Mkuu mimi sjamla, pale kamla mmoja tena kwa mazoea yake ya ajabu.
Kuna jamaa pale ni mkaguzi kutoka office ya NAO(mkaguzi mkuu wa serikali) nae pia ni mtu wa safari huyu mwanamke akamuomba ufunguo ili wadogo zake wawe wanamfanyia usafi wa nyumba na nguo sijui walianzia wapi mpaka wakafika huku, jamaa akawapa , jamaa akawa anapelekewa hadi chakula akiwa yupo, kumbe ilikuwa ni target awe kwenye mahusiano na mdogo mtu, Jamaa akajiongeza, Akala mdogo mtu, mkubwa na yeye mwenyewe kila mtu kwa wakati wake.
Niwew nin huyo jamaaMy brother nikuambie kitu..
Sisi binadamu tunapendaa vitu tofauti na ndo maana hata maisha yetu yako tofauti.
Huyo kaka Hana tatizo na ndomaana yuko na mkewe mbaka hii leo. Ila wewe ndo una tatizo kwanini uone mapungufu ya mwanamke ambaye sio wako.
Inaingia vipi akilini kusema Hana akili ?
Kwa kuwa mkewe analiwa?
Kwa kuwa mkewe kamkuta na watoto kashazaa!?
Mwanamke au mwanaume kuchepuka ni hulka binafsi.. jamaa akili anazo ndo maana hajajua mkewe analiwa kisela mtaani.
Nasikitika kwamba siwezi kukujibu,kwa sababu huna hoja na zaidi inaonekana ni aina ya watu mnaopelekeshwa na wanawake.Mbona inaonekana wewe ndo huna akili? Acha kufatilia maisha ya watu mtoto wa kiume...
Umeandika kikike kike sana.. eti jamaa ana hela, vip unazitamani?
Weweee hapa siyo Iran ambapo mmezoea ufuksa na lugha za matusi. Jaribu kuishi kama wayahudi ama wa Israeli upate mibaraka kutoka kwa MUNGU WA KWELINa tayari kashanipa sababu ya kumla na mimi mke wake, Pumbavu zake
Hapa ndio umeuharibu huu uzi.....!!!!.
Ishu sio kumchunga, then unasema kwamba wewe hutaki aina yoyote ya ndugu waje kwako?Mimi nimepiga marufuku ndugu zangu kuja kwangu na yeye kajiojgeza haleti ndugu zake, haijalishi ni nani kila mtu ana kwake akae kwake,
Ndugu hawawezi kumchunga mkeo asichepuke, kama anajielewa haijalishi uhuru alionao
Ndio umeongea nini sasa mbna unakurupuka kijana ?!Weweee hapa siyo Iran ambapo mmezoea ufuksa na lugha za matusi. Jaribu kuishi kama wayahudi ama wa Israeli upate mibaraka kutoka kwa MUNGU WA KWELI
STRUGGLE MAN