Je.? una kisa kama hiki..?

Je.? una kisa kama hiki..?

Mzigua_255

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2026
Posts
813
Reaction score
1,640
Simulizi fupiii..

Wakuu laana nilidhani haipo lakini, sasa nadhani mtu anaweza kulaaniwa na wazazi wake.
Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 20+ alipelekwa na baba
yake mjini kwa ajili ya masomo ya chuo baada ya kumaliza secondary wazazi wake hawana elimu ya aina yeyote wala wadogo zake ila baba yake,
Aliamua kumsomesha
kijana wake.

Baada ya miaka miwili jamaa akarudi kuwasalimia ndugu zake

NAFUPISHA STORY..

Jamaa alivyorudi alibadilika sana akawa anamazoe na wake za kaka yake ya ma shemeji zake.

Mwisho wa siku akafumaniwa na mke wa kaka yake waliozaliwa tumbo moja.,

Akasamehewa akaja kufumaniwa tena ndio ikawa.. kesi kubwa zaidi+

Lakini mzee wao(baba)

Alimwambia mwanae aliemfumania huku akilia, kamwe katika maisha yako.,
Hutotembea na mwanamke mwingine zaidi ya mke wakaka yako,,

Jamaa mpaka leo,
Hana nguvu za kiume kawa chizi chuo kaacha kahangaika kila kona tiba hajapata ni chizi hajitambui

SHARE STORY YAKO YA LAANA YA WAZAZI ULIOWAHI KUSHUHUDIA.,HAPA

Mzigua_255
 
Tusitishane asubuhi bado
 

Attachments

  • FB_IMG_1777010841800.jpg
    FB_IMG_1777010841800.jpg
    24.5 KB · Views: 5
Jamaa mpaka leo,
Hana nguvu za kiume kawa chizi chuo kaacha kahangaika kila kona tiba hajapata ni chizi hajitambui
1. Jamaa ni chizi hajitambui.
2.Hana nguvu za kiume.
3.Kahangaika kila kona tiba hajapata?
Dodoso
1. Alipona lini uchizi ndio atambue na kutafuta tiba ya nguvu za kiume?
2.Chizi asiyejitambua anafikiria kuwa na nguvu za kiume?
3.Chizi asiyejitambua anaweza kwenda hospital na kwenye tiba za asili kutafuta suluhu ya uchizi wake? au vyote viwili kwa pamoja?
 
Back
Top Bottom