Kuna Viongozi wasaliti CHADEMA - Mbowe

Kuna Viongozi wasaliti CHADEMA - Mbowe

We molemo mhusudu tu huyo mbowe lakini yai litawatobokea tu watu wananyanyasawa ndani ya chadema,mbowe anaongoza chama kibabe halafu unasema anaungwa mkono na watu wengi hata huogopi kusema uongo.

Hayakuhusu.Wewe kinakuuma nini LB7?
 
chiaguzi za ngazi tofauti katika chama zapaswa kufanyika,sanduku la kula litaamua nani anahitajika katika ngazi mbalimbali chamani,haiwekani mtu anashikilia nafasi miaka 10 no uchaguzi hii sio democrasia,chama cha siasa ni chama cha watu na sio cha ukoo au familia furani,ukifanyika uchaguzi hao wanaotwa wasaliti watatoweka.

Je muda wa uchaguzi ndani ya CDM ukwishapita?????
 
Hayakuhusu.Wewe kinakuuma nini LB7?
Kumbe mnatumia hela za ruzuku mnavyotaka kwa kujenga majumba dubai na kwingineko mkiulizwa mnasema hayatuhusu huku mkijua kuwa zile ni hela za walipa kodi.
 
Ccm ni chama cha kifisadi. Kila anayehoji ufisadi huo anang'olewa kucha, meno na macho bila ganzi.
 
Hivi Chadema mnakiendesha chama kwa misingi ipi.

Nyie wenyewe mnasema chama chenu ni cha demokrasia, akitokea mtu kuhoji mwendendo wa matumizi ya ruzuku mnasema ni msaliti.

Mbowe kama anaungwa mkono wanachama watu wengi mbona amechakachua katiba ya chama kuhusu uchaguzi. Kwa mujibu wa Mkulima.

huna mamlaka ya kuhoji lolote kuhusu cdm ! wewe unatakiwa kufuatilia kama ziara ya mwigulu ilikuwa ya kichama au ya binafsi baasi .
 
Mbowe aache mipasho Kama anawajua wasaliti si awataje hadharani? Yaani hizi siasa za majungu zimepitwa na wakati, yeye ni Mwenyekiti basi awataje hadharani kuonesha demokrasia!

Sie tunajua unayemsema na kwanini umeyasema hayo na uliyemsema anajua unamsema nani! Na alijua mapema utanena haya. CDM hakuna demokrasia hata Mwigambe amenena Hilo. Na baado sana!!!!

Hiyo ndio demokrasia ndani ya chama cha demokrasia.....

.......Ukipambana na CHADEMA ujuwe unapambana na wapigakura....

kawaulize magamba Arusha....over!!!
 
Ccm ni chama cha kifisadi. Kila anayehoji ufisadi huo anang'olewa kucha, meno na macho bila ganzi.
Mbowe na slaa wote wanamiliki majumba nje ya nchi na kuchota pesa za ruzuku na kutumia wanavyotaka hao ni aina gani ya watu?
 
Chama changu kinapata wakati mgumu sana kwa sababu kila alieko CHADEMA anatafuta umaarufu ili naye aonekane kwenye ulingo wa siasa bila kuelewa kuwa approach anayotumia siyo sahihi hata km anachokisema kina mantiki nzuri hatimaye kubaki kuwa msaliti bila kujielewa ndicho kinachotokea ndani ya CHADEMA kwa sasa, ndugu zangu Watu km hawa wadhibitiwe mapema sana maana watasababisha Ufa mkubwa sana ndani ya chama mbele ya safari,kwa sasa migogoro isipewe nafas ndani ya chama tubaki na lengo moja tu, KUONDOA MASALIA YOTE MADARAKANI (MAGAMBA) 2015!
 
Katika viongozi wa ajabu mbowe anaongoza usione ben amekazana kumtetea ujue ule uozo wa mbowe ben na wenzake watakuwa wananufaika nao,
kwa nini ben tangu mbowe atajwe kweshe kashifa ya kujenga jumba dubai ben amekuwa mtetezi wake so lazima ananufaika na matumizi mabaya ya ruzuku,
kwa wale tunaomjua mbowe tunajua pale hakuna kiongozi ni gwanda tu pengine na ubabe.

Ubabe huu ndio unaohitajika kipindi hiki kuliko kipindi kingine chochote katika historia ya vuguvugu la Mageuzi nchini.Ubabe huu ulikosekana ndani ya NCCR-Mageuzi kipindi kile.Ndiyo dawa ya watawala na vibaraka wao.
 
CHADEMA inabidi ifike mahali ikubali kusikia yale isiyo yapenda.
Otherwise,uchanga unakiandama.
Ngoja niwah nikachukue buku 7 lumumba
 
Back
Top Bottom