Kuna wanaume hawana akili kabisa aisee

Kuna wanaume hawana akili kabisa aisee

Nianze na samahani maana najua mtakasirika.
"Hivi kuna wanaume mwenye akili mbele ya mwanamke/mkewe?" Zaidi ya kupelekwapelekwa!!??
Sana sana ni kuvimba mbele ya wanaume wenzie
Mkuu mimi kwangu sio kirahisi hivo, nasema labda niwe sina akili zangu timamu
 
"Ukioa, Usiruhusu ndugu yako yeyote aje nyumbani kwako, wawe wazazi wako, wadogo zako na aina yeyote ile ya ndugu, wanaweza kusababisha msielewane na mkeo" Hao malizaneni nao kwenye simu au kama kuna jambo la maana kutaneni sehemu mlimalize then kila mtu aendelee na mambo yake".., Akaendelea, Unaona mimi ninavoishi vizuri na mke wangu? ni kwa sababu siruhusu ndugu waje hapa. Ikabidi kila mtu awe kimya aongeze umakini huku tunamchora tukiona kumbe huyu jamaa naye kapoteza nati za ubongo.
Mbona wewe ndie unaonekana huna akili kabisa kichwani! Nimeweka bold kukuonyesha uliyoandika inaonyesha akili yako ina utapia mlo!
 
Mbona wewe ndie unaonekana huna akili kabisa kichwani! Nimeweka bold kukuonyesha uliyoandika inaonyesha akili yako ina utapia mlo!

Nasikitika kwamba siwezi kukujibu,kwa sababu huna hoja na zaidi inaonekana ni aina ya watu mnaopelekeshwa na wanawake.

mimi najibishana na wanaume mkuu tena wenye kujielewa na kwa hoja sio matusi, maana matusi huwa ni silaha ya WAPUMBAVU
 
Huyo kaishalishwa limbwata,hata mm nilikuwa hivyo ndg zangu marufuku kukanyaga home ila mungu akajaalia nikachomoka kwenye hilo dema,wake zetu wanayotufanyia hakuna haja ya kumwachia mungu .
 
Huyo kaishalishwa limbwata,hata mm nilikuwa hivyo ndg zangu marufuku kukanyaga home ila mungu akajaalia nikachomoka kwenye hilo dema,wake zetu wanayotufanyia hakuna haja ya kumwachia mingu .
Mkuu hebu fafanua vizuri, wewe ilikuaje?
 
My brother nikuambie kitu..

Sisi binadamu tunapendaa vitu tofauti na ndo maana hata maisha yetu yako tofauti.

Huyo kaka Hana tatizo na ndomaana yuko na mkewe mbaka hii leo. Ila wewe ndo una tatizo kwanini uone mapungufu ya mwanamke ambaye sio wako.

Inaingia vipi akilini kusema Hana akili ?

Kwa kuwa mkewe analiwa?

Kwa kuwa mkewe kamkuta na watoto kashazaa!?

Mwanamke au mwanaume kuchepuka ni hulka binafsi.. jamaa akili anazo ndo maana hajajua mkewe analiwa kisela mtaani.
Umenena kweli mkuu,
Kuna watu huona mapungufu ya wengine bila kujua pengine ya kwao yanatia aibu zaidi.
Hapa anajisifu kutaka kumla mke wa jirani akijua jamaa mzembe kumbe na yeye mke/demu wake masela wanajipigia kila day.
 
Yaani nyie jamaa mnatia aibu kuwepo kwenye kundi la wanaume.

Yaani mnapongezana kabisa hahaha, Aiseeee. Hapa point sio kujipigia usikwepeshe mada
 
Wanawake wanatuloga kinyama,, lazma watulegeze nati za ubongo ili mambo yao yaende la sivyo ni mbinde
 
Mnavyofanya sio vizuri kumlia mke wake naamin hata wake zenu wataliwa (what goes around comes around) na mmesahau kuwa wanawake ni viumbe dhaifu. Kuhusu jamaa ushauri wake sio mzur hati ndgu zangu wasije home hapana aisie. asante.
mkuu kwani mwanamke kuliwa ni kosa la mwanaume au mwanamke?
 
Natamani kumuona ndugu aliye bize na mishe zake halafu aende kushinda au kuishi kwa ndugu….sijui kama atakuwepo...
 
Natamani kumuona ndugu aliye bize na mishe zake halafu aende kushinda au kuishi kwa ndugu….sijui kama atakuwepo...
una maanisha kwamba ukiwa bize huhitaji kuchangamana na ndugu zako? wala hawapaswi kukutembelea kwako?
 
Stori ni kugongewa mke au kukataza ndugu kuja kwake?
Kuhusu kugongewa mke tema mate chini. wekeza kuchunguza demu wako halafu njoo na majibu.

Hilo la.ndugu naunga mkono hoja,hana akili huyo blooooo
 
Stori ni kugongewa mke au kukataza ndugu kuja kwake?
Kuhusu kugongewa mke tema mate chini. wekeza kuchunguza demu wako halafu njoo na majibu.

Hilo la.ndugu naunga mkono hoja,hana akili huyo blooooo
ni namna ambavyo anamuamini mke wake na ndugu wa mke huku wake hataki waje akiamini watafanye asiwe na maelewano mazuri na mkewe, wakati mke anamsaliti, hiyo ndio point yangu mkuu
 
Hapa nilipopanga asilimia kubwa tupo vijana wa kiume na wote tuko na mishe zetu, mkubwa ni jamaa mmoja hivi ambae ni Mhandisi kwenye taasisi flani. Huyu jamaa ameoa, sijui yeye na mke wake walikutana vipi lakini mke wake ni mkubwa kwake ana watoto watatu wakubwa, mtoto wake mmoja mkubwa wa kike nae ana watoto, wa pili kaolewa na watatu yuko hapo wanae anasoma kidato cha pili,..huyu bwana yeye hana mtoto nje lakini amezaa na huyu dada mtoto ambaye sasa ana miaka 6 ndio yuko nursery.

Jamaa ana pesa kiasi chake na kazi zake hakai wiki bila safari za kikazi, mke ni mzuri lakini ni aina ya wale wanawake wajanja wajanja sana, na analika sana japo jamaa hajui, tena na watoto wadogo tu ambao wangefaa watembee na watoto wake, rafiki yangu alishawahi kumla ndani kwake humohumo,

Sasa jumamosi hii tulikuwa nyumbani wote tunapiga stori na Jamaa alikuwepo, Kwa sababu jamaa ndio mkubwa kiumri akaanza kutoa nasaha.. "Wadogo zangu naombeni niwape ushauri ikija kutokea mmeoa", Basi tukawa tunamsikiliza kwa makini anachoongea, maana tulijua anazungumzia labda tabia zetu za sketi tofauti tofauti wanaokuja pale. Akaanza,

"Ukioa, Usiruhusu ndugu yako yeyote aje nyumbani kwako, wawe wazazi wako, wadogo zako na aina yeyote ile ya ndugu, wanaweza kusababisha msielewane na mkeo" Hao malizaneni nao kwenye simu au kama kuna jambo la maana kutaneni sehemu mlimalize then kila mtu aendelee na mambo yake".., Akaendelea, Unaona mimi ninavoishi vizuri na mke wangu? ni kwa sababu siruhusu ndugu waje hapa. Ikabidi kila mtu awe kimya aongeze umakini huku tunamchora tukiona kumbe huyu jamaa naye kapoteza nati za ubongo.

Kweli jamaa tangu tuwe pale miaka miwili sasa, sijawahi kuona ndugu yake hata mmoja, lakini ndugu wa mke wanapishana kila siku.., Nimejikuta namdharau sana huyu Brother japo nadhani yeye alifikiri tumeridhika na ushauri aliotupa, nimeshindwa kabisa kumuelewa, au lile ndio limbwata lenyewe? Yaani nisimruhusu mama yangu afike kwangu, mdogo wangu..Daah kuna wanaume mna roho ngumu aisee

Angejua mke wake anavyosuguliwa akiwa hayupo, asingeleta ule ushauri wa kipuuzi, yule Jamaa ni zaidi ya mpuuzi ambao nimewahi kukutana nao tangu mwaka huu uanze.
Una tabia za kike kike sana! Para ya kwanza na ya mwisho inathibitisha hayo.

Fanya yako koma kufwatilia maisha ya watu utaja olewa.
 
Una tabia za kike kike sana! Para ya kwanza na ya mwisho inathibitisha hayo.

Fanya yako koma kufwatilia maisha ya watu utaja olewa.
Nasikitika kwamba siwezi kukujibu,kwa sababu huna hoja na zaidi inaonekana ni aina ya watu mnaopelekeshwa na wanawake.

mimi najibishana na wanaume mkuu tena wenye kujielewa na kwa hoja sio matusi, maana matusi huwa ni silaha ya WAPUMBAV
 
Back
Top Bottom