Kuoa/kuolewa sio sababu ya kunenepeana

Kuoa/kuolewa sio sababu ya kunenepeana

Ukitaka mkeo mnene akonde saizi unayotaka mwache agundue kama unachepuka tena na mwanamke mzuri zaidi yake.
 
huhuuuu! wembamba ndo mpango mzima, mi najiulizaga hivi mtu unaona raha gani kuwa na limwili likubwa? kwa nini usijimaintain ukawa simple tu wakupendeza? ndoa sio sababu ya kukufanya uwe kibonge, wengine sijui wanaona sifaaa kuwa mnene ukiolewaaaaaa! mh hata sielewi ila I hate utukunyema jamani! potable ndo mpangooooo........
congratulations for being portable.
 
Ukitaka mkeo mnene akonde saizi unayotaka mwache agundue kama unachepuka tena na mwanamke mzuri zaidi yake.
haipaswi kufika huko ni mwanamke mwenyewe inabidi ajitambue na kujiweka poa sio mpk apate external pressure za kumforce kuwa mwembamba
 
mimi naamini hakuna mwanamke anaependa kuharibika umbo lake japokuwa ni kweli baada ya kuolewa kuna kujisahau katika ku maintain miili yetu.lakini pia ni ukweli usiopingika kuwa wanaume wengi wana michepuko yao ambayo pia ni wanawake wanene!sasa hapo ndo mtu unajiuliza mbona na macho ya nje yamemfuata bonge?matokeo yake wanawake wengi wanaishia kujiridhikia na unene wao.kifupi wanaume wengi wa kitanzania hawana taste maalum!mara leo ana bonge,siku nyingine ana mwembamba,so wanawake tunaona uwe mnene au mwembamba kupendwa kupo tu!
 
huuu ni ukweli Mndengereko na wanaosema wameridhika nashangaa kwa maana walikuwa wanakula na uishi kabla ya kuoa/kuolewa...je maisha yapi hadi wanenepe na kupoteza mvuto????
portable raha sana vile tu watu hawajui....watu wanakula bila mpanglio ndo mana hatupendi afya zetu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom