Hata unapoenda kupanga, unatafuta sehemu yenye huduma hizo.Sio wote wamefikia level za kujenga
Mpangaji hatakiwi kuwa na hivyo vitu?Mi ni mpangaji mkuu
Uzuri wake ni msafi na akiudondosha atauokota na kuusafisha kabla ya kurudisha unapokaa. Jitahidi bafu liwe safi.Na kuna siku mwenzi ataudosha chini then ataurudishia alipoutoa bila kusafisha
Usafi sio lazima ukae huko kwa matajiri, hata huku kwetu uswazi tunajitahidi kuwa wasafi, ni suala binafsi kwa faida ya afya yako.Sawa wa Masaki
du, mmegenerorizi sana, ndoo yang na kopo langu moja chooni kwangu , kila nyumba ina utamaduni wake, nyumba nyingine hata kama za kupanga wanashare choo kila mtu na vifaa vyake!Hilo kopo/ndoo mnatumia wangapi kuogea, kuendea chooni na kufua vyupi alafu unaitumia kupigia mswaki.
Daah. Alafu mbaya zaidi kila mtu ana ustaarabu wake sasa
Kuwa mpangaji hakuzuii mtu kuwa msafi.Sio wote wamefikia level za kujenga
Na hayo ndo maisha ya watanzania wengi.Haya yote ni umasikini tu hakuna kingine, mtu hana sink chooni, hakuna maji ya uhakika kwamba mtu anaweza kuaccess maji hadi ndani, chumba kimoja bafu mtaa wa pili.
Nchi za kimaskini kuanzia serikali hadi watu wake.
Juu ya mlango wa bafuni unaweka wapi mswaki?Kuna haka katabia cha kutumia ndoo na kopo la kuogea kupigia mswaki
Kwa kweli hii tabia inanikwaza sana.
Mnaofanya hivyo badilikeni aisee. Hata kuweka mswaki juu ya mlango wa bafuni sio usafi kabisa
Mmoja wapo huyu apa,ww mtu acha uchafu huo.Ni vema ukaintroduce huu ustarabu kwenu/kwako.
Wewe unataka tutumie jagi la maji ya kunywa?
Au unadhani kila nyumba ina sinki la kunawia/kuswakia??
Mambo mengine si ya kuyajadili hapa,just kumwambia mumeo/mkeo yatosha!!!))
Duuu.Kwenye ule upenyo
Hapana. Kuwa msafi siyo ku-complicate maisha.Ili uwe msafi zaid inabid mdomo uufunge plasta au auache nje ukienda chooni mbona mnacoplicate maisha
Nikadhani umekuja na utafiti wa kisanyansi juu ya athari za tabia hizo kumbe unakwazika na tamaduni ya kiafrica maana hiyo siyo tabia ni tamaduni. nashauri uhamie zimbabwe.Kuna haka katabia cha kutumia ndoo na kopo la kuogea kupigia mswaki
Kwa kweli hii tabia inanikwaza sana.
Mnaofanya hivyo badilikeni aisee. Hata kuweka mswaki juu ya mlango wa bafuni sio usafi kabisa
Duh kaka nawe unatumia kopo la kutawazia kupigia mswaki! TwafwaaaaaNi vema ukaintroduce huu ustarabu kwenu/kwako.
Wewe unataka tutumie jagi la maji ya kunywa?
Au unadhani kila nyumba ina sinki la kunawia/kuswakia??
Mambo mengine si ya kuyajadili hapa,just kumwambia mumeo/mkeo yatosha!!!))
Ndio maana kipindupindu hakiishiWala hakuna tatizo, ila ni imani kama kawaida yetu, kopo lako, mswaki wako, sijuwi kwanini wa pembeni anakereka?!
Ni kama wenzetu waislamu, mbona hawapigi kelele tunapokula kiti moto?!
Wafaransa wanakula vyura, sisi tulalamike ya nini?!
Wamakonde kwa kula Panya ni hatari, ila ni uchafu kwa kabila zingine!
Wachina kwa kula nyoka, paka, kono kono, mbwa, na chochote kile chenye miguu minne wanapeta, ila tukianza kulalamika tutaonekana majuha!
Watani zangu wagogo, kwa kuomba omba ni ma "champions", mbona sisi Wasukuma hatulalamiki?!🙂😉
Kisichokudhuru wewe kwanini wakereka?!
Yes, umasikini.Na hayo ndo maisha ya watanzania wengi.