Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,557
- 21,513
Habari wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada yetu isemayo watanzania Mapenzi ni ya wazungu, nyie mlizoea kulazimisha.
Tokea enzi za mababu zetu wao walikuwa wanalazimisha tu kuoa tu mwanamke Kutoka familia Fulani.
Hii ilikuwa ni pamoja ya Mila za kitanzania ambazo zilikuwa zinamtaka mama au baba amtafutie mwanae wa kiume mke.
Hii ilikuwa ni pamoja na kumlazimisha mtoto wao aoe familia Fulani kwakuwa walikuwa wafugaji, wakulima Bora au wawindaji wanyama nk.
Utararibu huu ulitumika kuangalia pia kama familia Binti kama Ina magonjwa ya kurithi au laana Fulani ilikuwa hawaoi.
Hizo ni baadhi ya Mila ambazo watanzania walizifuata ili kumlazimisha mtoto wao wa kike au wa kiume kuoa au kuolewa.
Sasa balaa linakuja pale ambapo Mzungu anakuja na utamaduni wake wa mwanaume kumuoa Binti anayempenda.
Imeenda mbali mpaka sasa mwanamke anayouwezo wa kuchagua mwanaume ambaye yeye mwenyewe anampenda.
Shida ipo pale ambapo mwanaume wa kitanzania ambaye utamaduni wake wa kulazimisha upo damuni alafu anakuja kuiga utamaduni wa kupenda wa mzungu.
Achana na hayo, njoo kwenye zile Mila ambazo watanzania wamezitelekeza lakini bado zinawatafuna kwa ndoa au mahusiano ya mapenzi.
Mila nyingi zilishafanyika na makafara yakatolewa huko, Sasa wanapokuja kuoana Yale makafara yanaibuka.
Wale wazazi walipokuwa wanalazimisha mwanaume kuoa au mwanamke kuolewa walikuwa washaweka mipaka kuwa Koo hii haioi Wala kuoana.
Ndio maana mahusiano mengi ya mapenzi mpaka ndoa yanaishia njiani maana yanavita kubwa ya mizimu.
Mila na tamaduni za kitanzania ni zaidi ya uchawi, zinafunga mafanikio yote ya ndoa na maisha yenyewe.
Kataa Mila za kitanzania za kichawi...
Chagua njia nyembamba au Nene kazi ni kwako, njia panaa ni Yesu na njia pana ni shetani baba wa uongo.