Kuna wanaume hawana akili kabisa aisee

Kuna wanaume hawana akili kabisa aisee

Mla kuku wa mwenzake miguu humwelekea. Kula ukulavyo lkn mke wako,mwanao wa kike ataliwa mbele yako na kugeuzwageuzwa km chapati. Hata awe wa kiume. Usije shangaa!
Dhambi nyingine hazisubiri ziko ndani ya matendo tu.
Hata usipozaa au kuoa utatongozwa wewe binafsi tena unaliliwa kabisaa na njemba siku moja.
 
Hutujui ndugu za huyo jamaa wakoje,na ndio maana sio kitu kzuri kumukumu mtu usie mjua..
mkuu mm kwa upande wangu naona anakosea kwa mama yake kutokuja kwake lkn ndugu co lazima waje kwako cmu zipo wakiwa na shida mnamalizana sema tu tatizo litakuwa kwa mtoto je atawajuwaje shangazi na baba zake na ndugu wa upande mwingine km anawapeleka hapo yupo saw swali la kujiuliza anataka mwanawe aweje
 
Mtoto atakwenda kuwatembelea Shangazi na Wajomba zake,hilo sio tatizo..
 
Ya duniani mengi

Jitahidi kufanya mambo yako yawe rejea kwa wengine kwa mema
 
Mla kuku wa mwenzake miguu humwelekea. Kula ukulavyo lkn mke wako,mwanao wa kike ataliwa mbele yako na kugeuzwageuzwa km chapati. Hata awe wa kiume. Usije shangaa!
Dhambi nyingine hazisubiri ziko ndani ya matendo tu.
Hata usipozaa au kuoa utatongozwa wewe binafsi tena unaliliwa kabisaa na njemba siku moja.
mbona unanihukumu kama mimi ndio namla mkuu
 
Mtoto atakwenda kuwatembelea Shangazi na Wajomba zake,hilo sio tatizo..
wewe hutaki kutembelewa hata na watoto wa dada zako ila watoto zako unataka wakawatembelee kwenya nyumba zao, hizi akili kweli?
 
Ukiniuliza binafsi Siwezi ingawa kuna watu wana wazazi pasua kichwa, wagomvi n.k tunatoka kwenye background tofauti tofauti.
Mkuu wazazi sio kama rafiki au jamaa amabe mmekutana ukubwani, Mzazi ni mzazi tu hata kama ni pasua kichwa kiasi gani yeye ndiye amekulea mpaka kukufikisha hapo ulipo anahitaji kuthaminiwa, Kwa akili timamu na kwa mwanaume halisi hawezi kuzuia wazazi wake kufika kwake kisa kumpa uhuru mke ambaye yeye wazazi ni ruhusa kufika kwako na ndugu zake
 
Nadhani ulipaswa kumshauri kuliko kuja kumsimanga huku. Na mbaya zaidi mnazidi hadi kumchapia mkewe, sisi vijana bhana. Anyway, Maisha lazima yaendelee.
 
Hapa nilipopanga asilimia kubwa tupo vijana wa kiume na wote tuko na mishe zetu, mkubwa ni jamaa mmoja hivi ambae ni Mhandisi kwenye taasisi flani. Huyu jamaa ameoa, sijui yeye na mke wake walikutana vipi lakini mke wake ni mkubwa kwake ana watoto watatu wakubwa, mtoto wake mmoja mkubwa wa kike nae ana watoto, wa pili kaolewa na watatu yuko hapo wanae anasoma kidato cha pili,..huyu bwana yeye hana mtoto nje lakini amezaa na huyu dada mtoto ambaye sasa ana miaka 6 ndio yuko nursery.

Jamaa ana pesa kiasi chake na kazi zake hakai wiki bila safari za kikazi, mke ni mzuri lakini ni aina ya wale wanawake wajanja wajanja sana, na analika sana japo jamaa hajui, tena na watoto wadogo tu ambao wangefaa watembee na watoto wake, rafiki yangu alishawahi kumla ndani kwake humohumo,

Sasa jumamosi hii tulikuwa nyumbani wote tunapiga stori na Jamaa alikuwepo, Kwa sababu jamaa ndio mkubwa kiumri akaanza kutoa nasaha.. "Wadogo zangu naombeni niwape ushauri ikija kutokea mmeoa", Basi tukawa tunamsikiliza kwa makini anachoongea, maana tulijua anazungumzia labda tabia zetu za sketi tofauti tofauti wanaokuja pale. Akaanza,

"Ukioa, Usiruhusu ndugu yako yeyote aje nyumbani kwako, wawe wazazi wako, wadogo zako na aina yeyote ile ya ndugu, wanaweza kusababisha msielewane na mkeo" Hao malizaneni nao kwenye simu au kama kuna jambo la maana kutaneni sehemu mlimalize then kila mtu aendelee na mambo yake".., Akaendelea, Unaona mimi ninavoishi vizuri na mke wangu? ni kwa sababu siruhusu ndugu waje hapa. Ikabidi kila mtu awe kimya aongeze umakini huku tunamchora tukiona kumbe huyu jamaa naye kapoteza nati za ubongo.

Kweli jamaa tangu tuwe pale miaka miwili sasa, sijawahi kuona ndugu yake hata mmoja, lakini ndugu wa mke wanapishana kila siku.., Nimejikuta namdharau sana huyu Brother japo nadhani yeye alifikiri tumeridhika na ushauri aliotupa, nimeshindwa kabisa kumuelewa, au lile ndio limbwata lenyewe? Yaani nisimruhusu mama yangu afike kwangu, mdogo wangu..Daah kuna wanaume mna roho ngumu aisee

Angejua mke wake anavyosuguliwa akiwa hayupo, asingeleta ule ushauri wa kipuuzi, yule Jamaa ni zaidi ya mpuuzi ambao nimewahi kukutana nao tangu mwaka huu uanze.
Hata wewe ni mjinga sana. Mtu anawapa ushauri wa kijinga na nyinyi mnaupokea badala ya kuupinga. Huna tofauti na bwana Jaffo
 
Hata wewe ni mjinga sana. Mtu anawapa ushauri wa kijinga na nyinyi mnaupokea badala ya kuupinga. Huna tofauti na bwana Jaffo
Hapana mkuu, unajua kuna watu ukipinga mawazo yao unazalisha ligi ambayo inaweza kufanya msielewane...Inabidi umsikilize then umuache na upumbavu wake
 
Hapana mkuu, unajua kuna watu ukipinga mawazo yao unazalisha ligi ambayo inaweza kufanya msielewane...Inabidi umsikilize then umuache na upumbavu wake
Ila hapo unazidi kufuga ugonjwa mkuuq
 
wewe hutaki kutembelewa hata na watoto wa dada zako ila watoto zako unataka wakawatembelee kwenya nyumba zao, hizi akili kweli?
Hahaha kumtembelea na kuishi kwa mtu ni vitu viwili tafauti..Mkuu
 
Hahaha kumtembelea na kuishi kwa mtu ni vitu viwili tafauti..Mkuu
basi nadhani hujaelewa mada, hata kama ingekuwa kuishi ina maana ndugu zako ndio hawaruhusiwi wa mke ruksa?
 
mbona unanihukumu kama mimi ndio namla mkuu
Tayari umemkula nusu. akizungusha tako uani anapoosha vyombo na sufuria lazima unamvutia hisia.
Hapo wewe ni chombo cha kumpa ushauri mzuri asiangamie Mungu amekutumia wewe. Dhambi hii ina kuhusu. Maana umeishirki. Subiri utanitafuta na muda utaongea. Mrudie umwambie kwa uzuri usioleta mtafaruku kwenu nyote mlioshuhudia kwa busara. Onyooooo.
 
Back
Top Bottom