Kununua gari kwa mbongo ni mtihani, wauzaji wengi wanaficha matatizo yaliyowashinda, mnunuzi anaachiwa apambane nalo.

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
1,910
Reaction score
5,449
Hata ukienda na fundi ni ngumu kukagua matatizo yote.

Gari inaweza kukazwa vizuri unapoenda kuinunua na ukaitesti ukajisifu umevuta chuma ila kuna matatizo hutaweza kuyaona kwa muda huo, utayajua baadae

Gari kunywa sana mafuta

Enhine kumaliza oili haraka kila miezi mitatu unabadili

Gari kuzima njiani kwenye safari ndefu

radiator kuchemsha

battery kuisha haraka

matatizo hayaishi, ukitatua hili linaanza lingine.
 
Nadhani ni kheri kununua gari la mtu unayemjua zaidi na pia unayemmudu ili likisumbua umsumbue .

Sasa unanunua gari kwa mtu humjui au unamjua na bado unakuta ni mbavu ya mtu kwenda kudai inabidi ubebe ukoo ukakutetee aisee hapo lazima ulaumu sana .

Anyway ,mimi naona gari zuri ni la kuununa likiwa jipya ili matatizo yaanze ukiwa nalo wwe ila ndiyo mambo ya uchumi basi imekubidi kuwa na fundi royal sana kwako walau alikague haswa hata ikitokea likazingua badaye iwe shida ya kawaida sana ambayo sio kubwa sana .

Pole sana kama kimekulamba ,karibu tufuturu rafiki
 
Na mtu unaponunua kitu kwake atajidogosha sana huwezi kumjua vizuri, nenda ukadai sasa umjue vizuri

Ndio maana hapa bongo jitahidi uwe umeajiriwa ndani ya taasisi inayoweza kukutetea, uwe na connections au pesa. bila hivyo ni ngumu kupata haki yako.
 
Siwezi kufanya biashara na mtu bila kumchunguza kaka hata afanye kujidogodesha ila nitajitahidi walau niwe nammudu hata kwa ngumi ili siku kikinuka namtembezea kipigo alafu nasubiri mashauri ya jamhuri huku nikijua fika dhamana nitakuwa nayo .

Anyway biashara za sisi watanzania tunaziweza sisi kwa sisi .

Jamaa yangu aliwahi kuuziwa pikipiki namba A huko kijichi ,aliichukua ikiwa inaunguruma ila nusu ya safari kurudi chang'ombe ikazima ,akaanua akodi guta kuirudisha masikini yake alikula kipigo na kutishiwa juu ,changanya hawakuandikishana basi akafanyiwa ubabe sana .

Ikawa wamenunua vita na watoto wa Sudan ingekuwa ngumu ndugu yetu na rafiki kudhalilishwa na sisi tupo ikapangwa mission moja ya kwenda kutembeza kipigo kwa hao wajinga .

Tulienda na kipigo tulishusha cha kutosha ila mwisho wa siku walioumia ni sisi tukiitwa wavamizi (ujana enzi hizo )

Anyway tujutahidi sana kuwa wababe na kupiga mazoezi ya hapa na pale vita ya ngumi hainaga uwanja ni popote pale

Karibu tufuturu kaka
 
vita ya ngumi labda zamani, sikuhizi uende ugenini kulianzisha utaitwa mwizi, utapigwa visu hadi mauti, ukibahatika utachapika sana,

ila nimekuelewa sana kwenye kununua gai kwa mtu unaemjua na kummudu, inakuwa easy sana kumalizana bila hata ugomvi
 
Sio kwenye magari Tu, second hand products karibia zote zinakuwaga na matatizo yasiovumilika ndo maana mmiliki anaamua kuuza

Kimbembe ni pale unaponunua kwa mtu usiyemjua vizuri ama anayekuzidi ujanja hapo lazima hasara iwe halali yako
 
Unaponunua gari lilitumika unanunua gari bovu.Sio Gari Jipya.Hio haina warant wala refund.Tunaita "AS IT IS"

Hii ni duniani.Kama unataka Gari halina shida nenda Show room uchukua zero km na warant juu

Sasa mambo ya kuzingatia unaponunua GARI USED ni nini?

1. Kwanza unapoenda kulikagua tauta Rough Road uendesha angalau KM 10
2.Baada ya Hapo Mwaga OIL uweke OIL nyingine kisha Piga tena 10KM za Mjini
3.Gari isipolia shida au mwenyewe asipokataa kukuuzia BASI UMEPATA GARI.

Ukaguzi wa GARI wa namna hiyo huwa wanafanya walengaji.
 
Yaani umwage mpaka oil na gari bado hujalipia?
 
Back
Top Bottom