Kupiga mswaki na kopo la kuogea

Kupiga mswaki na kopo la kuogea

Chaumuhimu kufisafisha,hakuna tatizo ktk kuvitumia, unakataa kupigia mswaki alafu unakubali kuogea,wakati unapoogea waji yanapita mwili mzima hadi mdomoni,kuna wengine kupiga mswaki na mkono wa kulia wanaona niuchafu pia wewe unasemaje hapo?alafu mbona mkono wako unashika kinyesi wakati wa haja na ukitoka hapo unaenda kushika chakula?jibu nazani unausafisha ndio hivyohivyo kwenye makopo na ndoo.suluhisho sahihi ni kujenga nyumba yako na kuweka sinki la kuswaki na bafuni bomba lamvua na chooni kichambio basi,kwa wasio na uwezo wakujenga yaani wapangaji usiwapangie waache waishi wapendavyo
 
Acha kuchungulia wapangaji wenzako wakienda kuoga.
Kuna haka katabia cha kutumia ndoo na kopo la kuogea kupigia mswaki

Kwa kweli hii tabia inanikwaza sana.
Mnaofanya hivyo badilikeni aisee. Hata kuweka mswaki juu ya mlango wa bafuni sio usafi kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom