sundoka
JF-Expert Member
- Oct 9, 2011
- 2,067
- 2,770
Huyo mtu hakuhoji mapato au matumizi ya ruzuku!!! Aliacha njia iliyo sahihi akaja kupost kwenye mitandao ya kijamii!!! Huko ndo kuhoji kwa njia sahihi!!!? Msaliti tu. Hana lolote!!!? Wangekuwa Chama Cha Masogange (CCM) wangemuacha aharibu chama!!