Kupiga mswaki na kopo la kuogea

Kupiga mswaki na kopo la kuogea

Labda uwe wa kishua lakini Uswazi haviepukiki ndg

Na ikiwa umepanga huko, Nakushauri kama una kauwezo ni heri Uhame, maana siku si nyingi utakwazana na watu.

Uswazi utachunguza vingapi..? Utaonekana mbinafsi tu na una GuBu.
 
Kuna haka katabia cha kutumia ndoo na kopo la kuogea kupigia mswaki

Kwa kweli hii tabia inanikwaza sana.
Mnaofanya hivyo badilikeni aisee. Hata kuweka mswaki juu ya mlango wa bafuni sio usafi kabisa
Nyumba zetu za kupanga uswahilini mbona kawaida tu.
Dirisha la bafuni limejaa miswaki ya kila aina usipokuwa makini unajikuta umetumia mswaki wa baba Nyamizi jirani yako.!
Kuna wengine anaoga dawa za kienyeji kisha anasahau kikaratasi cha dawa dirisha la bafuni!
 
mm mtu akienda kuoga akapiga mswaki wake huko ,midawa ya mswaki inabaki inanuna nakwazika..
mabafu yenyewe yetu ya mitaani ,haya mambo wafanye wenye mabafu yao na sink za kupigia mswaki...

Kuna watu wanakuaga na ustaarabu wa ajabu
Well said
 
asante kwa hii mada ...inatukumbusha kuhusu usafi ...lakini ajabu waweza kukuta na wewe nimnyonyaji mzuri na maarufu wa papuchi
Kabla sijazama lazima niipeleke mwenyewe bafuni niioshe vizuri
 
Mbaya zaidi unakuta kopo lenyewe linatumiwa na watu kibao, sijui watu hawana kinyaa hata kama kopo na ndoo unatumia mwenyewe tu kupigia mswaki ni kuhatarisha afya yako
Kweli kabisa mkuu. Sijui huu ujasiri wanatoa wapi?
 
Mkuu pole sana nadhani haka katabia umeanza kukaona kwenye familia yako kwanza ,kama umewapa somo kabla ya kuja kutupa somo hapa hongera nimesema hvyo kwa maana sidhani kama kuna kushea makopo au ndoo za choon kwenye nyumba za kupanga.Vipi kuhusu kufulia chupi kwenye ndoo la kuogea wakina dada baada ya kuoga ,kwenu haipo hyo?
Kabisa mkuu. Nimeshawarekebisha wengi tu
 
Wewe unashangaa mtu kupiga mswaki na kopo/ndoo ya chooni,mbona huulizi wanaozama chumvini na kwenye tigo kunyonya.
Hii dunia ukitaka kuwa free deal na mambo yako,ya wengine yatakuumiza kichwa tu.
Kwako haramu kwa wengine halali!!
Ushauri ni muhimu pia mkuu
 
Labda uwe wa kishua lakini Uswazi haviepukiki ndg

Na ikiwa umepanga huko, Nakushauri kama una kauwezo ni heri Uhame, maana siku si nyingi utakwazana na watu.

Uswazi utachunguza vingapi..? Utaonekana mbinafsi tu na una GuBu.
Ukipanga still bado utatumia vitu vyako mwenyewe
 
Nyumba zetu za kupanga uswahilini mbona kawaida tu.
Dirisha la bafuni limejaa miswaki ya kila aina usipokuwa makini unajikuta umetumia mswaki wa baba Nyamizi jirani yako.!
Kuna wengine anaoga dawa za kienyeji kisha anasahau kikaratasi cha dawa dirisha la bafuni!
Hahaha
 
Kuna haka katabia cha kutumia ndoo na kopo la kuogea kupigia mswaki

Kwa kweli hii tabia inanikwaza sana.
Mnaofanya hivyo badilikeni aisee. Hata kuweka mswaki juu ya mlango wa bafuni sio usafi kabisa
Naunga mkono hoja
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hilo kopo/ndoo mnatumia wangapi kuogea, kuendea chooni na kufua vyupi alafu unaitumia kupigia mswaki.

Daah. Alafu mbaya zaidi kila mtu ana ustaarabu wake sasa
Wangapi kama wangapi, Mimi niko Single, naishi peke yangu kwenye nyumba yangu, Kuna tatizo gani, nikitumia vifaa hivyo, kuswakia.

Je nyumba yenye familia, ya watu Saba, Kila mtu awe na kopo lake la kunawia au wote wa Share, kopo moja, maana kila mmoja na ustaarabu wake. Na kama kila mtu awe na kopo lake, baada ya matumizi makopo ama Kopo, yatunzwe wapi.
 
Ni bora ku share ndoo ya kuogea na kopo lakini pia mkawa na kopo tofauti la kuswaki.
 
Naunga mkono hoja
Hususan kwenye nyumba za kupanga ustaarabu ni chini ya F
Inawezekana wewe ndoo ya kuogea huendei chooni ila ndoo hiyo hiyo wao wanaendea chooni.
Hilo ni tatizo tujali afya zetu.
Kopo langu la chooni sio chafu ila ndoo yangu ndio chafu.
 
Matumizi ya ndoo ya chooni ni mabaya sana kuruhusu mdomo wako kugusa maji yake. To be honest hata nikitaka kula sinawi kwenye hiyo ndoo
 
Kuna watu humu usishangae hata beseni la kufulia wanaoshea nguo pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom