Kuoa/kuolewa sio sababu ya kunenepeana

Kuoa/kuolewa sio sababu ya kunenepeana

kwa kweli sijui dini yako kama inaruhusu..ila kitimoto...ni msaada sana ...halafu,kuna uji wa ulezi...ule wenye mchanganyiko wa soya,karanga,ulezi,na dagaa kama utapenda......huo uji ukipikwa unatiwa maziwa pia...mwezi mmoja tu shavu hiloo
Niambie basi!
Nifanyeje niwe chibonge?
 
kiukweli ukiolewa lazima utatanuka kidogo hata kama unafanya nini, umeolewa na kilo 50, unazaa bado unakilo 50,mmh hapo jichunguze utakuwa na roho mbaya ambayo inakusumbua mwili hauwezi kukubali kujiachia, mwaya ukiolewa na ukipendwa lazima utanuke tena sana tuu
 
Tatizo unapokuja kuuzuia ni kazi ngumu sana
Na mtu ambaye hata mazoezi kwake ni shida tangu zamani hali ndo inakuwa ngumu zaidi

kuna post nimemuwekea mwallu ya virutubisho vya kupunguza unene na vipo vingi tu kuna vile vingine sampuli za aloevera nahisi zinaweza kuwasaidia wavivu wa mazoezi
 
Last edited by a moderator:
kabla sijaolewa nilikuwa navaa gauni size 14 sasa hivi navaa size 18 sina habari mtoto wa kike nimewekwa sawa, pia nimegundea mume wangu amependa nilivyoongezeka maana mara ya kwanza hata nguo alikuwa haniletei ila sasa ooh kila akirudi anakifuko cha darling
 
kiukweli ukiolewa lazima utatanuka kidogo hata kama unafanya nini, umeolewa na kilo 50, unazaa bado unakilo 50,mmh hapo jichunguze utakuwa na roho mbaya ambayo inakusumbua mwili hauwezi kukubali kujiachia, mwaya ukiolewa na ukipendwa lazima utanuke tena sana tuu

kunenepa hatukatai ooh yes hata sisi wanaume tukioa tunanenepa coz umepata tulizo la moyo ila sio kujisahau na kunenepa sana ukawa kama asha boko. Ukiambiwa utembee hata km 1 huwezi
 
Mkuu niunge mkono bana tuwatetee wapate haki yao ya kuvaa watakavyo na hata hapa bongo sheria isiwabane wavae hata mini na top kabisatuone maumbo yao

utasababisha majobless wajazane /walundikane kwenye makutano ya barabara au sehemu atakayopangiwa kazi huyo askari
 
utasababisha majobless wajazane /walundikane kwenye makutano ya barabara au sehemu atakayopangiwa kazi huyo askari

Nina mpango wa kwenda kumhamisha huyo wa Kenya nimlete kwenye mataa ya ubungo pale najua magari yatapita kwa kasi kubwa bila kusimama na foleni zote zitaisha
 
kwa kweli sijui dini yako kama inaruhusu..ila kitimoto...ni msaada sana ...
Mimi ni muslim but sio kigezo cha kusema niseweke shavu!
Yule mdudu hajaharamishwa moja kwa moja kama ilivyoharamishwa zinaa na kamari! Cha ajabu watu wanagegedana kila leo! Wanasemaga haina shee!
Na kuhusu kamari unaona mwenyewe watu wanavyobeti!
:focus:
Mimi nitamkula kama dawa ili niwe chibonge!

Dadadeko nataka atokee shee m1 tu anipinge hapa aone nntakavyomsomea halbadiri!
Hata bangi ni haramu but kwa dawa inaruhusika!

Pambaf! nilishapigwa kibuti na kuambiwa sitorudiwa hadi niwe chibonge!

halafu,kuna uji wa ulezi...ule wenye mchanganyiko wa soya,karanga,ulezi, na dagaa kama utapenda......huo uji ukipikwa unatiwa maziwa pia...mwezi mmoja tu shavu hiloo

mwallu hakuna nisichokula!
Tena nitakuwa mpuuzi nikiweza kumeza viribirizo na kushindwa kula dagaa! Ukizingatia nakula kama dawa! Mwallu sinaga pozi mwenzio! Ukizingatia sijakremu!

