Kuna Viongozi wasaliti CHADEMA - Mbowe

Kuna Viongozi wasaliti CHADEMA - Mbowe

Kujenga chama ni kazi kubwa na ngumu sana, natamani kuona CHADEMA wakiwa na uwezo wa kiintelijensia unaoshabihiana na ule wa serikali ya ki America. Sababu ni moja tu, huwezi kuwa salama na kufanya mambo ya kimaendeleo tena ya kukomboa nchi kutoka kwa mabeberu kama ccm bila kujua rafiki, jirani na wapinzani wako wanafanya nini. Huyu bwana Mwigamba achunguzwe ili haki itendeke na ikibainika awe mfano kwa kuwajibikia makosa yake.
 
Hivi Chadema mnakiendesha chama kwa misingi ipi.

Nyie wenyewe mnasema chama chenu ni cha demokrasia, akitokea mtu kuhoji mwendendo wa matumizi ya ruzuku mnasema ni msaliti.

Mbowe kama anaungwa mkono wanachama watu wengi mbona amechakachua katiba ya chama kuhusu uchaguzi. Kwa mujibu wa Mkulima.
Lumumba FC mnajifanya wajuaji wa katiba ya Chadema wakati wenye katiba yao wako kimya, kamuulize traitor Mwigamba akuonyeshe kipengele cha ukomo wa uongozi kiko ibara ya ngapi.

For your information tumepania kuwapukutisha traitors wote hadi baba lao libaki peupe.
 
Kazi nzuri mwenyekiti Mbowe,wewe ni jemedari wa vita na tunakuunga mkono katika harakati zako kwakuwa Chadema iko salama ikiwa chini ya uenyekiti Wako. Wengine bado hawajajipambanua kama ni baridi au Moto!

Zitto Kabwe ni mmoja wa viongozi Chadema
 
Mkuu,

Kuna familia imewekeza pesa zake nyingi kuendesha shughuli za chama hiki. Ukiwaambia waachie uongozi utakuwa unatafuta ugomvi nao.

Chama cha wote kinajulikana.

We ni raia mzushi
 
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai.

Kila anayehoji ulaghai huo anapachikwa jina la "msaliti".

Hatushangai 'zeMarco'...Tunajua wewe upo kundi la 'majangili' kama Chief dentist wenu mkuu...! Chadema haijawahi kufuga majangili...majangili wapo sehemu moja tu ya kisiasa duniani...ni ndani ya CCM. Wanajangili rasilimali za umma, rushwa, ufisadi, utekaji nyara, ugaidi...uporaji viwanja, uzulumati...! Sifa zote hizo, ingekuwa CDM wanabeba sifa 2 kati ya hizo tuneweza kuthamini uwezo wako wa kudadavua kama 'ulaghai'! CCM kwa sifa zote tajwa juu...bado unatoka nyumbani kila siku na kupita njiani kama mtetezi wa chama jangili kama hicho??....Mbowe anao uwezo kiuongozi kuliko viongozi wa-5 wa ngazi ya juu ndani ya CCM, ndiyo maana CCM yote inahaha kuvuruga...! Ila ukoo wa panya...wote wezi! wananchi wanajua, ukoo wa majangili je?...hadi mtoto, mjukuu na kitukuu...! CCM wanajiona ni kama kambale, wote wana sharubu, hadi aliyeanguliwa leo....wezi! JK wenu kawaambia mjiandae 2015...'chali'....bora nawe jiandae tu kisaikolojia....! mwache Mbowe na uongozi wake aikomboe nchi toka kwa majangili hawa wa kimataifa!
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe amesema chama hicho hivi sasa kinakumbana na viongozi wasaliti wasiojua wajibu wao wa kulikomboa Taifa.

Akihutubia kongamano la wadau na viongozi wa Kanda ya Kaskazini kiongozi huyo amesema sababu kubwa ya usaliti huo ni uroho wa madaraka kwa baadhi ya watu.

Mwenyekiti huyo anayeongoza chama kikuu cha upinzani nchini amesema kwa sasa chama hicho hakitavumilia viongozi wasaliti na badala yake watakuwa wanaelezana ukweli na kuchukua hatua stahiki kila inapobidi.

Kauli hii ya Mbowe itakuwa msumari wa moto kwa baadhi ya viongozi wanafiki na wanaotumika kutaka kuvuruga chama hicho.

Mbowe ni kiongozi ambaye anaungwa mkono na idadi kubwa ya wafuasi wa CHADEMA kote nchini kutokana na kazi kubwa anayofanya kuimarisha chama hicho kiasi ambacho Mwenyekiti wa CCM Rais Kikwete akiwahutubia watendaji wa CCM hapo jana amehofia chama chake kuondolewa madarakani kupitia sanduku la kura mwaka 2015.

Source:ITV Habari

Kila Jumuiya ina Kanuni na sheria za kuongoza na kuongozwa,akiwa kama kiongozi Mwigamba alikua analijua hilo.Swali langu la msingi ni kwa nini hakufuata taratibu ambazo na uhakika anazifahamu na anazifanyia kazi kila siku.Kinachotakiwa ni ni yeye Kujenga hoja.Watu hawa wanatakiwa kuondolewa wote kwenye vyama na taasisi mbali mbali.Kinachotakiwa ni kumwadhibu mtu bila ya kumuonea na pia kufuata taratibu.Tukumbuke hiki ni kipindi muhimu na kigumu sana kwa chama kama chadema.Naunga mkono hatua stahiki zozote zitakazo chukuliwa dhidi ya wanaokiuka sheria,ila tu asionewe mtu kwani mwanachama kama mwigamba wamejitoa sana kwa chama tusiwaonee ila tuwaadhibu kwa makosa yao yenye uthibitisha pasipo na shaka.Kwa lililoandokwa kama ni kweli anastahili si tu kusimamishwa uongozi bali kuwasaka,kuwaadhibu wote walio nyuma yake,tusipochukua hatua leo tutashindwa kama wenzetu walivyoshindwa kuvuana GAMBA.
 
Hatushangai 'zeMarco'...Tunajua wewe upo kundi la 'majangili' kama Chief dentist wenu mkuu...! Chadema haijawahi kufuga majangili...majangili wapo sehemu moja tu ya kisiasa duniani...ni ndani ya CCM. Wanajangili rasilimali za umma, rushwa, ufisadi, utekaji nyara, ugaidi...uporaji viwanja, uzulumati...! Sifa zote hizo, ingekuwa CDM wanabeba sifa 2 kati ya hizo tuneweza kuthamini uwezo wako wa kudadavua kama 'ulaghai'! CCM kwa sifa zote tajwa juu...bado unatoka nyumbani kila siku na kupita njiani kama mtetezi wa chama jangili kama hicho??....Mbowe anao uwezo kiuongozi kuliko viongozi wa-5 wa ngazi ya juu ndani ya CCM, ndiyo maana CCM yote inahaha kuvuruga...! Ila ukoo wa panya...wote wezi! wananchi wanajua, ukoo wa majangili je?...hadi mtoto, mjukuu na kitukuu...! CCM wanajiona ni kama kambale, wote wana sharubu, hadi aliyeanguliwa leo....wezi! JK wenu kawaambia mjiandae 2015...'chali'....bora nawe jiandae tu kisaikolojia....! mwache Mbowe na uongozi wake aikomboe nchi toka kwa majangili hawa wa kimataifa!

Wewe ni miongoni mwa wanaonufaika na uenyekiti wa maisha wa Mbowe.

Chama cha Demokrasia kinapoogopa kufanya uchaguzi ujue kuna tatizo kubwa...
 
Wewe ni miongoni mwa wanaonufaika na uenyekiti wa maisha wa Mbowe.

Chama cha Demokrasia kinapoogopa kufanya uchaguzi ujue kuna tatizo kubwa...

Chadema kutokufanya uchanguzi sio kidonda ndani ya mwili wako...unaugua tu bure...ndio maana nchi inayo ofisi ya msajili wa vyama vya Siasa, ambaye katiba zote za vyama zipo kwake...! Kwani CCM wamefanya chaguzi wakazalisha nini?? Utawala wa majangili?? afadhali hata kusiwe na mabadiliko kuliko mabadiliko yaliyofanya CCM kuwaweka akina Chief dentists walioko vyeo vya juu kwa sasa...!

Acha kuugua kwa Chadema kujipangia jinsi ya kufanya uchaguzi...sio kidonda chako! Unavyo vidonda vingi mno kwa kuondoa kabla ya kuiwazoa CDM kila siku...ondoa vidonda hivi..jangili rasilimali za umma, rushwa, ufisadi, utekaji nyara, ugaidi...uporaji viwanja, uzulumati...ndio ufungue mdomo kuulizia chochote ndani ya CDM...
 
Nani asiyejua kuwa Mwigamba ni tishio kwa ubunge wa Lema 2015? Kila mbinu itatumika kuondoa tishio hilo
 
chiaguzi za ngazi tofauti katika chama zapaswa kufanyika,sanduku la kula litaamua nani anahitajika katika ngazi mbalimbali chamani,haiwekani mtu anashikilia nafasi miaka 10 no uchaguzi hii sio democrasia,chama cha siasa ni chama cha watu na sio cha ukoo au familia furani,ukifanyika uchaguzi hao wanaotwa wasaliti watatoweka.

kwani umeskia nani anaogopa uchaguzi?kwa wenye akili timamu tunaangaria wapi chama kilitoka,na wapi kilipo sasa kwa mafanikio yapi?kama kikosi kiko gado na matunda tunayaona,hiyo sub mnataka ya nini?kama sio unafki unawasumbua?sio wote wanaosema piiipoooooz pawa wanaitakia mema chadema wapo viongozi ndani ya cdm walishapewa contract ya kuhakikisha cdm inaparaganyika kili leo wanaulizwa na waajiri wao vipi mbona kimya?majibu ni subiri tunaandaa mikakati,kwa hyo pamoja na kuwa tunaongozwa na katiba lazima marengo ya chama kwanza yafkie kulko lengwa,sasa wewe unaumia nini?kama ni kuchaguliwa unataka jiandae sio kupiga domo lislo na maana.
 
Lumumba FC mnajifanya wajuaji wa katiba ya Chadema wakati wenye katiba yao wako kimya, kamuulize traitor Mwigamba akuonyeshe kipengele cha ukomo wa uongozi kiko ibara ya ngapi.

For your information tumepania kuwapukutisha traitors wote hadi baba lao libaki peupe.
Uchaguzi mnafanya lini?
 
Uchaguzi mnafanya lini?

Ugonjwa wako ni nini?
SWALI...
CCM itaacha lini kujangili rasilimali za umma, rushwa, ufisadi, utekaji nyara, ugaidi...uporaji viwanja, uzulumati...? UOZO HUU Wote...ni afadhali kwa CDM kuchelewesha tu uchaguzi kuliko unyang'au huu wa CCM ambao wewe huuoni wa kuufikiria..

Maana ukweli unaonyesha kuwa, hata chaguzi zote za CCM zinazaa wabaya kuliko wanaoondoka...CDM wapo makini mara 10 zaidi ya CCM na makundi majangili wake....
Tueleze jinsi ya kuondoa ungonjwa wako na ma-CCM..kabla ya kuifikiria CDM kwa lolote!
 
Uchaguzi mnafanya lini?
Thats non of your business utafanyika pale wanaChademba watakapoamua na sio maelekezo toka Lumumba.

Na hata kama ukifanyika kesho Mbowe mwiba wenu lazima awe Mwenyekiti.

Tupo makini na focused zaidi ya mnavyodhani.
 
Kiongozi!

Unahisi vipi kama ungerudi darasani kwa miaka mingine mitatu ili kujifunza kuandika sentensi fasaha? maana licha ya kuja na povu kibao, bado hau eleweki umeandika nini, eti?
Mkuu Selungo usishangae huyo naye ni mhitimu wa chuo kikuu. Lumumba wameifanya chuo kimoja hapa nchini kuwa cha kwao.Taaluma kwao si hoja,ila ukiwa kada wa CCM utapewa alama za juu.
 
Last edited by a moderator:
Chadema kamwe hakitaongozwa na mawazo kutoka Lumumba! Yule ambaye Lumumba hawamtaki ndiye atakayeongoza Chadema!
Mkuu inawezaekana Lumumba hawamtaki na vile vile asiwe na tija kwa wapigakura ( yaani wananchi, ukizingatia kwamba msingi wa yote haya ni Ikulu 2015)
 
Mbona kinawanyima usingizi nyie LB7

Adui yako daima hukuombea ufanye makosa ya kimkakati na kimwelekeo ili akufunge goli la kisigino. CHADEMA msikubali kuwekewa wasaliti na waroho wa madaraka.
 
Back
Top Bottom