Kuna wanaume hawana akili kabisa aisee

Kuna wanaume hawana akili kabisa aisee

Umenikumbusha Darasa langu la chuo wakaka walikua wambea kuliko wadada................
matusi huwa ni silaha ya WAPUMBAVU, angalia hoja iliyopo kwenye uzi hayo mengine ni mambo niliyoweka kuepusha maswali.

zaidi ya hapo labda kama uzi umekugusa na wewe ni aina ya watu mnaoendeshwa na wake zenu
 
Sijatukana, ila umenikumbusha tabia za classmates wangu. Mie mdada bro
 
Unaweza sema jamaa hana akili kumbw zikwfungiwa kwenye chupa
 
Kumbe hua analiwa ahsant kwa taarifa naenda kumfukuza leoleo,Halafu wewe dogo kwanini umekuja kunianika hapa utachek picha leoleo kumbe ni mjinga.
 
Ukiona mwanao ana hangaika na mabinti katika umri mdogo wala usimkataze ndio anaanza kuwazoea hawa viumbe complex mara nyingi kama sio zote watu walio soma engineering au Doctors hawako social na hawajui hawa viumbe muda mwingi wame spend kusoma ata time ya kusocialize hawana nina ndugu yangu ni DR bure kabisa umri umesogea ndio kwanza anahangaika na Videmu tena Vibovu haswa na wife anae sasa kama sio ujinga huo ni nini kujitwisha mzigo wa Mwanamke mwenye watoto watatu tena unajisifu kuwa hata ndugu huruhusu wafike kwako anadhani akifa huyo mwanamke ndio atamzika?
 
kweli yule jamaa sidhani kama ni akili zake za kawaida lakini kusema waliosoma engineering nakataaa sio wote, mwenyewe ni engineer lakini ule upuuzi sifanyi hata kidogo nikiwa na akili zangu timamu
 
Hata mimi niko katika field ya uhandisi ivo sio General ila mostly Engineers na doctors ni wapuuzi sana kwa wanawake
 
Hapa nilipopanga asilimia kubwa tupo vijana wa kiume na wote tuko na mishe zetu, mkubwa ni jamaa mmoja hivi ambae ni Mhandisi kwenye taasisi flani. Huyu jamaa ameoa, sijui yeye na mke wake walikutana vipi lakini mke wake ni mkubwa kwake ana watoto watatu wakubwa, mtoto wake mmoja mkubwa wa kike nae ana watoto, wa pili kaolewa na watatu yuko hapo wanae anasoma kidato cha pili,..huyu bwana yeye hana mtoto nje lakini amezaa na huyu dada mtoto ambaye sasa ana miaka 6 ndio yuko nursery.

Jamaa ana pesa kiasi chake na kazi zake hakai wiki bila safari za kikazi, mke ni mzuri lakini ni aina ya wale wanawake wajanja wajanja sana, na analika sana japo jamaa hajui, tena na watoto wadogo tu ambao wangefaa watembee na watoto wake, rafiki yangu alishawahi kumla ndani kwake humohumo,

Sasa jumamosi hii tulikuwa nyumbani wote tunapiga stori na Jamaa alikuwepo, Kwa sababu jamaa ndio mkubwa kiumri akaanza kutoa nasaha.. "Wadogo zangu naombeni niwape ushauri ikija kutokea mmeoa", Basi tukawa tunamsikiliza kwa makini anachoongea, maana tulijua anazungumzia labda tabia zetu za sketi tofauti tofauti wanaokuja pale. Akaanza,

"Ukioa, Usiruhusu ndugu yako yeyote aje nyumbani kwako, wawe wazazi wako, wadogo zako na aina yeyote ile ya ndugu, wanaweza kusababisha msielewane na mkeo" Hao malizaneni nao kwenye simu au kama kuna jambo la maana kutaneni sehemu mlimalize then kila mtu aendelee na mambo yake".., Akaendelea, Unaona mimi ninavoishi vizuri na mke wangu? ni kwa sababu siruhusu ndugu waje hapa. Ikabidi kila mtu awe kimya aongeze umakini huku tunamchora tukiona kumbe huyu jamaa naye kapoteza nati za ubongo.

Kweli jamaa tangu tuwe pale miaka miwili sasa, sijawahi kuona ndugu yake hata mmoja, lakini ndugu wa mke wanapishana kila siku.., Nimejikuta namdharau sana huyu Brother japo nadhani yeye alifikiri tumeridhika na ushauri aliotupa, nimeshindwa kabisa kumuelewa, au lile ndio limbwata lenyewe? Yaani nisimruhusu mama yangu afike kwangu, mdogo wangu..Daah kuna wanaume mna roho ngumu aisee

Angejua mke wake anavyosuguliwa akiwa hayupo, asingeleta ule ushauri wa kipuuzi, yule Jamaa ni zaidi ya mpuuzi ambao nimewahi kukutana nao tangu mwaka huu uanze.
Za kuwambiwa changanya na zako
 
Nasikitika kwamba siwezi kukujibu,kwa sababu huna hoja na zaidi inaonekana ni aina ya watu mnaopelekeshwa na wanawake.

mimi najibishana na wanaume mkuu tena wenye kujielewa na kwa hoja sio matusi, maana matusi huwa ni silaha ya WAPUMBAV
Utakua jike dume mwanaume kamili hawezi leta mada ya kichoko hivi
 
Heshimu wake za watu nawe mke wako apate kujeshimiwa
 
Utakua jike dume mwanaume kamili hawezi leta mada ya kichoko hivi
Hahaha, nakusikitikia sana maana siwezi kujibishana na WAPUMBAVU.

Inawezekana mada inakuhusu yaani ni Aina ya mwanaume unayepelekeshwa na wanawake, then umeonesha ujinga wako wa hali ya juu hii mada nimeleta kwa wanaume halisi na si Kwa WAPUMBAVU Kama wewe ambao hamna hoja silaha yenu huwa ni MATUSI.

Endelea kutukana tusi lingine nakupa nafasi nyingine maana najua hiyo ndio silaha pekee ya mwanaume MPUMBAVU na MUOGA
 
Nyuzi kama zinasababisha vijana wasitake kuoa kamwe
 
Hahaha, nakusikitikia sana maana siwezi kujibishana na WAPUMBAVU.

Inawezekana mada inakuhusu yaani ni Aina ya mwanaume unayepelekeshwa na wanawake, then umeonesha ujinga wako wa hali ya juu hii mada nimeleta kwa wanaume halisi na si Kwa WAPUMBAVU Kama wewe ambao hamna hoja silaha yenu huwa ni MATUSI.

Endelea kutukana tusi lingine nakupa nafasi nyingine maana najua hiyo ndio silaha pekee ya mwanaume MPUMBAVU na MUOGA
Mwanaume kamili hawezi poteza muda akaanzisha stori za mwanaume mwenzie.

Yaani ulivyosimulia maisha binafsi ya mwanaume mwenzio unaonesha dhahiri una umama!

Yaani unaujua hadi undani wa watoto wake wakufikia!!

Nakusihi sana ubadilike ukiona mtoto wa kiume unasumbuliwa sana na maisha binafsi ya watu hadi unayaanzishia thread jijue una hormones za kike.
 
Wamama ni waimba taarabu Kama wewe, halafu ujinga ni kuchangia post ya umama huku ukijiita mwanaume.

Nenda kafungiwe na mkeo mkuu, acha wanaume tujadili mambo ya kiume..

Huna logic zaidi ya kubwabwaja tu, na wewe unaitwa baba?

Naona umeumia sana kuona tabia Kama zako zinaelezewa hapa...labda nikwambie tu Ni vile tuko nyumai ya keyboard nina uhakika wewe nina uwezo wa kukukalisha ndani na nikakulipa, kazi yako ikawa kula tu
 
Hapa nilipopanga asilimia kubwa tupo vijana wa kiume na wote tuko na mishe zetu, mkubwa ni jamaa mmoja hivi ambae ni Mhandisi kwenye taasisi flani. Huyu jamaa ameoa, sijui yeye na mke wake walikutana vipi lakini mke wake ni mkubwa kwake ana watoto watatu wakubwa, mtoto wake mmoja mkubwa wa kike nae ana watoto, wa pili kaolewa na watatu yuko hapo wanae anasoma kidato cha pili,..huyu bwana yeye hana mtoto nje lakini amezaa na huyu dada mtoto ambaye sasa ana miaka 6 ndio yuko nursery.

Jamaa ana pesa kiasi chake na kazi zake hakai wiki bila safari za kikazi, mke ni mzuri lakini ni aina ya wale wanawake wajanja wajanja sana, na analika sana japo jamaa hajui, tena na watoto wadogo tu ambao wangefaa watembee na watoto wake, rafiki yangu alishawahi kumla ndani kwake humohumo,

Sasa jumamosi hii tulikuwa nyumbani wote tunapiga stori na Jamaa alikuwepo, Kwa sababu jamaa ndio mkubwa kiumri akaanza kutoa nasaha.. "Wadogo zangu naombeni niwape ushauri ikija kutokea mmeoa", Basi tukawa tunamsikiliza kwa makini anachoongea, maana tulijua anazungumzia labda tabia zetu za sketi tofauti tofauti wanaokuja pale. Akaanza,

"Ukioa, Usiruhusu ndugu yako yeyote aje nyumbani kwako, wawe wazazi wako, wadogo zako na aina yeyote ile ya ndugu, wanaweza kusababisha msielewane na mkeo" Hao malizaneni nao kwenye simu au kama kuna jambo la maana kutaneni sehemu mlimalize then kila mtu aendelee na mambo yake".., Akaendelea, Unaona mimi ninavoishi vizuri na mke wangu? ni kwa sababu siruhusu ndugu waje hapa. Ikabidi kila mtu awe kimya aongeze umakini huku tunamchora tukiona kumbe huyu jamaa naye kapoteza nati za ubongo.

Kweli jamaa tangu tuwe pale miaka miwili sasa, sijawahi kuona ndugu yake hata mmoja, lakini ndugu wa mke wanapishana kila siku.., Nimejikuta namdharau sana huyu Brother japo nadhani yeye alifikiri tumeridhika na ushauri aliotupa, nimeshindwa kabisa kumuelewa, au lile ndio limbwata lenyewe? Yaani nisimruhusu mama yangu afike kwangu, mdogo wangu..Daah kuna wanaume mna roho ngumu aisee

Angejua mke wake anavyosuguliwa akiwa hayupo, asingeleta ule ushauri wa kipuuzi, yule Jamaa ni zaidi ya mpuuzi ambao nimewahi kukutana nao tangu mwaka huu uanze.
Huwezi jua labda ndugu zake ni wakorofi sana.Chunguza kwanza kabla ya kumpuuza mtu.
 
Wewe ni mnafki.

Kwa taarifa yako jamaa huu uzi umeshamfikia.
 
Back
Top Bottom