Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,523
- 14,002
Nyumba nyingine ni za familia zina watu 11,sasa wawe na makopo ya kuchambia,wawe na makopo ya kupigia mswaki.Vitu vingine ni kujiendekeza mkuu. Ukose hadi 500
Hapo itabidi kuwe na stoo au strong room kwa ajili ya kutunza makopo tu.
Je na wale wanaoishi nyumba za kupanga,chumba kimoja na sebule itakuwaje??
Kila mtu aishi apendavyo na awezavyo!!