Mkuu na wewe ni mwanaume katika hii dunia?Upo na umama acha tabia za kike...
Wanaume hatuchunguzi maisha ya watu kijana badilika!!
Yaani kutwa nzima unafatilia life la mpangaji mwenzio utafikiri umebeba mbunye
Mkuu na wewe ni mwanaume katika hii dunia?Upo na umama acha tabia za kike...
Wanaume hatuchunguzi maisha ya watu kijana badilika!!
Yaani kutwa nzima unafatilia life la mpangaji mwenzio utafikiri umebeba mbunye
Wewe ungekuwa ndugu yangu ningekukata vibao akili ikae sawa, huwezi kuwa mwanaume usiye na maamuzi ya kiume unatetea usenge fara wewe, Vaa siketi tujue mojaHivi seriously mwanaume unaweza kerwa na maisha ya mwanaume mwenzio na mkewe tena mpangaji mwenzio?
Hivi una akili sawasawa wewe kima? Hii unaweza iita hoja kumjadili mwanaume mwenzio?
Unaishi kutwa kusoma maisha ya mpangaji mwenzio kiasi cha kuja kuanzisha thread eti unaiita hoja? Hivi una akili timamu wewe?
Huna mambo yako ya kufanya?
😀😀 Jamaa ni bonge la PUMBAVU halafu na ufara wake unaonekana mda wote kakazania kutukana tuWewe ungekuwa ndugu yangu ningekukata vibao akili ikae sawa, huwezi kuwa mwanaume usiye na maamuzi ya kiume unatetea usenge fara wewe, Vaa siketi tujue moja
wewe hufai kuitwa mwanaume, unajikunja kabisa unatype unaona uko sawa. Sijawahi kutukana lakini wewe nakutana Sengerema kwelii wewe, Bora baba yako angepigia chooni bao lilikuzaa wewe. Unatetea kuzuia wazazi kufika kwa mtoto wake kisa mke? Senerema limojaWewe uko na umama shwaini
Mzee, wala usidhani huku ni uswahilini lakini bado pia wanaume kama wewe mnanishangaza, unaweza kuzuia wazazi kufika kwako na kukata misaada kisa kumpa uhuru mke?, huku ndugu zake yeye ukiendelea kuwahudumia?... huo ndio msingi wa mada kama unatetea basi una roho ya kipekee sana mkuuHuyo Mhandisi ana akili Sana,Nampa hongera, Bora aendelee hivyo asiruhusu jamaa au ndugu yake kuja nyumbani kwake kwani ni kweli watamharibia ndoa yake.
Ndugu na jamaa wanaongoza kuleta fitna za kuvunja ndoa za watu
kwani kama Mke wa huyo jamaa anapigisha nje itabadilisha nini ikiwa mke anampa heshima na mahitaji yote ambayo Mume anastahiki kupewa na Mke?!
Mkuu,Kuna tafauti baina ya Ngono(sex) na mapenzi (Love),Kama wanapendana Sasa tatizo liko Wapi??unajuaje Kama huyo jamaa na yeye anapiga nje akiwa katika safari zake??!
Ukweli mimi nakushangaa wewe usiejua mapenzi ni kitu gani,maisha ya uswahilini yana tabu sana,umbea umezidi acha kuingilia maisha ya watu,pambana na hali yako,Ku*ma haina makombo
Tafakari..
Ok mkuuhuyu ndugu yake lusungo cheki anavotukana kisa kumtetea..., Jamaa anatukana kama wanawake wa buza haha, nahisi jamaa kaguswa huyu.
Pitia comment za huyo jamaa utaona hii dunia ina wanaume jina aisee.
Ngoja nimuuulize hao ndugu na jamaa wanahusu upande wa mume tuu kwa mwanamke ni ruksaMzee, wala usidhani huku ni uswahilini lakini bado pia wanaume kama wewe unanishangaza, unaweza kuzuia wazazi kufika kwako na kukata misaada kisa mke, huku ndugu ukiendelea kuwahudumia?... huo ndio msingi wa mada
Labda jamaa anaijui familia na ndugu zake wakoje, labda yameshawahi kumkutaMzee, wala usidhani huku ni uswahilini lakini bado pia wanaume kama wewe unanishangaza, unaweza kuzuia wazazi kufika kwako na kukata misaada kisa mke, huku ndugu ukiendelea kuwahudumia?... huo ndio msingi wa mada
wanawake hawana experience ndugu, utakuta huyo jamaa amehangaika na wanawake wa kila dizaini, ameamua kutulia, halaf mke ndio anaanza umalaya, uhuni ni tabia.Ukiona mwanao ana hangaika na mabinti katika umri mdogo wala usimkataze ndio anaanza kuwazoea hawa viumbe complex mara nyingi kama sio zote watu walio soma engineering au Doctors hawako social na hawajui hawa viumbe muda mwingi wame spend kusoma ata time ya kusocialize hawana nina ndugu yangu ni DR bure kabisa umri umesogea ndio kwanza anahangaika na Videmu tena Vibovu haswa na wife anae sasa kama sio ujinga huo ni nini kujitwisha mzigo wa Mwanamke mwenye watoto watatu tena unajisifu kuwa hata ndugu huruhusu wafike kwako anadhani akifa huyo mwanamke ndio atamzika?
