Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
acha tujinenepee sie
kuchaguliwa katika wale wengi
c mchezo,mi sina tofauti na asha boko na bado
nataka ninenepe zaidi ebooo!!
wengi huuwa wanaanza mazoezi ili wapungue lakini kwenye swala la diet ndio huchemka watu huwa hawawezi kujinyima wanapenda sana kubugia hasa vitu vya mfauta mafuta so ushauri wangu ukianza mazoezi jitahidi sana pia kuangalia chakula unachokula otherwise itakuwa kazi bure.
hwish u all the best katika struggle zako. za kupungua.kama witness aliweza kupungua naamini hata wewe huwezi kushindwaHapo kwnye chakula ndo tatizo na huu ukibonge wangu ni toka nina siku moja hapa duniani,,,
Diet naianza pia ntakupa mrejesho wake..
ukiweza kutupia na kapicha kussuport maelezo yako itakuwa imekaa vyema sana.Ukute ana kitambi halafu amepigwa pasi
huhuuuu! wembamba ndo
mpango mzima, mi najiulizaga hivi mtu unaona raha gani kuwa na limwili
likubwa? kwa nini usijimaintain ukawa simple tu wakupendeza? ndoa sio
sababu ya kukufanya uwe kibonge, wengine sijui wanaona sifaaa kuwa mnene
ukiolewaaaaaa! mh hata sielewi ila I hate utukunyema jamani! potable
ndo mpangooooo........
unene una raha yake
Tyta njoo mkuu, #TeamWekaPicha inaomba msaadaukiweza kutupia na kapicha kussuport maelezo yako itakuwa imekaa vyema sana.
mi nashauri ndo kwanza inabidi ukondeane