Kuoa/kuolewa sio sababu ya kunenepeana

Kuoa/kuolewa sio sababu ya kunenepeana

mi nakupenda ivo ivo ulivyo, charminglady. Ningekuwa bado kijana na sijaoa hakyanani ungekuwa mama watoto...au tuhamie Kenya maana kule kuna sheria rafiki ya ndoa?

Itabidi aisee..... Make msimu unatupita hivi hivi, Afu ntaomba utuoe mie na shost angu Heaven on Earth make ni tukunyema mwenzangu!!!
 
Last edited by a moderator:
huuu ni ukweli Mndengereko na wanaosema wameridhika nashangaa kwa maana walikuwa wanakula na uishi kabla ya kuoa/kuolewa...je maisha yapi hadi wanenepe na kupoteza mvuto????
portable raha sana vile tu watu hawajui....watu wanakula bila mpanglio ndo mana hatupendi afya zetu
kwenye kula tunaangalia sana quantity kuliko uality ya kile tunachokula na watu kushiba sana/kujaza tumbo ni tatizo mpk mtu baada ya kumaliza kula anashindwa kunyanyuka lol!!!
 
shida mno yaani kuna baadhi ya mapigo mtu hawezi kuyamudu unene unapozidi kupita kiasi na kupunguza ladha.

halafu wakikuona mwembamba utasikia kula we mtoto unenepeee, sa kwani unene diliii huwa nabaki tu nawashangaa, unakuta mtu kubonge akikaa chini kuinuka shida mwishowe anaishia tu kuwa mvivu...
 
At age of 45 i want to look like Lisa Raye....its ur own decision to look good,feel good.....hv great mind and body..UMEOLEWA,UNAWATOTO,UNAMAISHA MAZURI IT DOESNT GIVE U A TICKET TO LOOK UGLY AND UNHEALTHY.
 
halafu wakikuona mwembamba utasikia kula we mtoto unenepeee, sa kwani unene diliii huwa nabaki tu nawashangaa, unakuta mtu kubonge akikaa chini kuinuka shida mwishowe anaishia tu kuwa mvivu...
wengi wao huwa wanatamani kukonda lakini hawawezi kwa sababu ya uviv,hawawezi kujaribu kufanya mazoezi au kupunguza kula ,kufanya diet kujinyima kula baadhi ya chakula ni mtihani sana kwa vibonge
 
Back
Top Bottom