Kuoa/kuolewa sio sababu ya kunenepeana

Kuoa/kuolewa sio sababu ya kunenepeana

Kweli kabisaa! Wakipata wanapumzika na kuanza kufanya yao ambayo walikuwa wanatafuta hiyo ndoa
 
Heshima kwenu wanajamavi,poleni na mihangaiiko ya kujenga nchi sisi wengine tuko busy na kuibomoa. Moja kwa moja niende kwenye topic kuna trend inayoendelea hivi sasa kwa wanandoa unamkuta mwanamke mzuri anavutia ana kila kitu ambacho mwanamke mzuri inabidi awe nacho. Akishaolewa sasa ndo shughuli inaanza utukunyema unamkuta mtu ananepeana mpaka kero na ule uzuri wote uliomfurahisha muoaji/mumewe umepotea.

Haeleweki tumbo liko wapi na nyama za ubavuni ziko wapi ukimuuliza oooh nimeridhika maisha mazuri, mume wangu ananipa kila ninachohitaji na nakula vizuri. Sasa kama wewe unakula vizuri na Rihanna asemaje? au unataka kutuaminisha kwamba wewe unakula vizuri kuliko Angelina Jolie ila mbona wao bado wana miili yao ile ile.

Kula vizuri sio tatizo tatizo ni kupangilia kula kwako ili kumaintaina uzuri wako/shape yako. Sio ishu wala nini umeolewa ulikuwa mzuri unavutia mtoto wa haja mume wako alikuwa hakuchoki ana hamu muda wote atembee na wewe basi maintain hiyo hali (uzuri wako) ili usimpe vishawshi visivyo vya lazima mumeo na aendelee kukutamani all the time. Haijalishi mme wako ni mpole,mstaarabu au anakujali kiasi gani human being is selfish by nature kila mtu anapenda vitu vizuri so ni wajibu wako (sole responsibility) kumaintain uzuri wako ukijiweka hovyo mumeo anawezaa kutafuta vizuri.


Back to us boys/men na sisi kuna baadhi yetu wanajibweteka sana wakishaoa. Kabla ya ndoa tunajijali kula vizuri kwa wastani na vimazoezi viwili vitatu vya kudanganyia ilimradi kuweka mwili katika mpangilio. Shughuli inaanza mtu akishaoa anajisahau na kunenepeana hovyo mpaka unakuta mwanaume ana kitambi kikubwa kama mimba ya miezi minne kha!! Sio ishu wala nini ukimuuliza ana kwambia mama fulani fundi bwana anajua kukarangiza sijapata kuona.

binafsi hiyo haiwi sababu ya kutosheleza kuhalalisha unenepeanaji wako wa ghafla kama kuku wa broiler. Cha msingi ni kujipenda na kumaintain maumbo yetu.

Kwa kumalizia nisiwachoshe ni kwamba najua wengi wetu tukioa au wanawake kuolewa basi time hubana sana kutokana na ubusy wa majukumu ya kifamilia. Lakini ukweli jukumu la kumaintaini mwili wako na kukufanya uwe unaonekana kama wa mtu(romantic) ni letu wenyewe haijalishi upo busy kiasi gani. Na hili swala linatuhusu wote wala haijalishi kama ni mseja au umeoa/kuolewa.

Naomba kuwasilisha.

Ila ndugu yangu ile protein ya usiku wa manane wanayopewa ni kali sana especially ukiwa ndio uliyoitaka
 
Huku mtaani ndo wamezidi mkuu, kuna mrembo mmoja kaolewa hapa yaani alikua bomba balaa, akikupita lazima umsalimie, mwaka haujaisha kawa bonge hadi kukaa seat ya mbele kwenye carina hawezi, anakaa seat ya nyuma pekeake....

2Q==


nilikuwa naitathmini carina ilivyo alafu unasema hawezi kukaamwenyewe kitu chammbele ppeke yake simpatii picha yukoje?

cc : tayta atulett picha huyo mrembo atakuwa anafananaje.
 
Last edited by a moderator:
Mimi katika mambo ya msingi kabisa nitakayoangalia wakati nikimappoint mama yako mdogo kwenye usaili ni suala la portability, yaani awe mwepesi kubeba ila asiwe masikini wa nyama ili nisikose pakushika just in case of emergency..na hili nitaliwekea factor ya safety say plus or minus five kwamba kama itatokea ongezeko ama kupungua renge iangukie kwenye mark tajwa na mkataba wetu utaweka hilo wazi..na sisi vibonge uzembe, tujisahihishe maana haiwezekani umsindikize mkeo clinic halafu mkunga ashindwe kutofautisha mke na mume!
 
hahaha Mndengereko maisha ya bongo ni magumu sana kujiweka juu si kazi ndogo wallah sasa ndo umepata mume ukikohoa tu waulizwa nini shidaa kwanini nisinenepe kila kitu unapewa acheni tujiachie lol

kujiachia ruksa lakini isipitilize mpk sasa mtu ukawa haueleweki wala hauvutii tena matokeo yake unakujikuta zamani mapigo yote unayamudu sasa hivi umenenepeana unakuwa selective kwenye mapigo....
 
Sasa mtu unakula morning glory, chai ya asubuhi, cha mchana, cha usiku, cha usiku tena, afu miprotini na miwanga, utaacha kunenepa?

Ongeza na mtori wa uzazi, mwe mwe mwe. Ila umenipa za uso hadi basi, nimesikia.


hahaha jitahidi kupunch nyingine ili uso usije ukaharibika
 
Back
Top Bottom