Mimi mtu akitukana huwa namuona MPUMBAVU au ameguswa, Maana silaha ya MPUMBAVU huwa si hoja bali matusi ili kujiwekea Defensive mechanism.., Jenga hoja ili twende sawa acha UPUMBAVULabda jamaa anaijui familia na ndugu zake wakoje, labda yameshawahi kumkuta
Muhimu mapenzi yapo,ameridhika na maisha ya ndoa yake,kuhusu nini kinaendelea yeye mke wake na familia yake is none of your business,hayakuhusu,acha umbea..
apatment gani imejaa uswahili hivyo? mimi naishi apartment lakin hata majiran zangu siwajui.Mzee unadhani hapa ni chumba kimoja, hizi ni apartment mkuu na gharama yake ni zaidi ya hiyo 200k
Mkuu hili inaonekana ni janga kubwa sana kwenye hiki kizazi cha sasa, Hebu pitia comment za member humu uone..watu wanatukana huku wakionesha dhahiri jamaa yuko sahihi.Ukiona mwanao ana hangaika na mabinti katika umri mdogo wala usimkataze ndio anaanza kuwazoea hawa viumbe complex mara nyingi kama sio zote watu walio soma engineering au Doctors hawako social na hawajui hawa viumbe muda mwingi wame spend kusoma ata time ya kusocialize hawana nina ndugu yangu ni DR bure kabisa umri umesogea ndio kwanza anahangaika na Videmu tena Vibovu haswa na wife anae sasa kama sio ujinga huo ni nini kujitwisha mzigo wa Mwanamke mwenye watoto watatu tena unajisifu kuwa hata ndugu huruhusu wafike kwako anadhani akifa huyo mwanamke ndio atamzika?
Muonyeshe wapi nimetukana?au wapi nimetumia neno MPUMBAVU?..Mimi mtu akitukana huwa namuona MPUMBAVU au ameguswa, Maana silaha ya MPUMBAVU huwa si hoja bali matusi ili kujiwekea Defensive mechanism.., Jenga hoja ili twende sawa acha UPUMBAVU
Unadhani sisi tulimuomba ushauri?
Anyway, Sawa mkuu naona ni aina ya wanaume wa kinondoni hatuwezi kwenda sanaMuonyeshe wapi nimetukana?au wapi nimetumia neno MPUMBAVU?..
Hoja Ni kwamba wewe,unashangaa maisha ya mpangaji mwenzako,..unaleta umbea katika maisha ya mwenzako..
Kama mkewe anapigisha nje,Kama jamaa anaelea mitoto ya mkewe, wewe inakuhusu nini mpaka unaleta Uzi wa umbea hapa JF?
Mlinde mkeo ndie anaekuhusu, .😊
inawezekana wazazi na ndugu walishamuharibia ndoa huko nyuma, sasa hivi anajihami. mambo ya ndoa magumu sana, ndugu na wazaz ndio chanzo cha mfarakanoMzee, wala usidhani huku ni uswahilini lakini bado pia wanaume kama wewe mnanishangaza, unaweza kuzuia wazazi kufika kwako na kukata misaada kisa kumpa uhuru mke?, huku ndugu zake yeye ukiendelea kuwahudumia?... huo ndio msingi wa mada kama unatetea basi una roho ya kipekee sana mkuu
Watu kama wewe inakuaje mpaka mnazaliwa wanaume?Huyo Mhandisi ana akili Sana,Nampa hongera, Bora aendelee hivyo asiruhusu jamaa au ndugu yake kuja nyumbani kwake kwani ni kweli watamharibia ndoa yake.
Ndugu na jamaa wanaongoza kuleta fitna za kuvunja ndoa za watu
kwani kama Mke wa huyo jamaa anapigisha nje itabadilisha nini ikiwa mke anampa heshima na mahitaji yote ambayo Mume anastahiki kupewa na Mke?!
Mkuu,Kuna tafauti baina ya Ngono(sex) na mapenzi (Love),Kama wanapendana Sasa tatizo liko Wapi??unajuaje Kama huyo jamaa na yeye anapiga nje akiwa katika safari zake??!
Ukweli mimi nakushangaa wewe usiejua mapenzi ni kitu gani,maisha ya uswahilini yana tabu sana,umbea umezidi acha kuingilia maisha ya watu,pambana na hali yako,Ku*ma haina makombo
Tafakari..
Huyu jamaa hajawahi kuoa mkuu, kutokana na maelezo yake mwenyewe kanasa kwa huyu bibie ndio akaoa kabisa.inawezekana wazazi na ndugu walishamuharibia ndoa huko nyuma, sasa hivi anajihami. mambo ya ndoa magumu sana, ndugu na wazaz ndio chanzo cha mfarakano