Jendahyeka 01
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 212
- 166
Kuna demu flani nilshuhudia anafanya hivyo mbona nilimnyima kiss nkamtafutia sababu ya kumpiga chin
Busara ni nini?Kweli sio busara huo ni uchafu
Nikutumia vyombo visivyo vya bafuniBusara ni nini?
Kile cha kunywea maji au kikombe cha chai?Nikutumia vyombo visivyo vya bafuni
Chombo maalum kitengwe kwa hiyo kazi mkuuKile cha kunywea maji au kikombe cha chai?
Ili uwe msafi zaid inabid mdomo uufunge plasta au auache nje ukienda chooni mbona mnacoplicate maishaMkuu si uzungu ila ni kuachana na mila na desturi mbovu
Huna sink? Huna running water nyumbani kwako?Mimi miaka yote natumia kopo la kuogea kupigia mswaki sioni tatizo
Ukisoma majibu mengi utagundua wengi hawana sink wala running water.Jengeni nyumba zilizojitosheleza kwa huduma muhimu za maliwato.
Bafuni.Ww mswaki wako unauweka wapi?!
Baada ya kuwapiga chini ungehakikisha una sink na running water bafuni ili wasitumie hayo makopo. Wangekwambia hawawezi kutumia makopo ungesema wana nyodoMkuu siongelei nyumba bali naongelea wenye tabia hiyo. Nimekutana na mademu wawili na nikaewapiga chini kwa sababu ya tabia hiyo