Kuna wanaume hawana akili kabisa aisee

Kuna wanaume hawana akili kabisa aisee

Wamama ni waimba taarabu Kama wewe, halafu ujinga ni kuchangia post ya umama huku ukijiita mwanaume.

Nenda kafungiwe na mkeo mkuu, acha wanaume tujadili mambo ya kiume..

Huna logic zaidi ya kubwabwaja tu, na wewe unaitwa baba?

Naona umeumia sana kuona tabia Kama zako zinaelezewa hapa...labda nikwambie tu Ni vile tuko nyumai ya keyboard nina uhakika wewe nina uwezo wa kukukalisha ndani na nikakulipa, kazi yako ikawa kula tu
Hakuna mwanaume mjanja mbele ya kiumbe aina ya bintiadamu kinachomiliki "MBUNYE"
 
Nasikitika kwamba siwezi kukujibu,kwa sababu huna hoja na zaidi inaonekana ni aina ya watu mnaopelekeshwa na wanawake.

mimi najibishana na wanaume mkuu tena wenye kujielewa na kwa hoja sio matusi, maana matusi huwa ni silaha ya WAPUMBAVU
yaani uweke mipaka kwa wazazi na ndugu zako kisa umeoa? foolishness! halafu unajiita una akili! akili gani! kumbuka wazazi wako ni muhimu kuliko chochote na ndugu zako ni ndugu milele!
 
Mkuu haya Mambo ya kutekwa au kutotekwa na wanawake hayana mjanja,Kama hujaoa omba Mungu sana akupe mwanamke mzuri otherwise wewe unaweza ukajikuta ni wa hovyo zaidi kuliko huyo.La mwisho Kama wewe ni mkristo unajua biblia inatuambia kuwa mtu ataachana na baba yake na mama yake na kuambatana na mkewe,nao hawatakuwa wawili tena,ndugu hasa ndugu wasiojitambua ni adui na moja wa ndoa na maisha yako kwa ujumla
 
Hapa nilipopanga asilimia kubwa tupo vijana wa kiume na wote tuko na mishe zetu, mkubwa ni jamaa mmoja hivi ambae ni Mhandisi kwenye taasisi flani. Huyu jamaa ameoa, sijui yeye na mke wake walikutana vipi lakini mke wake ni mkubwa kwake ana watoto watatu wakubwa, mtoto wake mmoja mkubwa wa kike nae ana watoto, wa pili kaolewa na watatu yuko hapo wanae anasoma kidato cha pili,..huyu bwana yeye hana mtoto nje lakini amezaa na huyu dada mtoto ambaye sasa ana miaka 6 ndio yuko nursery.

Jamaa ana pesa kiasi chake na kazi zake hakai wiki bila safari za kikazi, mke ni mzuri lakini ni aina ya wale wanawake wajanja wajanja sana, na analika sana japo jamaa hajui, tena na watoto wadogo tu ambao wangefaa watembee na watoto wake, rafiki yangu alishawahi kumla ndani kwake humohumo,

Sasa jumamosi hii tulikuwa nyumbani wote tunapiga stori na Jamaa alikuwepo, Kwa sababu jamaa ndio mkubwa kiumri akaanza kutoa nasaha.. "Wadogo zangu naombeni niwape ushauri ikija kutokea mmeoa", Basi tukawa tunamsikiliza kwa makini anachoongea, maana tulijua anazungumzia labda tabia zetu za sketi tofauti tofauti wanaokuja pale. Akaanza,

"Ukioa, Usiruhusu ndugu yako yeyote aje nyumbani kwako, wawe wazazi wako, wadogo zako na aina yeyote ile ya ndugu, wanaweza kusababisha msielewane na mkeo" Hao malizaneni nao kwenye simu au kama kuna jambo la maana kutaneni sehemu mlimalize then kila mtu aendelee na mambo yake".., Akaendelea, Unaona mimi ninavoishi vizuri na mke wangu? ni kwa sababu siruhusu ndugu waje hapa. Ikabidi kila mtu awe kimya aongeze umakini huku tunamchora tukiona kumbe huyu jamaa naye kapoteza nati za ubongo.

Kweli jamaa tangu tuwe pale miaka miwili sasa, sijawahi kuona ndugu yake hata mmoja, lakini ndugu wa mke wanapishana kila siku.., Nimejikuta namdharau sana huyu Brother japo nadhani yeye alifikiri tumeridhika na ushauri aliotupa, nimeshindwa kabisa kumuelewa, au lile ndio limbwata lenyewe? Yaani nisimruhusu mama yangu afike kwangu, mdogo wangu..Daah kuna wanaume mna roho ngumu aisee

Angejua mke wake anavyosuguliwa akiwa hayupo, asingeleta ule ushauri wa kipuuzi, yule Jamaa ni zaidi ya mpuuzi ambao nimewahi kukutana nao tangu mwaka huu uanze.
Mngemshauri akajenge nyumba sio kupanga katika umri aliokuwa nao. Halafu nyumba za kupanga mnakuwaga na mambo ya umbea umbea sana
 
Mkuu mimi sjamla, pale kamla mmoja tena kwa mazoea yake ya ajabu.

Kuna jamaa pale ni mkaguzi kutoka office ya NAO(mkaguzi mkuu wa serikali) nae pia ni mtu wa safari huyu mwanamke akamuomba ufunguo ili wadogo zake wawe wanamfanyia usafi wa nyumba na nguo sijui walianzia wapi mpaka wakafika huku, jamaa akawapa , jamaa akawa anapelekewa hadi chakula akiwa yupo, kumbe ilikuwa ni target awe kwenye mahusiano na mdogo mtu, Jamaa akajiongeza, Akala mdogo mtu, mkubwa na yeye mwenyewe kila mtu kwa wakati wake.

Yaani jamaa akawala watatu wote wa tumbo moja
Anakaa na wadogo zake au watoto zake?
 
Mkuu haya Mambo ya kutekwa au kutotekwa na wanawake hayana mjanja,Kama hujaoa omba Mungu sana akupe mwanamke mzuri otherwise wewe unaweza ukajikuta ni wa hovyo zaidi kuliko huyo.La mwisho Kama wewe ni mkristo unajua biblia inatuambia kuwa mtu ataachana na baba yake na mama yake na kuambatana na mkewe,nao hawatakuwa wawili tena,ndugu hasa ndugu wasiojitambua ni adui na moja wa ndoa na maisha yako kwa ujumla
Mkuu hili nakubaliana na wewe kabisa, Haya mambo yapo na wanawake wanatuloga sana

Lakini kwa akili ya kawaida unaweza usiruhusu mama yako asifike kwako?
 
Mngemshauri akajenge nyumba sio kupanga katika umri aliokuwa nao. Halafu nyumba za kupanga mnakuwaga na mambo ya umbea umbea sana
Nyumba anayo mkuu,

Huku tuko kikazi, Imebidi apange...na huo sio umbeya mkuu.

Ishu ni ushauri wake na maamuzi dhidi ya ndugu wa damu akiwemo mama, wewe unaweza?
 
yaani uweke mipaka kwa wazazi na ndugu zako kisa umeoa? foolishness! halafu unajiita una akili! akili gani! kumbuka wazazi wako ni muhimu kuliko chochote na ndugu zako ni ndugu milele!
Hivi unaelewa unachoongea mkuu? Wewe jamaa ndio maana nakuambia umekurupuka kuandika..... Hebu rudi kusoma andiko upya
 
Nyumba anayo mkuu,

Huku tuko kikazi, Imebidi apange...na huo sio umbeya mkuu.

Ishu ni ushauri wake na maamuzi dhidi ya ndugu wa damu akiwemo mama, wewe unaweza?
Achana na issue zake hata hizo za mke wake kupigwa we zipotezee tu. Wanaume tuna kolomelo la kuficha mambo
 
Achana na issue zake hata hizo za mke wake kupigwa we zipotezee tu. Wanaume tuna kolomelo la kuficha mambo
Ishu ni ushauri wake mkuu,

Hizo za kupigwa nimeeleza kuweka mizania sawa, kwamba anawazuia ndugu zake wasifike kwake kumfurahisha mkewe, huku mkewe anabinjuliwa
 
Katakua kashoga hako... mwanaume kamili huwezi tiririka maisha ya watu kiasi hiki.
naona umehamia kwa jinsia inayofanana na wewe mjibishane vizuri..

Wanaume kamili wanajenga hoja, juu hicho unachokiona kinakera..., Wanawake kama wewe kazi zenu ni kupanick mnapoguswa na kutukana kama defensive mechanism kwenu
 
Wanaume kamili wanajenga hoja, juu hicho unachokiona kinakera...,

Hivi seriously mwanaume unaweza kerwa na maisha ya mwanaume mwenzio na mkewe tena mpangaji mwenzio?

Hivi una akili sawasawa wewe kima? Hii unaweza iita hoja kumjadili mwanaume mwenzio?

Unaishi kutwa kusoma maisha ya mpangaji mwenzio kiasi cha kuja kuanzisha thread eti unaiita hoja? Hivi una akili timamu wewe?

Huna mambo yako ya kufanya?
 
Huyu jamaa ameoa, sijui yeye na mke wake walikutana vipi lakini mke wake ni mkubwa kwake ana watoto watatu wakubwa, mtoto wake mmoja mkubwa wa kike nae ana watoto, wa pili kaolewa na watatu yuko hapo wanae anasoma kidato cha pili,..huyu bwana yeye hana mtoto nje lakini amezaa na huyu dada mtoto ambaye sasa ana miaka 6 ndio yuko nursery.
Umeshasema jamaa ni mtu mzima... usikute anaongea from his own experience!! Unaweza kukuta hiyo sio ndoa yake ya kwanza, bali ya pili au hata ya tatu lakini zingine zilivunjika kutokana na vidomo domo vya ndugu zake!!

Lakini hata kama ni ndo yake ya kwanza, huenda ameshawahi kuishi na mwanamke, au anawafahamu vema ndugu zake... ndugu ambao wewe huwafahamu!!!!

Kwa maelezo yako, ni kwamba huyo jamaa wala sio kwamba roho mbaya dhidi ya ndugu zake, au sio kwamba hapendi ndugu zake bali inaonesha kuna kitu hakipendi toka kwa ndugu zake!

It's not about ugali mezani!!

Ukweli mchungu ni kwamba, kuna familia zingine zina mambo ya hovyo sana!! Akitokea mshikaji mmoja akawa na visenti basi home kwake panageuka ndo kambi ya ndugu! The question is: hao ndugu wanaheshimu kwamba wapo kwenye familia ambayo sio ya kwao?

Kinyume chake, unakuta ndugu wengine wakija kwako wanataka wakupangie cha kufanya na jinsi ya kuishi na mkeo!!! Tena kama una madada wengi, ndo taabu tupu!! Na zipo ndoa nyingi sana zinavurugwa na ndugu wa mume!!

Hao ndugu wa kike uliowataja labda ameshaona hawana tatizo kwenye ndoa yake! Wewe unadhani kama ni big issue kwa sababu mawazo yako umeyaweka kwenye ugali na misaada wakati mwenzako hoja yake ipo kwenye kudumu kwa ndoa!

Na ninavyomuona jamaa kwake ndoa ni muhimili wa maisha, na ndio maana hakuona taabu kuoa mwanamke mwenye watoto... so, it's not about sex as well but it's about a woman who can take care of the family when he's away kama ulivyosema kwamba ni mtu wa safari sana!!!
 
Hivi seriously mwanaume unaweza kerwa na maisha ya mwanaume mwenzio na mkewe tena mpangaji mwenzio?

Hivi una akili sawasawa wewe kima? Hii unaweza iita hoja kumjadili mwanaume mwenzio?

Unaishi kutwa kusoma maisha ya mpangaji mwenzio kiasi cha kuja kuanzisha thread eti unaiita hoja? Hivi una akili timamu wewe?

Huna mambo yako ya kufanya?
ndio maana nimekwambia wewe ni MPUMBAVU, UMEONA HOJA YANGU KWENYE HILO ANDIKO au unajificha kwenye matusi tu ili kuficha ujinga wako.

Wapi nimesema nimechukizwa na maisha yao? nyie ndio sample hiyo ya wanaume haha acha UPUMBAVU mkuu
 
Huwezi jua labda huyo mwanamke kashamwekea ile kitu kwenye msosi
 
ndio maana nimekwambia wewe ni MPUMBAVU, UMEONA HOJA YANGU KWENYE HILO ANDIKO au unajificha kwenye matusi tu ili kuficha ujinga wako.

Wapi nimesema nimechukizwa na maisha yao? nyie ndio sample hiyo ya wanaume haha acha UPUMBAVU mkuu
Upo na umama acha tabia za kike...
Wanaume hatuchunguzi maisha ya watu kijana badilika!!

Yaani kutwa nzima unafatilia life la mpangaji mwenzio utafikiri umebeba mbunye
 
Back
Top Bottom