawii kusikia genye hata ukiwaona mbuzi wakiwa wanafnya yao" so na mimi Niko addicted tu unisamehe
 
Kuna haka katabia cha kutumia ndoo na kopo la kuogea kupigia mswaki

Kwa kweli hii tabia inanikwaza sana.
Mnaofanya hivyo badilikeni aisee. Hata kuweka mswaki juu ya mlango wa bafuni sio usafi kabisa
Bila shaka bado unaishi na wazazi na hapo nyumban ni nyumba ya familia, yaan wazazi wakoShangaz,mjomba,mamdogo na watoto zao mabalehe na wali wote mmechanganyika humo

Au

Umepanga nyumba yenye wapangaji wenzako wengine wengi, na ni nyumba za uswahilili, chumba kimoja tuu, jiko, store ( kama ipo), ukumbi (sebule), choo na bafu mnatumia kwa pamoja sasa kuna ndoo moja ya chooni/bafuni na kopo moja

Kwa hali kama hii kweli sio ustaharabu kabisa, lkn mm nae tumia ndoo na kopo na mama yako mdogo tuu hapo tatizo lipo wapi?[emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom