Kuoa/kuolewa sio sababu ya kunenepeana

Kuoa/kuolewa sio sababu ya kunenepeana

It depends mbona me nimeolewa bonge lkn ss nipo model htr na napata kila kitu kwa mume wng cna shida!
 
hahaha Mndengereko maisha ya bongo ni magumu sana kujiweka juu si kazi ndogo wallah sasa ndo umepata mume ukikohoa tu waulizwa nini shidaa kwanini nisinenepe kila kitu unapewa acheni tujiachie lol

neddy roastkuku walindizi ipo njiani mwambie tolu awe anamaintain time
 
Last edited by a moderator:
juzi nikikuwa na Excel kwenye sherehe za muungano kaniambia na ww umeanza kuota kitambi anapata shida kukubeba

hahahahaha ngoja niongeze speed mume mwenyewe anavyojua kudekeza hahahaha atanibeba na machine soon
 
Last edited by a moderator:
hahahahaha una swagga tatizo jina lako lantishaje

nataka watu wajue tutakufa anytime anymin ni lazima tu,ucjali ,oooh samahani sana natuma pesa kwa simu mpe tolu akakuletee deserts nahisi fridge itakuwa ina misbehave
 
Sasa mtu unakula morning glory, chai ya asubuhi, cha mchana, cha usiku, cha usiku tena, afu miprotini na miwanga, utaacha kunenepa?

Ongeza na mtori wa uzazi, mwe mwe mwe. Ila umenipa za uso hadi basi, nimesikia.
 
Back
Top Bottom