Kuna wanaume hawana akili kabisa aisee

Kuna wanaume hawana akili kabisa aisee

Miongoni mwa Mambo niliyoyakataa maishani mwangu ni kupanga nyumba na wapangaji wengine. Niliwahi ishi nyumba za kupanga sana lakini sio nyumba zakubanana na wapangaji wengine. Laki mbili tu unapata nyumba ya peke yako Sasa nawaza huyo jamaa ambaye karbia kila wiki anatripu za kikazi na natumaini alkua anapata posho kwann hakupanga kinyumba cha peke yake kuliko kuja kukutana na vijana km nyie.
 
Mzee unadhani hapa ni chumba kimoja, hizi ni apartment mkuu na gharama yake ni zaidi ya hiyo 200k
 
Hapa nilipopanga asilimia kubwa tupo vijana wa kiume na wote tuko na mishe zetu, mkubwa ni jamaa mmoja hivi ambae ni Mhandisi kwenye taasisi flani. Huyu jamaa ameoa, sijui yeye na mke wake walikutana vipi lakini mke wake ni mkubwa kwake ana watoto watatu wakubwa, mtoto wake mmoja mkubwa wa kike nae ana watoto, wa pili kaolewa na watatu yuko hapo wanae anasoma kidato cha pili,..huyu bwana yeye hana mtoto nje lakini amezaa na huyu dada mtoto ambaye sasa ana miaka 6 ndio yuko nursery.

Jamaa ana pesa kiasi chake na kazi zake hakai wiki bila safari za kikazi, mke ni mzuri lakini ni aina ya wale wanawake wajanja wajanja sana, na analika sana japo jamaa hajui, tena na watoto wadogo tu ambao wangefaa watembee na watoto wake, rafiki yangu alishawahi kumla ndani kwake humohumo,

Sasa jumamosi hii tulikuwa nyumbani wote tunapiga stori na Jamaa alikuwepo, Kwa sababu jamaa ndio mkubwa kiumri akaanza kutoa nasaha.. "Wadogo zangu naombeni niwape ushauri ikija kutokea mmeoa", Basi tukawa tunamsikiliza kwa makini anachoongea, maana tulijua anazungumzia labda tabia zetu za sketi tofauti tofauti wanaokuja pale. Akaanza,

"Ukioa, Usiruhusu ndugu yako yeyote aje nyumbani kwako, wawe wazazi wako, wadogo zako na aina yeyote ile ya ndugu, wanaweza kusababisha msielewane na mkeo" Hao malizaneni nao kwenye simu au kama kuna jambo la maana kutaneni sehemu mlimalize then kila mtu aendelee na mambo yake".., Akaendelea, Unaona mimi ninavoishi vizuri na mke wangu? ni kwa sababu siruhusu ndugu waje hapa. Ikabidi kila mtu awe kimya aongeze umakini huku tunamchora tukiona kumbe huyu jamaa naye kapoteza nati za ubongo.

Kweli jamaa tangu tuwe pale miaka miwili sasa, sijawahi kuona ndugu yake hata mmoja, lakini ndugu wa mke wanapishana kila siku.., Nimejikuta namdharau sana huyu Brother japo nadhani yeye alifikiri tumeridhika na ushauri aliotupa, nimeshindwa kabisa kumuelewa, au lile ndio limbwata lenyewe? Yaani nisimruhusu mama yangu afike kwangu, mdogo wangu..Daah kuna wanaume mna roho ngumu aisee

Angejua mke wake anavyosuguliwa akiwa hayupo, asingeleta ule ushauri wa kipuuzi, yule Jamaa ni zaidi ya mpuuzi ambao nimewahi kukutana nao tangu mwaka huu uanze.
Kuliwa mke wake ndo thawabu anayoipata kwa kuwatenga nduguze
 
Mkuu mimi sjamla, pale kamla mmoja tena kwa mazoea yake ya ajabu.

Kuna jamaa pale ni mkaguzi kutoka office ya NAO(mkaguzi mkuu wa serikali) nae pia ni mtu wa safari huyu mwanamke akamuomba ufunguo ili wadogo zake wawe wanamfanyia usafi wa nyumba na nguo sijui walianzia wapi mpaka wakafika huku, jamaa akawapa , jamaa akawa anapelekewa hadi chakula akiwa yupo, kumbe ilikuwa ni target awe kwenye mahusiano na mdogo mtu, Jamaa akajiongeza, Akala mdogo mtu, mkubwa na yeye mwenyewe kila mtu kwa wakati wake.