The issue is zati kwa sasa sipo kwa mkoa wenye beach! Sasa hao dagaa sijui nitawapataje!
Labda uniambie jee ni lazima na dagaa wawemo? Dagaa wa maji maridi je?

naomba unijibu hapo!
...
All in all, nakushukuru sana na ubarikiwe kwa jina la bwana Yesu!
 
dagaa wowote tu..
halafu uji unapikwa vizuri...yani haidanganyi hii...shavu linakuja mapemaaa.....amen
Mimi ni muslim
but sio kigezo cha kusema niseweke shavu!
Yule mdudu hajaharamishwa moja kwa moja kama ilivyoharamishwa zinaa na
kamari! Cha ajabu watu wanagegedana kila leo! Wanasemaga haina shee!
Na kuhusu kamari unaona mwenyewe watu wanavyobeti!
:focus:
Mimi nitamkula kama dawa ili niwe chibonge!

Dadadeko nataka atokee shee m1 tu anipinge hapa aone nntakavyomsomea
halbadiri!
Hata bangi ni haramu but kwa dawa inaruhusika!

Pambaf! nilishapigwa kibuti na kuambiwa sitorudiwa hadi niwe chibonge!

mwallu hakuna nisichokula!
Tena nitakuwa mpuuzi nikiweza kumeza viribirizo na kushindwa kula dagaa!
Ukizingatia nakula kama dawa! Mwallu sinaga pozi mwenzio! Ukizingatia
sijakremu!

The issue is zati kwa sasa sipo kwa mkoa wenye beach! Sasa hao dagaa
sijui nitawapataje!
Labda uniambie jee ni lazima na dagaa wawemo? Dagaa wa maji maridi je?

naomba unijibu hapo!
...
All in all, nakushukuru sana na ubarikiwe kwa jina la bwana
Yesu!
 
Mndengereko na Mr Rocky acheni hizo!!!! Nimeenda kumbe keshaamishwa kituo bhana. Hizo ni fitna za Mr Rocky tu.

Kaka Mndengereko umenena mkuu, Big up. Ni ukweli usiopingika kuwa kwenye kula watu tunajisahau sana ndio unakuta tuna mamiili mikubwa isiyo na tija. Na pengine imani kuwa unene unaonesha maisha bora au kuridhika na maisha. Au pengine ni mtazamo hasi kuwa kunenepa ndio kunaonesha afya imekubali.

Mkoloni amechachamaa sana, Ndo kaniachia punde.. Nitarudi mkuu... ngoja nikaliweke Oil na grisi lile BASI la Morinyo leo lina route ya Atletico baada ya kutoka liva.
Mkuu Mndengereko huyu Tized bado anapambana na yule traffic wa kwa Uhuruto nafikiri leo yuko huko aise anamtafuta
 
Last edited by a moderator:
Me kibonge nyanya dhambi ya unene inanitafuna haswaaaaaa!!!!!
Ngoja nianze zoezi labda ntakua mis...
 
Me kibonge nyanya dhambi ya unene inanitafuna haswaaaaaa!!!!!
Ngoja nianze zoezi labda ntakua mis...

wengi huuwa wanaanza mazoezi ili wapungue lakini kwenye swala la diet ndio huchemka watu huwa hawawezi kujinyima wanapenda sana kubugia hasa vitu vya mfauta mafuta so ushauri wangu ukianza mazoezi jitahidi sana pia kuangalia chakula unachokula otherwise itakuwa kazi bure.
 
Mndengereko na Mr Rocky acheni hizo!!!! Nimeenda kumbe keshaamishwa kituo bhana. Hizo ni fitna za Mr Rocky tu.

Kaka Mndengereko umenena mkuu, Big up. Ni ukweli usiopingika kuwa kwenye kula watu tunajisahau sana ndio unakuta tuna mamiili mikubwa isiyo na tija. Na pengine imani kuwa unene unaonesha maisha bora au kuridhika na maisha. Au pengine ni mtazamo hasi kuwa kunenepa ndio kunaonesha afya imekubali.

Mkoloni amechachamaa sana, Ndo kaniachia punde.. Nitarudi mkuu... ngoja nikaliweke Oil na grisi lile BASI la Morinyo leo lina route ya Atletico baada ya kutoka liva.

pole mkuu na kazi ya kujenga nchi mourinho hana chake wether apaki basi au apaki treni.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom