Kuna wanaume hawana akili kabisa aisee

Kuna wanaume hawana akili kabisa aisee

Mkuu mimi sjamla, pale kamla mmoja tena kwa mazoea yake ya ajabu.

Kuna jamaa pale ni mkaguzi kutoka office ya NAO(mkaguzi mkuu wa serikali) nae pia ni mtu wa safari huyu mwanamke akamuomba ufunguo ili wadogo zake wawe wanamfanyia usafi wa nyumba na nguo sijui walianzia wapi mpaka wakafika huku, jamaa akawapa , jamaa akawa anapelekewa hadi chakula akiwa yupo, kumbe ilikuwa ni target awe kwenye mahusiano na mdogo mtu, Jamaa akajiongeza, Akala mdogo mtu, mkubwa na yeye mwenyewe kila mtu kwa wakati wake.

Yaani jamaa akawala watatu wote wa tumbo moja
Why unapenda kutaja vyeo vya watu na kazi zao mkuu?
Huoni kama ni kumexpose mtu sana.
 
Thamani yeyote ile aliyonayo mke wangu, hawezi wazidi ndugu zangu hata kama machizi, mke sio ndugu ni life partner! Binafsi siruhusu ndugu yangu yeyote amdharau, kumuendesha au kutuamulia maisha na mke wangu ila mke hatakua juu ya ndugu zangu milele, she is my life partner, that's all!

Sent from my SM-N910U using JamiiForums mobile app
 
wasomi wazuri wengi wana bahati mbaya sana kwenge maisha ya ndoa.sambamba na viongozi bora,watumishi bora.

huyo ameongea kile kilichoujaza moyo wake na anachoona ni sahihi zaidi kwake,ila kushauri na wengine wafuate hayo ndio ukichaa wenyewe.

nashangaa wanaume wa dar wanakuponda humu,wanasahau hukwenda kumuomba ushauri bali ni katika story za kawaida ndipo yaliibuka hayo.
 
As long as hilo analilifanya anafurahi na wala hamna magogoro ipo amani nyumbani sioni tatizo, kila mtu ana falsafa zake.
Ikiwa mke wake analiwa bila yeye yeye kujua na bado wanaelewana sijui ni kipi unashangaa, I assure you kwamba Hayo maisha unayotamani aishi wapo wanayaishi na wana magogoro kibao.
 
Why unapenda kutaja vyeo vya watu na kazi zao mkuu?
Huoni kama ni kumexpose mtu sana.
wahandisi wako wengi but nilitaka kuonesha jamaa pamoja na usomi wake bado mpuuzi, na aliendelea kutushauri upuuzi wadogo zake
 
wasomi wazuri wengi wana bahati mbaya sana kwenge maisha ya ndoa.sambamba na viongozi bora,watumishi bora.

huyo ameongea kile kilichoujaza moyo wake na anachoona ni sahihi zaidi kwake,ila kushauri na wengine wafuate hayo ndio ukichaa wenyewe.

nashangaa wanaume wa dar wanakuponda humu,wanasahau hukwenda kumuomba ushauri bali ni katika story za kawaida ndipo yaliibuka hayo.
haha, yaani jamaa wanakaza shingo kuona kwamba jamaa alikuwa sahihi kunishauri vile...
 
Thamani yeyote ile aliyonayo mke wangu, hawezi wazidi ndugu zangu hata kama machizi, mke sio ndugu ni life partner! Binafsi siruhusu ndugu yangu yeyote amdharau, kumuendesha au kutuamulia maisha na mke wangu ila mke hatakua juu ya ndugu zangu milele, she is my life partner, that's all!

Sent from my SM-N910U using JamiiForums mobile app
Sasa huyu jamaa yeye ananishauri nikioa nisiruhusu hata mama yangu kuja kwangu....

Nikiwa na akili timamu, hili ni jambo ambalo haliwezekani
 
Upo na umama acha tabia za kike...
Wanaume hatuchunguzi maisha ya watu kijana badilika!!

Yaani kutwa nzima unafatilia life la mpangaji mwenzio utafikiri umebeba mbunye
Mwanaume wa Kinondoni kwenye ubora wako..

Nilishakuambia, silaha ya MPUMBAVU ni matusi na wewe umedhihirisha hili, kama tu umeshindwa kuelewa mada na kujenga hoja umeishia kutukana tukana..., huna sababu ya kunifanya nikuone wewe mwanaume kamili.

Wahi ukalelewe mkuu, acha wanaume wachangie..., maana najua unapelekeshwa huko uliko

Karibu tena utukane hahaha... huo ndio umama wenyewe sasa..
 
As long as hilo analilifanya anafurahi na wala hamna magogoro ipo amani nyumbani sioni tatizo, kila mtu ana falsafa zake.
Ikiwa mke wake analiwa bila yeye yeye kujua na bado wanaelewana sijui ni kipi unashangaa, I assure you kwamba Hayo maisha unayotamani aishi wapo wanayaishi na wana magogoro kibao.
Mkuu kwa namna yoyote ile unaweza kuzuia wazazi wako wasifike kwako?
 
Nasikitika kwamba siwezi kukujibu,kwa sababu huna hoja na zaidi inaonekana ni aina ya watu mnaopelekeshwa na wanawake.

mimi najibishana na wanaume mkuu tena wenye kujielewa na kwa hoja sio matusi, maana matusi huwa ni silaha ya WAPUMBAVU
Kuchapiwa mke hakukwepeki kama huyo mwanamke ana hiyo tabia mbaya zaidi hayo mambo yanafanywa kukuficha wewe kujua mpaka uambiwe au shetani akukutanishe na tukio kwa njia tofauti msg, kumfumania au umkute mazingira tataniahi
 
Upo na umama acha tabia za kike...
Wanaume hatuchunguzi maisha ya watu kijana badilika!!

Yaani kutwa nzima unafatilia life la mpangaji mwenzio utafikiri umebeba mbunye
Mzee nimefatilia maongezi yako na mshikaji, uko sawasawa kweli? Umeoa?

Daaah..! kama unakubaliana na huo upuuzi basi sina comment juu yako.
 
Kuchapiwa mke hakukwepeki kama huyo mwanamke ana hiyo tabia mbaya zaidi hayo mambo yanafanywa kukuficha wewe kujua mpaka uambiwe au shetani akukutanishe na tukio kwa njia tofauti msg, kumfumania au umkute mazingira tataniahi
Nakubaliana na wewe kaka, hapa Ishu ni usahuri wa jamaa kuonesha mtu hatakiwi kutengamana na ndugu zake kwa ajili ya kumpa furaha mwanamke wakati huo mwanamke anamsaliti na yeye yuko huru kuwa na ndugu zake wakati wote nyumbani kwake
 
Mzee nimefatilia maongezi yako na mshikaji, uko sawasawa kweli? Umeoa?

Daaah..! kama unakubaliana na huo upuuzi basi sina comment juu yako.
Huyo jamaa ni ile sample ya wanaume wa kinondoni, mwanaume kamili huwezi kuruhusu huo upuuzi.
 
Jinga sana hilo hata huo uhandisi kaupataje
huyu ndugu yake lusungo cheki anavotukana kisa kumtetea..., Jamaa anatukana kama wanawake wa buza haha, nahisi jamaa kaguswa huyu.

Pitia comment za huyo jamaa utaona hii dunia ina wanaume jina aisee.
 
Back
Top Bottom