Yaani jamaa akawala watatu wote wa tumbo moja
Mamaeee " huyo mwanamke anaonyesha kuwa ana tabia za kiswahili sana

Kama hiki ulicho kiandika hapa kina huo ukweli
 
Wamama ni waimba taarabu Kama wewe, halafu ujinga ni kuchangia post ya umama huku ukijiita mwanaume.

Nenda kafungiwe na mkeo mkuu, acha wanaume tujadili mambo ya kiume..

Huna logic zaidi ya kubwabwaja tu, na wewe unaitwa baba?

Naona umeumia sana kuona tabia Kama zako zinaelezewa hapa...labda nikwambie tu Ni vile tuko nyumai ya keyboard nina uhakika wewe nina uwezo wa kukukalisha ndani na nikakulipa, kazi yako ikawa kula tu
Wewe uko na umama shwaini
 
Mzee unadhani hapa ni chumba kimoja, hizi ni apartment mkuu na gharama yake ni zaidi ya hiyo 200k
We kajamaa ni jikedume yaani mnaishi kwa appartment na bado unaujua undani wa jirani yako? Uko na umama sana.
 
Hapa nilipopanga asilimia kubwa tupo vijana wa kiume na wote tuko na mishe zetu, mkubwa ni jamaa mmoja hivi ambae ni Mhandisi kwenye taasisi flani. Huyu jamaa ameoa, sijui yeye na mke wake walikutana vipi lakini mke wake ni mkubwa kwake ana watoto watatu wakubwa, mtoto wake mmoja mkubwa wa kike nae ana watoto, wa pili kaolewa na watatu yuko hapo wanae anasoma kidato cha pili,..huyu bwana yeye hana mtoto nje lakini amezaa na huyu dada mtoto ambaye sasa ana miaka 6 ndio yuko nursery.

Jamaa ana pesa kiasi chake na kazi zake hakai wiki bila safari za kikazi, mke ni mzuri lakini ni aina ya wale wanawake wajanja wajanja sana, na analika sana japo jamaa hajui, tena na watoto wadogo tu ambao wangefaa watembee na watoto wake, rafiki yangu alishawahi kumla ndani kwake humohumo,

Sasa jumamosi hii tulikuwa nyumbani wote tunapiga stori na Jamaa alikuwepo, Kwa sababu jamaa ndio mkubwa kiumri akaanza kutoa nasaha.. "Wadogo zangu naombeni niwape ushauri ikija kutokea mmeoa", Basi tukawa tunamsikiliza kwa makini anachoongea, maana tulijua anazungumzia labda tabia zetu za sketi tofauti tofauti wanaokuja pale. Akaanza,

"Ukioa, Usiruhusu ndugu yako yeyote aje nyumbani kwako, wawe wazazi wako, wadogo zako na aina yeyote ile ya ndugu, wanaweza kusababisha msielewane na mkeo" Hao malizaneni nao kwenye simu au kama kuna jambo la maana kutaneni sehemu mlimalize then kila mtu aendelee na mambo yake".., Akaendelea, Unaona mimi ninavoishi vizuri na mke wangu? ni kwa sababu siruhusu ndugu waje hapa. Ikabidi kila mtu awe kimya aongeze umakini huku tunamchora tukiona kumbe huyu jamaa naye kapoteza nati za ubongo.

Kweli jamaa tangu tuwe pale miaka miwili sasa, sijawahi kuona ndugu yake hata mmoja, lakini ndugu wa mke wanapishana kila siku.., Nimejikuta namdharau sana huyu Brother japo nadhani yeye alifikiri tumeridhika na ushauri aliotupa, nimeshindwa kabisa kumuelewa, au lile ndio limbwata lenyewe? Yaani nisimruhusu mama yangu afike kwangu, mdogo wangu..Daah kuna wanaume mna roho ngumu aisee

Angejua mke wake anavyosuguliwa akiwa hayupo, asingeleta ule ushauri wa kipuuzi, yule Jamaa ni zaidi ya mpuuzi ambao nimewahi kukutana nao tangu mwaka huu uanze.
Jinga sana hilo hata huo uhandisi kaupataje
 
Back
Top Bottom