Kuna wanaume hawana akili kabisa aisee

Kuna wanaume hawana akili kabisa aisee

Nianze na samahani maana najua mtakasirika.
"Hivi kuna wanaume mwenye akili mbele ya mwanamke/mkewe?" Zaidi ya kupelekwapelekwa!!??
Sana sana ni kuvimba mbele ya wanaume wenzie
Wapo wananopelekwapelekwa kama unavyosema lakini pia tupo ambao tunasimamia mambo muhimu bila kuyumba.
Nyie wanawake mna kawaida ya kujaribu hata upuuzi kwa nguvu zenu zote lakini ukikutana na mtu kama mimi utarudi kwenye mstari vizuri kabisa.

Kuna njia nyingi za kumweka sawa mwanamke yeyote yule labda akimbie nyumba.
 
Kabisa mkuu, hata mimi huwezi kuniletea huo upuuzi
 
Hapa nilipopanga asilimia kubwa tupo vijana wa kiume na wote tuko na mishe zetu, mkubwa ni jamaa mmoja hivi ambae ni Mhandisi kwenye taasisi flani. Huyu jamaa ameoa, sijui yeye na mke wake walikutana vipi lakini mke wake ni mkubwa kwake ana watoto watatu wakubwa, mtoto wake mmoja mkubwa wa kike nae ana watoto, wa pili kaolewa na watatu yuko hapo wanae anasoma kidato cha pili,..huyu bwana yeye hana mtoto nje lakini amezaa na huyu dada mtoto ambaye sasa ana miaka 6 ndio yuko nursery.

Jamaa ana pesa kiasi chake na kazi zake hakai wiki bila safari za kikazi, mke ni mzuri lakini ni aina ya wale wanawake wajanja wajanja sana, na analika sana japo jamaa hajui, tena na watoto wadogo tu ambao wangefaa watembee na watoto wake, rafiki yangu alishawahi kumla ndani kwake humohumo,

Sasa jumamosi hii tulikuwa nyumbani wote tunapiga stori na Jamaa alikuwepo, Kwa sababu jamaa ndio mkubwa kiumri akaanza kutoa nasaha.. "Wadogo zangu naombeni niwape ushauri ikija kutokea mmeoa", Basi tukawa tunamsikiliza kwa makini anachoongea, maana tulijua anazungumzia labda tabia zetu za sketi tofauti tofauti wanaokuja pale. Akaanza,

"Ukioa, Usiruhusu ndugu yako yeyote aje nyumbani kwako, wawe wazazi wako, wadogo zako na aina yeyote ile ya ndugu, wanaweza kusababisha msielewane na mkeo" Hao malizaneni nao kwenye simu au kama kuna jambo la maana kutaneni sehemu mlimalize then kila mtu aendelee na mambo yake".., Akaendelea, Unaona mimi ninavoishi vizuri na mke wangu? ni kwa sababu siruhusu ndugu waje hapa. Ikabidi kila mtu awe kimya aongeze umakini huku tunamchora tukiona kumbe huyu jamaa naye kapoteza nati za ubongo.

Kweli jamaa tangu tuwe pale miaka miwili sasa, sijawahi kuona ndugu yake hata mmoja, lakini ndugu wa mke wanapishana kila siku.., Nimejikuta namdharau sana huyu Brother japo nadhani yeye alifikiri tumeridhika na ushauri aliotupa, nimeshindwa kabisa kumuelewa, au lile ndio limbwata lenyewe? Yaani nisimruhusu mama yangu afike kwangu, mdogo wangu..Daah kuna wanaume mna roho ngumu aisee

Angejua mke wake anavyosuguliwa akiwa hayupo, asingeleta ule ushauri wa kipuuzi, yule Jamaa ni zaidi ya mpuuzi ambao nimewahi kukutana nao tangu mwaka huu uanze.
Mijinga ya aina hiyo ipo mingi sana na huwa inatawaliwa na mijike kama huyo boya rafiki yenu.

Kupitia yeye mmepata funzo katika maisha!!!
 
wenzake wako humu wengi tu mkuu, pitia comment uone wanavyonitukana na kumtetea jamaa, mmojawapo ni huyu lusungo pitia comment zake uone wanaume tunavyoendelea kupungua haha
 
Huyo Mhandisi ana akili Sana,Nampa hongera, Bora aendelee hivyo asiruhusu jamaa au ndugu yake kuja nyumbani kwake kwani ni kweli watamharibia ndoa yake.

Ndugu na jamaa wanaongoza kuleta fitna za kuvunja ndoa za watu

kwani kama Mke wa huyo jamaa anapigisha nje itabadilisha nini ikiwa mke anampa heshima na mahitaji yote ambayo Mume anastahiki kupewa na Mke?!

Mkuu,Kuna tafauti baina ya Ngono(sex) na mapenzi (Love),Kama wanapendana Sasa tatizo liko Wapi??unajuaje Kama huyo jamaa na yeye anapiga nje akiwa katika safari zake??!

Ukweli mimi nakushangaa wewe usiejua mapenzi ni kitu gani,maisha ya uswahilini yana tabu sana,umbea umezidi acha kuingilia maisha ya watu,pambana na hali yako,Ku*ma haina makombo

Tafakari..
Mkuu hao ndugu na jamaa wanahusu upande wa mume tuu mana mwanamke ndugu zake wanaenda kama kawaida
 
Watu kama wewe inakuaje mpaka mnazaliwa wanaume?
Mbona tupo wengi Mkuu,watu Kama sisi huwa tunajielewa,hatuhemkwi na matamanio,au uchu wa ku*ma..

Tunajua kutafautisha baina ya mapenzi na matamanio ya Ngono,...

Tabu kutufahamu lakini tuna Raha Sana,hutukuti tumejitundika eti kwasababu mke wangu katiwa na jirani..

Maisha matamu Sana..
 
Anyway, Sawa mkuu naona ni aina ya wanaume wa kinondoni hatuwezi kwenda sana
Pambana,ishi,jipende maisha ya watu wengine yapotezee,utafanikiwa..

Hao was Kinondoni kama wameamua kuishi hivyo sawa tu,alimradi wako na furaha
 
Mkuu hao ndugu na jamaa wanahusu upande wa mume tuu mana mwanamke ndugu zake wanaenda kama kawaida
Hao upande wa Mume ndio wabaya zaidi,Wataleta umbea, Mara shemegi hivi mara vile, wanafanya hivyo kwa maslahi yao binafsi
 
Pambana,ishi,jipende maisha ya watu wengine yapotezee,utafanikiwa..

Hao was Kinondoni kama wameamua kuishi hivyo sawa tu,alimradi wako na furaha
Hebu rudi soma tena ukielewa uje ucomment tena nadhani hujaelewa mada.

Then kuhusu kupambana hatufahamiani, hilo liache tu tungejuana usingeweza kuandika hili hapa
 
Tupe story ya mpuuzi uliyekutana naye mwaka jana
Hapa nilipopanga asilimia kubwa tupo vijana wa kiume na wote tuko na mishe zetu, mkubwa ni jamaa mmoja hivi ambae ni Mhandisi kwenye taasisi flani. Huyu jamaa ameoa, sijui yeye na mke wake walikutana vipi lakini mke wake ni mkubwa kwake ana watoto watatu wakubwa, mtoto wake mmoja mkubwa wa kike nae ana watoto, wa pili kaolewa na watatu yuko hapo wanae anasoma kidato cha pili,..huyu bwana yeye hana mtoto nje lakini amezaa na huyu dada mtoto ambaye sasa ana miaka 6 ndio yuko nursery.

Jamaa ana pesa kiasi chake na kazi zake hakai wiki bila safari za kikazi, mke ni mzuri lakini ni aina ya wale wanawake wajanja wajanja sana, na analika sana japo jamaa hajui, tena na watoto wadogo tu ambao wangefaa watembee na watoto wake, rafiki yangu alishawahi kumla ndani kwake humohumo,

Sasa jumamosi hii tulikuwa nyumbani wote tunapiga stori na Jamaa alikuwepo, Kwa sababu jamaa ndio mkubwa kiumri akaanza kutoa nasaha.. "Wadogo zangu naombeni niwape ushauri ikija kutokea mmeoa", Basi tukawa tunamsikiliza kwa makini anachoongea, maana tulijua anazungumzia labda tabia zetu za sketi tofauti tofauti wanaokuja pale. Akaanza,

