aisee ulikuwa unamashindano???
maandamano ya nini sasa wewe mkenya??
mbona kuongeza unene easy tu mwone mwallu amesema asha boko kampita kidogo tu
nimesikia kuna virutubisho vinawasaidia baadhi ya watu kurudi kwenye Mwili wako Halisi vinaitwami mwenyewe nataka kupungua..kwa mwili huu nilionao hakuna hata anaenisogelea
hahah utaandamana peke yako mkuu kwa hilo sikuungi mkono unataka ajali ziendelee kenya na foleni zisizo na ulazima?Kwani si kuna jumuiya ya Africa Mashariki mkuu kukaa popote nahamishia makazi huko kwa sababu yake na nikishahamisha makazi namtafuta
Duh!shost una manenooo!!!!!
teammfano....asha boko
Yaan ni shida maah!!! Sijui tutaolewa na nani make kila mwanaume anataka kimodo.
Sie matukunyema tutasugua goti sana!!!!
hahah utaandamana peke yako mkuu kwa hilo sikuungi mkono unataka ajali ziendelee kenya na foleni zisizo na ulazima?
Hahahahahahaaaa! Mndengereko unautani na mwallu wewe! Kuliko Asha boko tena!! Kwi kwi kwi!
Eti mwallu, ni kweli alioyasema Mndengereko?
mimi kuwa kama Asha boko sitaki, kama vipi nisaidie tu at least niwe na unene kama wa Almarhum Kanumba!
kujiachia ruksa lakini isipitilize mpk sasa mtu ukawa haueleweki wala hauvutii tena matokeo yake unakujikuta zamani mapigo yote unayamudu sasa hivi umenenepeana unakuwa selective kwenye mapigo....
[FONT=lucida
grande]nimesikia kuna virutubisho vinawasaidia baadhi ya watu kurudi
kwenye Mwili wako Halisi vinaitwa [/FONT]
POWER OF CLEAN 9 FOOD
SUPPLIMENTS
Sio KEMIKALI....Ni Virutubisho Mbadala! inasemekana
vimewasaidia wengi kama utakuwa interested mcheki seth kwenye namba
hizi
0754 711243,(haya
maelezo nimeyatoa kwenye ukurasa wa fb wa seth-giovani mwenyewe anadai
imewasida wengi kupungua ushahidi picha hizi hapa
![]()
![]()
![]()
![]()
Yaan ni shida maah!!! Sijui tutaolewa na nani make kila mwanaume anataka kimodo.
Sie matukunyema tutasugua goti sana!!!!
we uongezeke kidogo tu..mi ndo nafanya juhudi za kupungua aseee..hii si hali nzuri