Kupiga mswaki na kopo la kuogea

Kupiga mswaki na kopo la kuogea

USTAARABU UPO: endapo unatumia mwenyewe au na mkeo/mumeo.

Suala la usafi ni la mtu binafsi, so tabia yako kutaka kuwafundisha wanaoishi single wasitumie kopo ni ngumu ku_apply kwa wengine.
 
Br
USTAARABU UPO: endapo unatumia mwenyewe au na mkeo/mumeo.

Suala la usafi ni la mtu binafsi, so tabia yako kutaka kuwafundisha wanaoishi single wasitumie kopo ni ngumu ku_apply kwa wengine.
Mkuu we unaona ni sawa kweli mkuu. Niliuliza hapo juu kuwa kama mtu uwwezi kuweka maji ya kupikia kwenye ndoo ya kuogea iweje uwe na ujasiri wa kuchota maji kwenye hiyo hiyo ndoo na kupigia mswaki
 
😎😎😎😎😎 Mfyuuuuuuu. Mwisho wake mtaanza kusema kuwa sabuni ikidondoka chooni tusiiokote.... Kwendraaaaaa😵😵😵
 
😎😎😎😎😎 Mfyuuuuuuu. Mwisho wake mtaanza kusema kuwa sabuni ikidondoka chooni tusiiokote.... Kwendraaaaaa😵😵😵
Wee endelea kupigia mswaki ndoo na kopo ambalo ukichamba unanawa kwenye ndoo hiyo hiyo, Ukiwa mwezini unafulia humo humo na hata yale mabaki ya maji mazito kwenye vyupi unafulia humo humo. Usiasahau kuna wengine wanaendaga mbali zaidi wanakojoa humo humo usiku
 
Unasema humu, kwani members wa JF wanakujaga bafuni kwenu?

Ongea nao hao watu wenye tabia hizo hapo kwenu...

Cc: mahondaw
Nawarekebisha wenye tabia hizo mkuu. Wale wa karibu yangu nishamalizana nao face to face
 
mm mtu akienda kuoga akapiga mswaki wake huko ,midawa ya mswaki inabaki inanuna nakwazika..
mabafu yenyewe yetu ya mitaani ,haya mambo wafanye wenye mabafu yao na sink za kupigia mswaki...

Kuna watu wanakuaga na ustaarabu wa ajabu
 
Uko vizuri Mkuu ulichoandika ni kweli kabisa.

Nadhani busara ni kuwa na kopo lingine kwa ajili ya kupigia mswaki. Ndoo ya kuogea ambayo unaitumia pia chooni. Imagine unapomwaga chooni ni mara ngapi maji yanaruka na kurudi kwenye ndoo. Auunapoweka mswaki juu ya mlango wa bafu ni watu wangapi wameweka vyupi vyao hapo ulipoweka mswaki wako.
Kuna gharama gani kununua jagi kwa ajili ya kupigia mswaki?
 
Mbaya zaidi unakuta kopo lenyewe linatumiwa na watu kibao, sijui watu hawana kinyaa hata kama kopo na ndoo unatumia mwenyewe tu kupigia mswaki ni kuhatarisha afya yako
 
USTAARABU UPO: endapo unatumia mwenyewe au na mkeo/mumeo.

Suala la usafi ni la mtu binafsi, so tabia yako kutaka kuwafundisha wanaoishi single wasitumie kopo ni ngumu ku_apply kwa wengine.
asante kwa hii mada ...inatukumbusha kuhusu usafi ...lakini ajabu waweza kukuta na wewe nimnyonyaji mzuri na maarufu wa papuchi
Nakazia
 
Mkuu pole sana nadhani haka katabia umeanza kukaona kwenye familia yako kwanza ,kama umewapa somo kabla ya kuja kutupa somo hapa hongera nimesema hvyo kwa maana sidhani kama kuna kushea makopo au ndoo za choon kwenye nyumba za kupanga.Vipi kuhusu kufulia chupi kwenye ndoo la kuogea wakina dada baada ya kuoga ,kwenu haipo hyo?
 
Wewe unashangaa mtu kupiga mswaki na kopo/ndoo ya chooni,mbona huulizi wanaozama chumvini na kwenye tigo kunyonya.
Hii dunia ukitaka kuwa free deal na mambo yako,ya wengine yatakuumiza kichwa tu.
Kwako haramu kwa wengine halali!!
 
Wewe unashangaa mtu kupiga mswaki na kopo/ndoo ya chooni,mbona huulizi wanazama chumvini na kwenye tigo kunyonya.
Hii dunia ukitaka kuwa free deal na mambo yako,ya wengine yatakuumiza kichwa tu.
Kwako haramu kwa wengine halali!!
Na kwenye papuchi zetu zipo fungus kibao. Mi binafsi naishi mwenyewe kwenye nyumba na bafu na choo natumia peke yangu. Natumia jagi la ndani kupiga mswaki uani na natumia jagi hilohilo kunywea maji na kuchotea maji ya kupikia kwenye ndoo na kuhamishia kwenye sufuria kiroho safi kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom