Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,434
- Thread starter
- #61
sema kitu usiishie kucheka tu.Hahahahahaaa.... acha nicheke tu!
sema kitu usiishie kucheka tu.Hahahahahaaa.... acha nicheke tu!
ww unajipenda/unajitambua. ndo maana umeweza kujimainatainIt depends mbona me nimeolewa bonge lkn ss nipo model htr na napata kila kitu kwa mume wng cna shida!
kwani hizo protein wanapewa wao peke yao mbona wapo wanaopewa kila siku tena kutwa mara tatu lakini ukiwaangalia swafi kabisa unaweza kumbeba style yoyote unayotaka.Ila ndugu yangu ile protein ya usiku wa manane wanayopewa ni kali sana especially ukiwa ndio uliyoitaka
kweli kabisa bora uanze sasa maana ukinenepa sana mbeleni unaweza kushindwa kumudu hata mapigo marahisi marahisi tu ukawa unaweza pigo kuu tu(la asili)nifundishe maana ka ni hivo nitakosa hata salam mie
kuna wengine kupanda bodaboda hata hawawezi kwa jinsi walivyonenepeana wao ni mwendo wa bajaji tu tena ikipita kwenye tope inabidi ashuke la sivyo bajaji haiendiTena nyie ndo mtahisi kupasuka mtu kupandisha ngazi unahema kama ulikuwa unakimbizwa
nilikuwa nakutaka useme kitu mkuu.,ahasante kwa mchango wako ukimuona Tized mwambie anahitajika huku walau atoe mchango wake analizungumziaje swala hiliMkuu Mndengereko umeniita huku nije kuvunja mbavu au nifanyeje maana hiyo ya kitalmbi kama mimba ya miezi minne ni balaa
Ni kweli mkuu kuna watu wanaoana wakiwa vimbaumbau ila wakimaliza muda mchache yaani unawakuta hata kukutanisha tuu miili wakumbatiane ni issue matumbo yanatangulia kabla ya vinywa kukutana ni balaa
Wengi wetu tunajiachioa sana baada ya kuoa yaani inakuwa ni kula tuu na ukikuta mke ameandaa ndo basi tena hujiulizi ni kula kwa kwenda mbele baada ya muda mfupi matokeo yake yanakuwa hayo
Mkuu Mndengereko huyu Tized bado anapambana na yule traffic wa kwa Uhuruto nafikiri leo yuko huko aise anamtafutanilikuwa nakutaka useme kitu mkuu.,ahasante kwa mchango wako ukimuona Tized mwambie anahitajika huku walau atoe mchango wake analizungumziaje swala hili
temapicha (asha boko)
![]()
Sie ambao ni wanene tayari haituhusu hii
Hahhhhahhhhahhhhahhhhha wacha tunenepee, kama wewe utapasukaa maana ushafunguliwa hadi uziii
hahaah ameenda kujikamatisha nasikia kenyata nae kaingilia kati kwenye hilo swala teh tehMkuu Mndengereko huyu Tized bado anapambana na yule traffic wa kwa Uhuruto nafikiri leo yuko huko aise anamtafuta
cc miss neddy...ila mie napungua kidogo kwa huyo
ndio mfanye jitihada za makusudi ili mpungueYaan ni shida maah!!! Sijui tutaolewa na nani make kila mwanaume anataka kimodo.
Sie matukunyema tutasugua goti sana!!!!
hahaah ameenda kujikamatisha nasikia kenyata nae kaingilia kati kwenye hilo swala teh teh
nimesikia kabadilishiwa sketi na karudi kaziniMkuu ile ni shidaaa lazima wakuu waingilie kati maana angesababisha magari kugongana na watu wasingefuata sheria ila wangekuwa wanamfuata yeye
mbona kuongeza unene easy tu mwone mwallu amesema asha boko kampita kidogo tuWell said Mndengereko!
Watu wanajisahau sana baada ya ndoa na wengine hata ndoa hawana but wameneneeepa!
Mazoezi na kupangilia manjare ni muhimu sana!
Thanks ma Lord kwa kuniumba kipotabo! But nitafurahi zaidi nikinenepa kidogo! Mwee! Nipo kama unjikuti!
Mndengereko kama utapata article ya kuengeza unene nipatie tu! Ntashukuru sana!