Kuna Viongozi wasaliti CHADEMA - Mbowe

Kuna Viongozi wasaliti CHADEMA - Mbowe

Mfano wa kazi inayofanywa na Mwenyekiti wa Chadema unapaswa uigwe na viongozi wengine maana wasaliti ndani ya chadema hawana tofauti na wanaohujumu uchumi wa nchi kwa rushwa, kuchezea nyara za umma na ufisadi. Heko Mwenyekiti Mbowe

mh mbowe ata sisi wa kanda ya ziwa tuko nyuma yako, baba chapa kazi bila hofu, tuongoze vema kwani huu ni mda muafaka wa kudai uhuru wetu kwa mara ya pili, agent of colonialism walikuepo 1961 na ata leo wapo awa akina zito kabwe ivyo tsiteteleke,
 
tunakuamini sana mh mbowe , pamoja na utajiri ulio nao lakini ukaona so kula bata , ukaamua kuwakomboa watz wenzako , ulivumilia hata kudhalilishwa na mtu masikini kama job ndugai ! Cdm daima .
 
chiaguzi za ngazi tofauti katika chama zapaswa kufanyika,sanduku la kula litaamua nani anahitajika katika ngazi mbalimbali chamani,haiwekani mtu anashikilia nafasi miaka 10 no uchaguzi hii sio democrasia,chama cha siasa ni chama cha watu na sio cha ukoo au familia furani,ukifanyika uchaguzi hao wanaotwa wasaliti watatoweka.

Maadui hawana uwezo wa kutuamulia.Kama hao wasaliti na vibaraka wao ni wazuri basi waenda wakagombee huko Lumumba.

Kwanza uliona wapi Jeshi makini likabadili Majenerali katikati ya vita kwa kufuata matakwa na hila za maadui?

Kama suala ni uchaguzi basi subiri hao vibaraka wao waingie mbele ya sanduku la kura waone cha mtemakuni
 
Jibu muafaka
 
Hivi Chadema mnakiendesha chama kwa misingi ipi.

Nyie wenyewe mnasema chama chenu ni cha demokrasia, akitokea mtu kuhoji mwendendo wa matumizi ya ruzuku mnasema ni msaliti.

Mbowe kama anaungwa mkono wanachama watu wengi mbona amechakachua katiba ya chama kuhusu uchaguzi. Kwa mujibu wa Mkulima.
 
Maadui hawana uwezo wa kutuamulia.Kama hao wasaliti na vibaraka wao ni wazuri basi waenda wakagombee huko Lumumba.

Kwanza uliona wapi Jeshi makini likabadili Majenerali katikati ya vita kwa kufuata matakwa na hila za maadui?

Kama suala ni uchaguzi basi subiri hao vibaraka wao waingie mbele ya sanduku la kura waone cha mtemakuni

Unabusara sana...
 
Hivi Chadema mnakiendesha chama kwa misingi ipi.

Nyie wenyewe mnasema chama chenu ni cha demokrasia, akitokea mtu kuhoji mwendendo wa matumizi ya ruzuku mnasema ni msaliti.

Mbowe kama anaungwa mkono watu wengi mbona amechakachua katiba ya chama kuhusu uchaguzi.

Wanawake na maendeleo..................washaacha umbea,umebakia kwa baadhi yetu wanaume???????
 
Mbowe aache mipasho Kama anawajua wasaliti si awataje hadharani? Yaani hizi siasa za majungu zimepitwa na wakati, yeye ni Mwenyekiti basi awataje hadharani kuonesha demokrasia!

Sie tunajua unayemsema na kwanini umeyasema hayo na uliyemsema anajua unamsema nani! Na alijua mapema utanena haya. CDM hakuna demokrasia hata Mwigambe amenena Hilo. Na baado sana!!!!

Hiyo ndio demokrasia ndani ya chama cha demokrasia.....
 
Naona umepata uchungu na hofu ya kutisha.Unataka akutajie ili iweje?
 
chiaguzi za ngazi tofauti katika chama zapaswa kufanyika,sanduku la kula litaamua nani anahitajika katika ngazi mbalimbali chamani,haiwekani mtu anashikilia nafasi miaka 10 no uchaguzi hii sio democrasia,chama cha siasa ni chama cha watu na sio cha ukoo au familia furani,ukifanyika uchaguzi hao wanaotwa wasaliti watatoweka.

Kwa uandishi wako huu,nahisi hata drs la pili hukufika. Hebu tutajie angalau mmoja tu aliyekaa zaidi ya miaka 10 kwenye uongozi chamani.
 
Mbowe aache mipasho Kama anawajua wasaliti si awataje hadharani? Yaani hizi siasa za majungu zimepitwa na wakati, yeye ni Mwenyekiti basi awataje hadharani kuonesha demokrasia!

Sie tunajua unayemsema na kwanini umeyasema hayo na uliyemsema anajua unamsema nani! Na alijua mapema utanena haya. CDM hakuna demokrasia hata Mwigambe amenena Hilo. Na baado sana!!!!

Hiyo ndio demokrasia ndani ya chama cha demokrasia.....

Its None of your business and keep distance please!

Chadema is for Chadema only and not of your type!
 
duuh!!! sidhani kama zitto huyu ni mr. piga dili , yaani moyo utaniuma sana e mungu tuepushe na haya tunayosikia yawe ni upepo tu na si kweli . mr zitto mungu akunusuru na yote haya pamoja na chama chetu kilicho bora hapa TZ(CDM)
 
We molemo mhusudu tu huyo mbowe lakini yai litawatobokea tu watu wananyanyasawa ndani ya chadema,mbowe anaongoza chama kibabe halafu unasema anaungwa mkono na watu wengi hata huogopi kusema uongo.
 
Back
Top Bottom