"Ukioa, Usiruhusu ndugu yako yeyote aje nyumbani kwako, wawe wazazi wako, wadogo zako na aina yeyote ile ya ndugu, wanaweza kusababisha msielewane na mkeo" Hao malizaneni nao kwenye simu au kama kuna jambo la maana kutaneni sehemu mlimalize then kila mtu aendelee na mambo yake".., Akaendelea, Unaona mimi ninavoishi vizuri na mke wangu? ni kwa sababu siruhusu ndugu waje hapa. Ikabidi kila mtu awe kimya aongeze umakini huku tunamchora tukiona kumbe huyu jamaa naye kapoteza nati za ubongo.

Kweli jamaa tangu tuwe pale miaka miwili sasa, sijawahi kuona ndugu yake hata mmoja, lakini ndugu wa mke wanapishana kila siku.., Nimejikuta namdharau sana huyu Brother japo nadhani yeye alifikiri tumeridhika na ushauri aliotupa, nimeshindwa kabisa kumuelewa, au lile ndio limbwata lenyewe? Yaani nisimruhusu mama yangu afike kwangu, mdogo wangu..Daah kuna wanaume mna roho ngumu aisee

Angejua mke wake anavyosuguliwa akiwa hayupo, asingeleta ule ushauri wa kipuuzi, yule Jamaa ni zaidi ya mpuuzi ambao nimewahi kukutana nao tangu mwaka huu uanze.
 
Mbona tupo wengi Mkuu,watu Kama sisi huwa tunajielewa,hatuhemkwi na matamanio,au uchu wa ku*ma..

Tunajua kutafautisha baina ya mapenzi na matamanio ya Ngono,...

Tabu kutufahamu lakini tuna Raha Sana,hutukuti tumejitundika eti kwasababu mke wangu katiwa na jirani..

Maisha matamu Sana..
Unaelewa unayoyaandika, nisije kuwa najibishana na mtu aliye milembe?
 
Mkuu kwa namna yoyote ile unaweza kuzuia wazazi wako wasifike kwako?
Ukiniuliza binafsi Siwezi ingawa kuna watu wana wazazi pasua kichwa, wagomvi n.k tunatoka kwenye background tofauti tofauti.
 
hayo ni maisha yake, kama anaona hakuna haja ya ndugu zake kufika kwake bac sawa......ila kilicholeta ukakasi ni hilo shem lenu linavyogawa pipi....duh hapa kwa kweli namuonea huruma mshikaji...!!

kwa nyie vijana jitahidini sana kutofanya mahusiano na wanawawe wenye zaidi ya 35 hawa ni balaa.... sasa wewe una miaka 26 ndiyo kwanza umeanza kazi - sasa unaanza kulinyatia demu lina miaka 36 - lina watoto 3 achilia mbali mimba lilizotoa hivi akili matope --- wakati mabinti wabichii wamejaa mjini....swaini!!
 
Unaelewa unayoyaandika, nisije kuwa najibishana na mtu aliye milembe?
Hahaha,jaribu kuepuka kuhukumu kitu usichokijua, ..

Wanaume wengi fikra zao zinasukumwa na nguvu za matamanio..

Nyege,Wivu, Ngono,kumdhibiti,..nk,hayo ndio Mambo yalioko akilini kwa mwanamke anapimtizama Mke wake.

Ukweli hayo Yote ni upuuzi,Upendo, mapenzi baina ya Mke na Mume ndio muhimu,katika mahusiano

Kama mwanamke anagawa nje, au mwanamme anapiga nje, hilo sio tatizo,.. Kama wanapeana mahitaji muhimu ta Mume back Mke😝🤪
 
Kwa maisha nilio kulia mimi ni ngumu sana kukwepa ndugu wa pande zote mbili naishi na wadogo zangu 2 wadogo wa mke wangu 3 wanangu 2 na mfanyakazi 1
Hutujui ndugu za huyo jamaa wakoje,na ndio maana sio kitu kzuri kumukumu mtu usie mjua..
 
Back
Top Bottom