Kuolewa na Mzungu Tanzania, ni Ticket ya U-celebrity au Njaa?

sizitaki mbichi hizi, haya tupeni ya wazungu wanaopendwa kuolewa na wabongo wote ni milioner.......yamekushinda pole
 
Inaelekea mleta mada anataka kutuambia u turn ni mali ya hawa madada walioolewa na wazungu? I miss the point
 
Wanajamvini, kuna msemo unaosema kwamba, binadamu wote wameumbwa sawa na haki sawa.Kwa maana hiyo rangi haijalishi, wala mipaka ya nchi hayana hutu. Ni sisi wenye ndio tuliojijengea mipaka ya kiitikadi inayomfanya mweusi kuwa chini na mzungu Juu

Kwetu tunaoishi Tanzania, kuna kasumba mpya hasa kwa madada zetu kuwakimbilia wazungu wakidhania kwamba kuolewa na Mzungu ni tiketi ya kuwa tajiri pamoja na maarufu. hii kasumba inaendelea kwenye Bulogu ya U-turn ambamo wote walioolewa na Wazungu hata wasio na meno ni Macelebrity

Kwetu sisi tulioishi nchi za nje, hasa maeneo ya Texas, mzungu anamuona mweusi kama "filth" na mara nyingi utamkuta mzungu kumuoa mweusi kutokana na matatizo yanamfanya kutokubalika na wazungu wenzie. Mara nyingi ni wazungu masikini, wasio na elimu au wale wanaoitwa kwa lugha nyingine "White Trash". Wengi wa hawa wazungu wanapokuja Tanzania dada zetu wenye njaa uwakimbilia

Sijamuona Mzungu mwenye hadhi ya Uzungu aliyemuoa mweusi. Na hata kama wamewaoa, mara nyingi wanakuwa wa ku passtime hadi warudi makwao. Ndo chache baina ya wazungu na weusi ni za kweli, inakuwaje hawa wadada wanajiona wako juu ilhali hawawezi kukubalika kwenye familia za kizungu????

Najua U-turn watavamia Jamii Forum, lakini pia inabidi wajue ukweli, kwamba ndoa zao ni za muda tu. Hata NBA stars wanakubalika na wanawake wazungu kwa sababu wana hela. Mniambie Mzzungu maarufu mwenye mke mweusi ! Puu Njaa itatuponza

Sidhani kama ni njaa ya hivyo wengi wao inaonekana wanaenda kuwaokota hawa wazungu sehemu ambazo dada yangu 'Mwajuma Sakapoko' afiki. Wengi ni watoto wanaotoka middle class families hila USHAMBA TU UMEWAZIDI wala si u-superstar wa hivyo, ni ushamba tu wakutupilia. Kha sijui nani kawaambia ndio deal na hiyo blogu ulioitaja kwa namna flani inasaidia ku-corrupt hawa madogo. Dhamani ilikuwa ni malaya wa barabarani ambao wanawakoleza wazungu mpaka ndoa, hawa watoto sasa wanaenda kujiuza kuchukuliwa advantage na wazungu njaa asilimia kubwa.
 
Mapenzi hayachagui jamani. It's true that, kwa asilimia kubwa mzungu anaoa au kuolewa na mweusi kwa sababu huyo 'm-bongo' ana kitu flani 'exceptional'. But sometimes, it's the 'POWER OF LOVE' that makes blacks and whites live together as husband and wife..... NI HAYO TU!
 
..........i have a dream that my four little children will one day live in a nation where they will not be judged by the color of their skin but by the content of their character..........

mlk, 1963
 
Wazungu wana hadhi ya uzungu na singinevyo, vile vile sijajua ni meusi yupi hana hadhi ya uweusi. Sidhani kama ulimaanisha UZUNGU ni utajiri, kinyume na ufukara kwa mtu mweusi. Lakini dada aliyedanganywa sana na kaka weusi kwa nini na asijaribu kwa mzungu, after all kuna matumaini kua labda huyu mzungu anasema ukweli kua anatoka NY. Halafu hapa Tz dada hajamwona huyo mzungu akisota. Siri ya wapendanao waijua wenyewe wanaopendana.
 
"wote walioolewa na Wazungu hata wasio na meno ni Macelebrity"

LOL!, LOL!.....tunasikitisha sana kusema kweli.
 
du hii kali, yah kuolewa na mzungu hata mimi nimoelewa na mzungu , kweli wazungu wana mapenzi ya kweli, wanakupenda and they do take care of you, wanaume wa kiafrica kazi yao ni kucount how many women they slept with, mwanaume wa kiafrica hata kama ameoa lazima atakuwa na nyumba ndogo hata kama 10. mimi nilikuwa natoka na kaka mmoja wa kichagga, yaani alikuwa anabadilisha wamawake kila kukicha! nikamshauri noine kama atabadilika lakini wapi God knows where he is now! but am haapy married to mzungu and i will never date a black guy anymore, cheaters!! ongera mange kwa kumpata mzungu dada, si unajua matatizo uliyoyapata wakati wa kudate blacks b4 mzungu.
 
awa dada zetu wa kibongo wanababaika sana na rangi nyeupe
alafu awa jamaa wanakulaga na ile kitu,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,ingine
 
Halafu hapa Tz dada hajamwona huyo mzungu akisota. Siri ya wapendanao waijua wenyewe wanaopendana.

Eti eeh!!? Nimekubali, kumbe ni kweli tupu so kwa vile analipia bills hapa bongo mambo ni mazuri huko muendako! Nice!
 
he he hee,mi nacheka tu hapa kwani mie kwangu ni virce versa,nimetrulia tuli watoto wa kibongo pasua kichwa wakitaka raha ya masaa nawapa lakini siyo kuwa nao miaka watakuua na presha.wacha wabebe wazungu zeruzeru,sarcatic,mateja na kila taka nyeupe,mradi na sisi tunakula tunapohitaji basi,haina haja ya kuingia mkataba.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom