sizitaki mbichi hizi, haya tupeni ya wazungu wanaopendwa kuolewa na wabongo wote ni milioner.......yamekushinda pole
kaka nikutumie link ya hii kitu?
Wanajamvini, kuna msemo unaosema kwamba, binadamu wote wameumbwa sawa na haki sawa.Kwa maana hiyo rangi haijalishi, wala mipaka ya nchi hayana hutu. Ni sisi wenye ndio tuliojijengea mipaka ya kiitikadi inayomfanya mweusi kuwa chini na mzungu Juu
Kwetu tunaoishi Tanzania, kuna kasumba mpya hasa kwa madada zetu kuwakimbilia wazungu wakidhania kwamba kuolewa na Mzungu ni tiketi ya kuwa tajiri pamoja na maarufu. hii kasumba inaendelea kwenye Bulogu ya U-turn ambamo wote walioolewa na Wazungu hata wasio na meno ni Macelebrity
Kwetu sisi tulioishi nchi za nje, hasa maeneo ya Texas, mzungu anamuona mweusi kama "filth" na mara nyingi utamkuta mzungu kumuoa mweusi kutokana na matatizo yanamfanya kutokubalika na wazungu wenzie. Mara nyingi ni wazungu masikini, wasio na elimu au wale wanaoitwa kwa lugha nyingine "White Trash". Wengi wa hawa wazungu wanapokuja Tanzania dada zetu wenye njaa uwakimbilia
Sijamuona Mzungu mwenye hadhi ya Uzungu aliyemuoa mweusi. Na hata kama wamewaoa, mara nyingi wanakuwa wa ku passtime hadi warudi makwao. Ndo chache baina ya wazungu na weusi ni za kweli, inakuwaje hawa wadada wanajiona wako juu ilhali hawawezi kukubalika kwenye familia za kizungu????
Najua U-turn watavamia Jamii Forum, lakini pia inabidi wajue ukweli, kwamba ndoa zao ni za muda tu. Hata NBA stars wanakubalika na wanawake wazungu kwa sababu wana hela. Mniambie Mzzungu maarufu mwenye mke mweusi ! Puu Njaa itatuponza
..........i have a dream that my four little children will one day live in a nation where they will not be judged by the color of their skin but by the content of their character..........
awa dada zetu wa kibongo wanababaika sana na rangi nyeupe
alafu awa jamaa wanakulaga na ile kitu,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,ingine
mtoa mada umepolwa na mzungu nn mhh!!
una uchungu nazo????.....si unayo yako?
but am haapy married to mzungu and i will never date a black guy anymore, cheaters!! ongera mange kwa kumpata mzungu dada, si unajua matatizo uliyoyapata wakati wa kudate blacks b4 mzungu.
Halafu hapa Tz dada hajamwona huyo mzungu akisota. Siri ya wapendanao waijua wenyewe wanaopendana.