Kuolewa na Mzungu Tanzania, ni Ticket ya U-celebrity au Njaa?

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Wanajamvini, kuna msemo unaosema kwamba, binadamu wote wameumbwa sawa na haki sawa.Kwa maana hiyo rangi haijalishi, wala mipaka ya nchi hayana hutu. Ni sisi wenye ndio tuliojijengea mipaka ya kiitikadi inayomfanya mweusi kuwa chini na mzungu Juu

Kwetu tunaoishi Tanzania, kuna kasumba mpya hasa kwa madada zetu kuwakimbilia wazungu wakidhania kwamba kuolewa na Mzungu ni tiketi ya kuwa tajiri pamoja na maarufu. hii kasumba inaendelea kwenye Bulogu ya U-turn ambamo wote walioolewa na Wazungu hata wasio na meno ni Macelebrity

Kwetu sisi tulioishi nchi za nje, hasa maeneo ya Texas, mzungu anamuona mweusi kama "filth" na mara nyingi utamkuta mzungu kumuoa mweusi kutokana na matatizo yanamfanya kutokubalika na wazungu wenzie. Mara nyingi ni wazungu masikini, wasio na elimu au wale wanaoitwa kwa lugha nyingine "White Trash". Wengi wa hawa wazungu wanapokuja Tanzania dada zetu wenye njaa uwakimbilia

Sijamuona Mzungu mwenye hadhi ya Uzungu aliyemuoa mweusi. Na hata kama wamewaoa, mara nyingi wanakuwa wa ku passtime hadi warudi makwao. Ndo chache baina ya wazungu na weusi ni za kweli, inakuwaje hawa wadada wanajiona wako juu ilhali hawawezi kukubalika kwenye familia za kizungu????

Najua U-turn watavamia Jamii Forum, lakini pia inabidi wajue ukweli, kwamba ndoa zao ni za muda tu. Hata NBA stars wanakubalika na wanawake wazungu kwa sababu wana hela. Mniambie Mzzungu maarufu mwenye mke mweusi ! Puu Njaa itatuponza
 
red-hadhi ya uzungu ndio ipi? au na wewe una kasumba?
blue-fact hii umeifanyia utafiti kwa ndoa ngapi na wazungu wa nchi zipi?
 
William Sebastian Cohen, former US Secretary of Defence wakati wa utawala wa Rais Bill Clinton.
 
mtoa mada u sound like unakitu binafsi na u-turn au waloolewa na wazungu. heading ya thread ni suali lakini kwa maelezo yako ni kuwa unatupa jibu kabisa.

sioni tatizo la mtu kuolewa na mzungu hata kama ni white trash as long as wameoana kwa kupendana na sio kwa ajili ya kutafuta "pesa" au "u-celeb"

robert deniro kama sikosei kao mke wa tatu mweusi ...........( even though ndoa nyingi za famous ppl huvunjika vunjia so we cant realy say much about them)
 
Mi nafikiri suala zima la ndoa si rangi kabila wala dini tumeshashuhudia watu wa rangi tofauti kabila tofauti pia dini tofauti wakioana. La msingi ni wale wanaochukuana je wanachukuana kwa maana halisi ya ndoa?

Ucelebrity sio tu kwa mzungu kumchukua mbongo au mbongo kumchukua mzungu, sisi wabongo kwa wabongo mbona ucelebrity upo kibao tu. Ndoa kuwa za muda husababishwa na wahusika kutoiishi misingi ya ndoa na kutoheshimu viapo walivyoapa mbele ya mungu wao.
 
Watajiju, lakina ni mazumbukuku na washamba ndio wako hivyo. Nawajua wadada wengi wameolewa na wazungu lakini hawana popolipo
 
ushamba tu wa dada zetu hawa,mtu yuko tayari atembee na mzungu hata kama ni chizi ili awakoge wenzie tu.tunajidharaulisha sana tu
 
Hilo ni tatizo ni hulka tu na wazungu wanaokuja kuoa huko mara nyingi wameshastaafu huku na ni vibabu wanatumia tu hela.
Kitu kingine hata wakisikia kuna jamaa anatoka nje ya nchi basi wanapapatikia sana hata hawajui jamaa ana ishu gani huku wao wako tayari kuolewa hata waje wawe wakinamama wa ndani tu na wengine wako radhi hata waache kazi zao za maana ile kuambiwa mtu yuko Ulaya basi wanajisikia raha sana sio kila mtu anaenjoy huku bana ohoo
 
Jamani hawa wazungu ikija kwenye suala la kupeana raha chumbani ni zero kabisaaaaaaaaaaaaa.

Lakini wanajua kupenda na akikupenda basi wewe ni malkia.

Makaka zetu wa kibongo ikija kwenye suala la kuridhishana wala usiongee..they will take you to the moon..ila sasa tatizo lao na wao mtapangwa foleni kama kumi hivi..utadanganywa kama mjinga,muda mwingi yupo na washkaji badala ya girlfriend au familia.kitu ambacho hakipo kabisaa kwa wazungu.mzungu akikupenda ni wewe tu , hatawachanganya,akikuchoka atakuambia na hakudanganya kama hawa waswahili wenzetu.thats the bigest difference

hilo ndio kubwaa linalotufanya tukimbilie kwa wazungu
 
Real?.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom