WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Its None of your business and keep distance please!
Chadema is for Chadema only and not of your type!
Kwanza haya maneno ni ya kibaguzi sana,pil8 kwa chama chenye watu makini hakiwezi kuwa na watu wenye maneno mepesi,kashfa na ya kijinga kama haya yako,maneno yako haya yanawakatisha tamaa wale watu wenye mawazo ya kujiunga na chadema,na chama chochote kile lazima kwenye katiba yake kiwe na mkakati wa kuongeza idadi ya wanachama!acha umbumbu na ukabila!