macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,223
- 60,289
Siku hizi kuna ''makopo'' mengi ya plastiki yanauzwa kwa bei rahisi. Ni kiasi cha kununua kila mtu awe na la kuogea na kupigia mswaki.Ni vema ukaintroduce huu ustarabu kwenu/kwako.
Wewe unataka tutumie jagi la maji ya kunywa?
Au unadhani kila nyumba ina sinki la kunawia/kuswakia??
Mambo mengine si ya kuyajadili hapa,just kumwambia mumeo/mkeo yatosha!!!))